Nawaza kuona mbele nyuma moto unafuka,
mama analia nguvu hana za kuinuka,
Bado nahofia amani kwa nakokwenda ka ntafika,
hivi adui wangu ni mzungu au mwafrika??
moyo wangu unauma damu ya mweusi inamwagika,
tulikotoka ni vita tunakokwenda gharika,
kweli mimi ni mzawa lakini naishi kimateka,
labda nina laana inayonifanya nateseka,
labda nilikosewa kuzaliwa mwafrika,
mbona wao hawasemi kama tabu zimewafika,
mbona wao hawakimbii kama kweli zimewashika,
hata hawatwambii ka nao wameathirika,
wanatumia pesa kwa dada 2deiz tunazika,
sisi kwao ukoka wakifika wanapumzika,
wanaleta maradhi tukiathirika wanaondoka,
sio leo wala kesho ila mwisho utafika,
tutabeba siraha na wema utayeyuka,
mimi mwanamuzik ni mic na spika,
kwa yeye mwenye mimba ni kilio na kutapika,
wasomi wameuzwa kwenye bara la amerika,
kila anayesoma hataki kuishi afrika,
wapi tutajiseti wasafiri tusiofika,
kile tunachokiomba ni ulinzi wa malaika,
Duniani tunateseka mbinguni tutafurahika,
hofu itatoweka na vita itamalizika,
tutaishi kwa upendo na amani isiyohesabika,
Ni Adili mashairi utitiri (Troublemaker)
Started by Adil, Nov 24 2005 06:37 AM
4 replies to this topic
#1
Posted 24 November 2005 - 06:37 AM
HAMWEZI KUFUNIKA JUA KWA UNGO
#2
Posted 04 January 2006 - 04:16 PM
ningepigana hapa hapa nawewe...
kupo mahala pake nakukaribisha ndani ya vita na vinara wa bongofleva nyyinyi
nichekie kwenye mada tunga ukijaribu kunipinga wewe na vicha vya mbuzi wenzako njooni niwaonyeshe kazi
kupo mahala pake nakukaribisha ndani ya vita na vinara wa bongofleva nyyinyi
nichekie kwenye mada tunga ukijaribu kunipinga wewe na vicha vya mbuzi wenzako njooni niwaonyeshe kazi
NON shobo true soldiers mtu mbili ile kamili
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
#3
Posted 04 January 2006 - 07:15 PM
THIS KID ADIL GOT SUM POTENTIAL UP IN HERE
NI MUDA SIJAONA MCEE AKIZAMA DEEP MOYONI MWAKE KAMA HILO VESI LAKE
KUMAMAMAKEH DUH! 1
RESPECT DA ILLEST
NI MUDA SIJAONA MCEE AKIZAMA DEEP MOYONI MWAKE KAMA HILO VESI LAKE
KUMAMAMAKEH DUH! 1
RESPECT DA ILLEST
#4
Posted 05 January 2006 - 04:17 PM
Nini kimekukumba,mpaka umkosoe muumba,
mavumba yapo kutimba kwenye nyummba,nikuchamba
kwanza acha ushamba,hili rhumba ni mpaka pemba,
kuvimba si suluhu aliye juu ataleta nafuu'
usipende makuu,utavunjika guu'mda huuu,wa vita
shika mtutu,toa kutu,usifanye gutu,

ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
#5
Posted 11 January 2006 - 12:37 PM
HEKAHEKA MOJAMOJA NEEMEKA
MICHONGO TELE ACHA KUUWEKA,
VIRAKA VICHAKA ,
UTAONEKANA KIBAKA'
WAJIBIKA MIPANGO SUKA'
ACHA KAYA KURUPUKA '
POLICE AKIONEKA,GOTO SAKA,
TOKA BONGO MPAKA ULAYA WANADAKA,
DHAKA RYMEZ TUKUKA ANDIKA,
NG'AI SELEBUKA,MICHONGO NEEMEKA YOOOOOOOOOquote="Adil"]Nawaza kuona mbele nyuma moto unafuka,
mama analia nguvu hana za kuinuka,
Bado nahofia amani kwa nakokwenda ka ntafika,
hivi adui wangu ni mzungu au mwafrika??
moyo wangu unauma damu ya mweusi inamwagika,
tulikotoka ni vita tunakokwenda gharika,
kweli mimi ni mzawa lakini naishi kimateka,
labda nina laana inayonifanya nateseka,
labda nilikosewa kuzaliwa mwafrika,
mbona wao hawasemi kama tabu zimewafika,
mbona wao hawakimbii kama kweli zimewashika,
hata hawatwambii ka nao wameathirika,
wanatumia pesa kwa dada 2deiz tunazika,
sisi kwao ukoka wakifika wanapumzika,
wanaleta maradhi tukiathirika wanaondoka,
sio leo wala kesho ila mwisho utafika,
tutabeba siraha na wema utayeyuka,
mimi mwanamuzik ni mic na spika,
kwa yeye mwenye mimba ni kilio na kutapika,
wasomi wameuzwa kwenye bara la amerika,
kila anayesoma hataki kuishi afrika,
wapi tutajiseti wasafiri tusiofika,
kile tunachokiomba ni ulinzi wa malaika,
Duniani tunateseka mbinguni tutafurahika,
hofu itatoweka na vita itamalizika,
tutaishi kwa upendo na amani isiyohesabika,[/quote]

1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users