nalia lakini machozi hayatoki,
haa!! kumbe hata sauti nayo haitoki,
kazi ninayofanya ina wengi manafiki,
wengi ni marafiki lakini hawabebeki,
nikitaka kutoa track wao wananibom wakapate the kick,
wabishi hawaambiliki,
ni wengi hawahesabiki,
wanakuja kitofauti mara pombe mishikak,
wanajifanya wana care wakiniona nina laki,
hata siku hawaugui wakiugua dawa hawataki,
Msijaribu kulifunika jua kwa ungo
Started by Adil, Nov 24 2005 07:06 AM
No replies to this topic
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













