Jump to content

Ilikuwa vipi? Hiphop zamani (reprise - part 1)

58 replies to this topic

#41 Guest_pat_hila_*

  • Guests

Posted 01 August 2003 - 10:00 AM

website nathan itakuwa bomFungueni ba hiyo![/b]

#42 Guest_pat_hila_*

  • Guests

Posted 01 August 2003 - 10:01 AM

fungueni website nathani itakuwa bomba hiyo

#43 Guest_TuffJam_*

  • Guests

Posted 01 September 2003 - 07:19 AM

First of all ni safi sana J4 kazi uliyofanya kwenye ujenzi wa site hii. I see hip hop still flows in ya veins. Pili kuongezea tu,nafikiri nilichangia katika interview fulani kuhusiana na hip hop Bongo back then naongezea tena: Sasa kuhusu hip hop NOW nafikiri imebadilika sana hasa kutokana na vijana wetu kuwa expossed kwenye culture hii na kugundua starehe yake, faida yake (mapato) na umuhimu wake katika kuchangia kuunganisha generation na race aina zote. Flow nayo siku hizi imebadilika naona inaelekea kwenye flava tena ijapo safari hii inaitwa "wordplay". Nasema hivi kutokana na experince yangu US na wakati nipo Bongo. Utofauti mkubwa tu unabakia kwenye beats meaning sound production. Beats na Flow ya bongo ni kali na bado zinawakilisha style na mandhari au culture yaki-Bantu ijapo ajabu sisikii ngoma, chekeche,marimba, vijiti etc vyombo asili, na hizi ni instruments ambazo Neptunes, Timbaland, Just Blaze etc wanatumia katika beats zao VIPI hapo? Ijapo na busy schedule nitajitahidi kutuma single hivi karibuni ambayo nilitengeneza huku, nimejitahidi kununua music production studio equipment kadhaa za 1998-2003 naamini production wise i'm pro capable. Jina nilibadili toka 1995 enzi za HardBlasters (still HBC 4 life) na sasa najiita "Knoka" (Beat Knoka). More to come keep this site up watch me battle mcees in the "Battle Rhyme" forum in this site.

Knoka a.k.a TuffJam

#44 alcapaino

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 76 posts
  • LocationRevolving around a Quantized nuclei

Posted 02 September 2003 - 05:17 PM

Yap....Hiyo tru Baba'ke...Ebana Taff-Jam mzee upo! long tym naona Bongo ndo' ushaitosa kabisa...Bado upo Texaz? anyway haina tatizo inabidi muwe mnaikumbuka Bongo kwa kudondosha tracks za hapa na pale.
Ma-producer wa Bongo ni wavivu na wengi kazi yao ni kufanya sampling na ukichukulia washabiki wa Bongo Fleva ndo hawana hata miaka mitatu minne kwenye Hip Hop hii sanaa basi inakuwa ni ngumu sana wao kugundua Beat zinazorudiwa za miaka 10-15 nyuma...anyway sio kitu kibaya sana ila haionyeshi utaalamu wa Producer...FUCK...I don' like this

Mgullu George - MG
'formerly from Drive-Inn'

#45 Guest_Tuffjam_*

  • Guests

Posted 04 September 2003 - 07:20 AM

Ebwanee nipo Al. Ni kweli uliyosema kuhusu beats za Bongo. True i hear alot of sampling na kibaya zaidi "non-original material" hivyo nimejitahidi kununua vifaa vya beats production tangu 1998-2003. Nimetengeneza beats kadhaa na kuna mcees Houston watakuwepo kwenye singles kama tatu hivi. Hivyo nikituma beats hizo nipe wazo lako kutokana na beat production yangu. What is the best way to send to Africanhiphop? Beat production nilianza tangu Hardblaster na beats kadhaa nili co-produce za album ya kwanza na pili including "Blastnuff" but that was then.Katika umcee bado nipo nicheki kwenye "Battle Rhymes" site hii hii, nitakuwepo katika single nitakazotuma.

