Ni vigumu kunijua, Kama akili haijatulia,
Fuck nasihitahi kunijua, Kama ni Adui unaeniua,
Adil au Troublemaker hivyo hivyo Unavyonisikia,
Ni Fighter Non-Stop Dezzo Kwangu Full Stop,
Na cliet folder corner cold sodda,
Ni Mitikasi Namix No Bear Labda Chix,
Nafurahi Na Divai Club Hi sion shy,
Hata brai anafurahi no bye bye,
Kama pombe Night Morning supu No chai chai,
hamwezi kutuliza mpira wa kichwa,
au mkuki muupige kwenzi ni vina mwisho Nukta no Muzik bila Busta,
MSIJARIBU KUFUNIKA JUA KWA UNGO
Started by Adil, Nov 23 2005 06:29 AM
2 replies to this topic
#1
Posted 23 November 2005 - 06:29 AM
HAMWEZI KUFUNIKA JUA KWA UNGO
#2
Posted 23 November 2005 - 06:40 AM
nakuaminia, hatukwepani hata katika sinia,
kama kidonda lazima kitavilia,
kovu litaishia uhai utageuzwa dunia,
hodi haifunguliwi, misumari haipigiliwi,
wenye nazo nao hawaingiliwi,
mi sina mbwembwe ndo mana wala sisifiwI,
sijibiwi majibu najibiwa maswali,
sisali daima mi naswali,
sina habari na asali ambayo haina asili ya kweli,
kwani ni mmoja tu alifanana na makaveli,
sijui kama alipasi ama nae alifeli,
si vyote utapatia, ama vipi hizi ndo idea,
kama gari na gia, ama kuli akipakia,
mama ntilie akipakua, traffic akikagua,
kikohozi na mafua, ama mtoto anapokua,

#3
Posted 23 November 2005 - 06:51 AM
Ni adil troublemaker sio Adil hisabati,
Hisabati nilifeli ila kimaisha niko tight,
Bado Cash namek ingawa sina sapot,
kila mstari unapotoka nakuacha maututi,
silazimishi kueheshimiwa silazimishi hata salut,
kwasababu ninajua mende hawezi kuangusha kabat,
hizi ni hoja si vihoja, si bakora na mkongoja,
si kenda wala si moja, tumbo halitaki ngoja ngoja,
si porojo za lipsi ama mademu na mahips wavutaji na vipisi,
karamu havujishi, matamushi kama matapishi,
ndio zangu tarashishi,
si tekenywi nameng'enya simeng'enywi,
ni mistari yenye ubora wa nanywi,
isiyochachu kama wine ya kotonywi,
Ni adilicharles@yahoo.com au as1like2@yahoo.com Tzee Bongo home,
Fuctup!!!

1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users