mimi ndio adili mshahiri mwenye akili,
kanuni yangu uwa ni kwenda mbele sibadili,
muzik na sauti ndio yangu asili,
mistari yangu inasimama zaidi ya wakili,
sio mraba wala mstatiri,
kwangu makila kitu vina utitiri,
mistari yangu miwili wewe unaitunga kwa miezi 12,
vile vile beats zangu uwa lazima ziwe na scratch aina mbili,
Producer mwenyewe uwa lazima atulize akili,
Msijaribu kufunika jua kwa ungo
Started by Adil, Nov 24 2005 07:10 AM
4 replies to this topic
#1
Posted 24 November 2005 - 07:10 AM
HAMWEZI KUFUNIKA JUA KWA UNGO
#2
Posted 06 December 2006 - 10:16 AM
8)
jua linafunikwa na giza totoro,
hip hop ni shule na nishakuona mtoro,
huna style, huna vina, umepoa kama kiporo,
umpeo wako wa ubongo umefungwa na minyororo,
adili usiye na dili huwezi ona zaidi ya tomorrow,
we soro ntakulaza macho wazi kama koro,
huku hakuna pa kupenya we saka tu vichochoro,
we katuni ustake nikuoneshe wako mchoro.

#3
Posted 08 December 2006 - 05:52 AM
zanziba sta modern taarab wana song msaribu kufunika jua kwa ungo
watoto wadogo wanadandia tungo mi ndo dereva nawadeku ka tingo
muasilia sio uongo ka mbilikimo katika misitu ya kongo
ongea nikuachie pengo mi ndo zaidi ya mlichokizoea Kibwengo
m'bongo nnayepinga longolongo kwa Mc anaejidai Chongo
ntamvuruga ubongo astuke kaamka kwenye korongo ana kibyongo
namtapisha nyongo baada ya kumnywesha gongo namtoa kwenye M.I.C kama Hongo
ustake jaribu ka michongo ndo wale toa hai ni adui una kinyongo!
rhymes hiz ni pure ka mvuke unaotengeneza gongo!
ucpime kipeme hii ni zaidi ya mingi miongo kaa mbali Mc Muongo

#4
Posted 08 December 2006 - 06:15 AM
nawanyea nawafight hawa mcz wanaobite,
wanatembea huku wameoza hawajioni kuwa ni maiti,
wanajifanya hardcore kumbe wanabugi,
hawajui mi niko real na huwa sizugi,
nawasaka wanibeep niwaumize mazima,
nawaweka hewani kama risasi hawa makima,
hili ni gari la taka sasa nawapeleka dampo,
haina lugha chafu wala mistari ya kusampo,
ni hisia kali nilizobeba toka kitambo,
ni jinsi nilivyosimama na ndo navyofanya mambo

#5
Posted 08 December 2006 - 07:32 AM
Ausio mi nnapomega sio tu ujumbe na vina nabeba
Mc anae Zuga nampoteza fasta ka mzoga
maziko ni cherehani siulizi kauwawa au wamemloga
mnaopewa Radio Play nyie ni ka Bitch nnavyompiga kiboga
Hasira za chui hizi nshazipiga mixa na Mbogo
sa ndio Zogo babake Fake Mcs namtishwa gogo kiushari
Nawafanyia mauaji kwenye Bongofleva ka ya Rafiq Hariri
mshatereza nawavua muziki ka pweza kwa hiki kipaza
mi ndio jedwali natunga na kulijaza na-argue ka wazee wa baraza
Fake Mcs daima ntacharaza nakuwagaragaza kwenye MIC nawameza
Ntawatoa huku nawabeza kwa mchezo mchafu walotaka kuucheza
Mii ndo nakusanya vina vya kila aina ka Gereza.

1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users