Knoka (beat knoka) a.k.a Tuffjam

#46 alcapaino

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 76 posts
  • LocationRevolving around a Quantized nuclei

Posted 11 September 2003 - 11:57 AM

Sema Knoka.....ebana mi naona hiyo ni idea nzuri unaweza ukazidondosha hizo tracks hapa kwa J4 then watu wengi wakapata access nazo....au vipi Mazee

Alca.Mg

#47 Guest_Dotto_*

  • Guests

Posted 12 September 2003 - 11:13 AM

Oyyyaaaa masela sikujua kama Utaona ya Bugzy iko kwenye Kwanzanians mzee lakini dogo alkuwa offf the hook. Nakumbuka alikuwa anafreestyle sku moja on redio and once on tv, nadhani Dar Wiki hii mzee, Utaona ni kklasssiccc sijui dogo yuko wapi yule.
halafu Dogo the first tym nimemsikia ni DJ Show nadhani alikuwa na track mbili za promo nadhani maana zote za verse 1, Luv Luv thang na nyingine siikumbuki, nadhani Aroma or sumptn. Halafu Shadows of a dark destiny ndio funga kazi mzee, ile ndio ILLLESSSST bongo track eeevvver if u ask me. Na promo za Dogo za DJ show mnazikumbuka? Ssiju freestyle zile! Who remembers Viny au Chanto? Na Phat Black? Na track ya Baraka aka the Blessings " If skillz could kill---Son u need to get up inorder to get down.....hiyo hook mazee"!

Hivi naweza kuipata Kwanzanians na tropical technics kwenye storees?

#48 mkuki

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts
  • LocationDar es Salaam,Tanzania

Posted 12 September 2003 - 03:12 PM

Kuna time moja Albamu ya kwanzanians ilikuwa inauzwa hapa kwenye africanhiphop.com long time fulani...labda J4 ana data zaidi...mimi mwenyewe naihitaji hiyo albamu...J4 inakuwaje?
Yeah Bugsy alikuwa noma hata mimi najiuliza huyu jamaa kaishia wapi? kuna mwenye data zozote?

#49 Juma4

    African Hip Hop Admin

  • Administrators
  • 1,015 posts
  • LocationAmsterdam

Posted 24 September 2003 - 05:44 PM

Kuhusu Kwanzanians ni kama hivi,
walipeleka albam kwa wadosi wakauza kwenye cd na nadhani mpaka siku ya leo iko madukani ila labda ufike Kariakoo.

Na sisi tulikuwa tunauza copy kwenye website ila nikakosa muda kushughulika na pia cost & effort zilikuwa mno kwa hiyo tukaacha tena.
Hizo classic tracks zipo lakini... labda some time tutaweka online broadcast ya hizo track za zamani ili mkasikilize tena.

#50 alcapaino

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 76 posts
  • LocationRevolving around a Quantized nuclei

Posted 25 September 2003 - 05:03 PM

Kudadeki..kufa hakuna Breki...Nna rhymez nyingi sana kichwani haielezeki
Aisee am askin' kama kuna mtu ana copy ya track ya Underground Soulz, 'Battle field'....track ambayo naamini kwamba ndiyo ilileta mapinduzi ya hiphop hapa Bongo (kwa track za lugha) kabla Chemsha Bongo haijaleta mapinduzi halisi kwenye Bongo flava(kwa track za kiswahili)
N.B
Ni mtazamo wangu lakini si lazima iwe hivyo!

alcapaino.Mg
from the House of MultiMedia

#51 Guest_J4_*

  • Guests

Posted 25 September 2003 - 10:21 PM

Ndiyo nnayo hiyo track mahali... lakini wapi?
Tena kuzipata hizo single za siku za nyuma ni vigumu mno, wasanii wenyewe hawana na hakuwa na mp3 wala cd-r siku zile.
Ma-dj wengine wanazo... fikiria Clouds walikuwa na hazina kubwa lakini jengo likawaka moto na karibu kanda zote zikapotea (mwaka 2000?).

#52 Guest_'the Most Illest'_*

  • Guests

Posted 28 October 2003 - 02:34 PM

Powa fanya kutafuta then kama vipi u can mail me tuchek ntazipata vipi..maana nna kazi kubwa nataka kufanya nazo hizo tracks

alcapaino.Mg

#53 Guest_ELdogo_*

  • Guests

Posted 28 October 2003 - 07:24 PM

Yommenikumbusha kinoma jjinsi zamani nilivyokuwa najirusha koko pinki na viwanja vingi bongo kwa miendeko ya Hip hop yaakina Raimsoni na D-Rob,basi wachani niwape freestyle onetime niwafreetalieni kutoa thenksi for them Tzedi mcees you know! sio uwongo

Tz BOY, MTOTO WAKITANZANIA NIPO,NA REMINANCE MY PEOPLE
MCEES WA HIP HOP BONGO,TUSISAHAU WALEWALIOTUFUNGULIA NJIA SALE JABIR NA 2PRAUDI,HAWAMANIGGA NDIO WALIOTUWEZESHA SISI KUPATA NAFASI CHEKI BASI TUNAVYO ROLL,NAMIENDEKO YAKUU FOKA

Juma4 said:

Hii topic ya 'ILIKUWA VIPI' ilianzishwa mwezi wa 7 mwaka 2002, ilipata mesage nyingi lakini katika kuhama Forum kwa sehemu mpya ikafutwa, kwa bahati nzuri forum ya zamani ilinusurika, hivyo nime paste message zote hapa chini, na kisha mnaweza kuendelea mazungumzo.

unregistered

posted 09 July 2002 11:49
--------------------------------------------------------------------------------
Nafungua hii forum ili kukaribisha vile vichwa vyote ambavyo vinaijua hiphop ya bongo
toka zamani(including our finest mcees), maana siku hizi watoto wadogo weeeengi wameingia kwenye fani wakati hawajui hata beach-party zilikuwakuwa vipi wakati huo,maconcert wapi,vituko gani vya wakati huo,ma-dj waliotamba n.k.......lets use this forum to educate 'em fools & new comers......if u feel ur real then represen it!!!!!

IP: Logged

unregistered

posted 09 July 2002 11:59

Nakusoma vilivyo kabisa alcapaino,ni kweli kuna umuhimu wa kuanza kukumbushana historia ya hiphop ya bongo huko zamani wakati tupo primary, kiasi flani napata kumbukumbu tamu napoanza kukumbuka mambo ya long-time hasa sisi watoto tuliosoma boarding schools mbeya,dodoma ,morogoro n.k tulikuwa tunashindana kuchana nyimbo za marepa wa mtoni na samtaim tunatoroka shule kufata beach-party bongo,duh? ilikuwa ni balaa.Nipe muda nikumbuke zaidi narudi!!!

sosa
Long time member
Member # 161
posted 09 July 2002 15:04

Katika matukio kabambe ya hiphop bongo ni kama lile la tamasha lililo fanyika empress cinema kutafuta mshindi wakwanza, wapilili na wa3. Haijatokea tena mkusanyiko wa vichwaa vya hiphop toka kipindi kile, kulikua na ma emcee mpaka wa mikoa ingawa wengine ndio walikua miyeyusho lakini wali rep hiphop ya kibongo.
Na beach party zilianza kuharibika zilipo anza ku tangazwa kwa sana mpaka wahuni wa msasani wakawa wanajaa kukaba watu ndio flava ikaanza kuisha, mpaka cloudz wakawa wanafanya beach parties kisiri siri ingawa zingine hazikua bomba sana. Nakumbuka long time tulilisonga mpaka o'bay na washkaji tukijua kuna mkwanja kumbe bila bila.
mnakumbuka marehem D'rob n.k walivyo chana "shifty" nyimbo ya onyx wakiwa katiuka lile garii kama lakubebea makontena tena alikuwepo na yule rasta nimemsahau jina aliimba "roho ya korosho".... au ile beach party ya mwisho mwisho ya yule dem ku chaniwa nguo na kubaki uchi? nazo kumbuka ni kama 4 hivi nilizo hudhulia na kuziona bomba. Au kipindi kile cha pool side hiphop kwa sana.....ebwanae ee ndio vile mida
--------------------

"THE ILLEST CAT ON DA INTERNET"

Posts: 143 | From: Tanzania, manzese kwa mfuga mbwa | Registered: Oct 2001 | IP: Logged

sosa
Long time member
Member # 161
posted 09 July 2002 15:31

lakini bwana hiphop ya bongo sasa hivi ni untouchable! wasanii wa longi labda ambao wana weza kutingisha radio za bongo ni kama 2 proud, Gwm, Hard blasterz imebadilika mno na huyo Jay sidhani kama alikuwepo mwanzoni wakati wa kina tuff jem, terry, ngida n.k, Kwanza Unit (sema wamesambaratika nadhani ndio kikundi kimesha kufa), N2P niggaz 2 public (one of my favourite groups nao wamepotea).
alafu mbona kuna watu wengi sana sasa hivi wana imba sawa? wanagezana au ndio style ya ki wilaya flani? sitaji majina nadhani mtakua meshasikia wenyewe.

Lakini bwana lazima nikubali hiphop ya bongo sasa hivi imejiskuma katika next level sio mchezo watu wanafanza mambo!!

posted 10 July 2002 03:43

Mzee Sosa nakubali kweli kumbukumbu unazo, hiyo ishu ya demu kuchaniwa nguo nakumbuka niliishuhudia mbele ya macho yangu,yule demu alikuwa malaya na watoto wa Msasani walipoanza kumzingira ndio soo likawa kubwa watu wakamchania nguo zote mpaka chupi na kuanza kumtia madole...(aliumia sana yule mwanamke mpaka kutoka damu)...bila uongozi wa Clouds na wadhamini ambao walikuwa ni Salama-Condoms kumsaidia yule dada kwa kumfunika nguo ingekuwa balaa(maybe kifo).
Cha kushangaza ni kwamba yale mambo yalikuwa hayafanyiki kifichoni ni palepale pembeni ya jengo la CoCo-Beach(Bongo watu wamedata...we acha)
---------------------------------------------
alcapaino..."the most illest M'faka"

Deezasta
Long time member
Member # 266
posted 10 July 2002 08:16

Habari mbalimbali za hiphop ya bongo (bahati mbaya kidooogo kuna habari za ragga na reggae lakini msikonde yote kheri) mastaa wa zamani ambao wengine hawasikiki siku hizi, kwa faida ya watoto wa siku hizi kama mzee Alcapaino alivyo-request, hapo ndio utajua Caz-T au JayDee wametokea wapi, stuff like that, amani!
http://www.musikmuse...africa/dar.html
[ 10 July 2002: Message edited by: deezasta ]

Posts: 32 | From: Arusha, Tanzania | Registered: Feb 2002 | IP: Logged

alcapaino.
Long time member
Member # 244
posted 10 July 2002 08:56

Sosa umenikumbusha hiyo Concert hasa pale K.U walipo-perform nyimbo ya ONYX 'shiftee' juu ya gari na mdogo wake marehemu D-Rob anaitwa Ndoti naye alikuwa na verse fupi ndani yake waliosha balaa......nani anakumbuka D-Rob na Nigga-One walipofanya show nyimbo ya Brand Nubians inaitwa 'Punks jump up 2 get beat Down' pale Coco Beach........to be continued
*Mzee Deezasta bora umetupa hiyo Web nadhani nayo itasaidia kuwapa watu mwanga flani wa hiphop bongo....Big-up*
--------------------------------------------
#washkaji mlio mtoni na mamcee wa bongo toeni comments pia#

alcapaino 'the long-time performer'
--------------------

'definetly the most illest one'
100% correcto so pay respecto

Posts: 20 | From: University-Dsm (bongo since day-1) | Registered: Jan 2002 | IP: Logged

unregistered

posted 10 July 2002 09:24

si matani naona kumbukumbu zinazidi kuongezeka...naomba mzee J4(administrator) uondoe msg mojawapo ya 'alcapaino' kwenye forum naona kuna makosa yamefanyika mpaka zikatokea mbili zinazofanana.....mi nakumbuka wakati huo disco lilikuwa floor ya saba New-Africa na kuna kipindi Mabronzo wengi wa Bongo waliacha kuipenda hiphop ya mtoni wakaanza kuzimikia mayenu wakati huo nyimbo zilizotamba za mayenu ni kama 'Kidekude'..etc na kama huamini uliza Clouds(nadhani) jinsi walivyokuwa wana-make money pale Salender-Bridge ukumbi unaitwa 'Pink-Coconut' watu walikuwa wanaruka bolingo si mchezo...ila baada ya kipindi flani kupita mambo yakarudi kama kawaida hiphop ikaanza kuchukua mkondo wake.........I'll be back soon
#oyaaa wazee waambieni masela wenu mbalimbali wachangie kumbukumbu zao zinaweza zikasaidia hata Waandishi wa habari kwenye kutoa historia ya hiphop nchini#

posted 10 July 2002 15:02

alcapaino ndio hiyo hiyo beach party niliomaanisha, lakini hiyo ya D Rob na Nigga One (R.I.P) sikumbuki...mida

posted 11 July 2002 03:58

Nakumbuka day-one wakati huo tunakaa Drive-In(msasani) tukapata info kamba kuna Beach-Party usiku saa nne hivi,homeboyz tukaanza kujifoji kimtonimtoni na kula 'ngondi' mpaka Coko(wakati huo mkoko adimu)...ile tunaikaribia Bahari tu mzee nasikia kitu hewani "Gimme something u cant understand,How I can just kill a man" by Cypress Hill,ngoma inakita balaa...vichwa vya hiphop lazima muikumbuke hii....wakati huo nyimbo zilizotamba BeachParty ni kama Slam, Shiftee, Off-N-On(Trends of Culture), Chief Rocka,They want EFX, Dre na Snoop nao ndio wamekoleza beef na Eazy-E,Ice Cube anatamba na 'Today woz a good day',Mc-Lyte na nyimbo yake 'Poor Georgie', Run-Dmc wanawika na 'Down withe King',Apache na single yake 'I need a Gangsta Bitch'... BlackMoon na 'How many mcees'...na wengineo weeeeengi including the single 'Punks jump up'....yaaani we acha tu long time ilikuwa balaa mazee

posted 11 July 2002 06:22

Du sio matani na umesahao nice n smooth, fushnickenz (sikumbuki spelling yake), na cypress ilikua ina enda kitu kama hivi "there is somthing u cant understand, how i could just kill a man", house of pain (jump around), Da youngsterz lakini album yao ya pili wakawa mabishoo, Nas na illmaticz ndio album ambayo hakuna mpaka sasa inayosogelea unakumbuka nyimbo ya "one luv" "whoes world is this" "it aint hard to tell" "half time" n.k yani album ni clasic, Alafu apache was wack az hell! ni nyimbo moja tu kali tena hiyo gangtar bitch ambayo aliandikiwa lakini ukisikiliza album yake huwezi kuamini yani some weak ass shit, Grave Diggaz (lakini watu wengi hawakuwasikia kwa sana sijui kwanini?), Krs 1, souls of mischief, del da funky homosapian, funkdubiest, mad flava, milk bone, na ile nyimbo ya "back in the dayz when i was young im not a kid anymore but some dayz i wish i was a kid again"! ya ahmed (sikumbuki spellin), 2pac "keep yo head up" "holla if u here me", flava unit, queen latifa, ill al skratch, smiff n wesson, cnn capon n noreaga "blood money" "T.O.N.Y" nk nayo ni clasic sum ill thug album mpaka leo ninayo tape na illmatic, Positive K "ive got a man" n.k, leaders of the new school, De La Soul...n.k list ni ndefu mno...kipindi hicho hiphop sio ma bling bling wala nini kama Jay Z na Ja rule n.k alafu nas nae ka ingia murda ink yani miyeyusho tu atakua too comercial....lakini those days were the isht!
ukiangalia long time hata disco au beach parties kulikua na raha wakipiga hiphop vichwa vina weka kiduara na nini unakumbuka hiyo? siku hizi utakuta mabraza meni na madem tu wana tingisha mabega...nk. Au slam ndio ili kua mshike mshike yani raha tupu watu wanavyo wild out! waliokosa wamekosa mengi sana! bongo kuna ka spirit flani ka hiphop kamekufa kwa sababu ya ma chicken heads wamezidi kua wengi, au sivyo alcapaino?
mida masela!

#54 Guest_ELDOGO_*

  • Guests

Posted 13 November 2003 - 05:47 PM

#55 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 21 November 2004 - 02:23 PM

wazee kumbukumbu zimekwisha endeleeni kutumwagia mambo maana watu hawajui hiphopimetokea wapi

#56 pistolpakay

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 15 posts
  • LocationUniversity of Central england,Birmingham,United Kingdom

Posted 21 November 2004 - 04:23 PM

Nilibahatika kuiona Album ya Kwanzanians kwenye maktaba ya Radio one.
sijui mkuki na Doto mko sehemu gani,ila kama mpo bongo,jaribu kuwasiliana na DJs wa pale.ila kama mnaona wnaweza kuwaletea mapozi,basi tutafutane kwa email hii(patrickgondwe@hotmail.com) then ntawapatia anuani ya mtu mmoja wa pale anaeweza kuwasaidia.

alcapaino vp mchizi wangu,Baraka yupo kimya,steve B ndio kwisha kazi.....baraka! amka mzee,hiphop inaenda kaburini..

pkay

#57 alcapaino

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 76 posts
  • LocationRevolving around a Quantized nuclei

Posted 21 February 2005 - 05:01 PM

Juzi nilikua napitia tapes zangu za zamani..licha ya mp3 technology ku-take place bado na-feel sana tape za long (old-tyme kollektionz)...Ambax na Sosa nadhani mnanipata hapa, Mzee nikakutana na tape moja Goldstar Type-I ina trak ya Trendz of Culture 'Off N On', ipo mono ila ukiipa full sauti utau-feel mziki wake, kuna trak za Shabazz the Desciple, kudadeki humo unakutana na Sunz of Man (crew of Killa Priest) na trak 'Aint No Peace without War', the Grave Diggaz (crew of RZA) na trak inaitwa 'the Diary of a Mad Man' kuna trak za MillkBone, mchizi Nine (9), Smif-N-Wessun 'Lets Get It On' & 'Bucktown', Baba waweza kufa maana Side-B kuna kinara mwenyewe the Buckshot of BlakMoon na 'How Many Mceez'....Humo ndani kuna mix pia trak ya Underground Soulz 'Battle Field' nikamkumbuka sana my home-Dawg Baraka, Pistolpakay nadhani hapo unanipata kaka...Bado nachambua gunia la tape za long-tym tatizo ni kila baada ya nyimbo mbili tatu inabidi nisafishe head maana tape zipo full vumbi.....Old HipHop.

alcapaino.MG
'ze Most Illest'

#58 Jogoo!

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 2 posts
  • LocationNowhere

Posted 12 August 2005 - 02:04 PM

nyie mazee mnaijua sana hiphop maana nimesoma hizi post mpaka nadata kichwa, mbona watu mmeishia hapa au bongo fleva imewashika. Hivi jamani bongo fleva ni muziki au style ya maisha, bongo fleva ni nini kwanza mbona inanizingua kulalalalalae mi naona uzushi

#59 cheguarama

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 1 posts

Posted 17 January 2006 - 10:10 AM

Daa it'z true back in da' dayz in bongo,dis topic imeniremind hasa when i waz in bongo,speakin' of D-Rob aka Zomba nakumbuka 4 da 1st namuona dat guy ilikuwa kwenye concert ya Forodhani Sec School pale Don Bosco jamaa alipoteza bovu nakumbuka walikuwa wanachana track ya NWA 'Express urself' machizi waliwapoteza kinyama real mceez thoz dayz kama Hard Blastaz,Mawingu,GWM,Ras Pompidou,Kalikawe na demu fulani simkumbuki vizuri,zaidi ninachokumbuka zaidi ni concert za kishuleshule coz ndo' nilihudhuria zaidi,home ilikuwa geti kali,pia nakumbuka DPT wakati wanamintroduce Dola Soul kipindi hicho all da way from Nigeria pale Poolside Kilimanjaro Hotel,jamaa ilifreestyle kimtindo........halafu kuna mchizi wa hard blastaz alikuwa anaitwa Terry aka Fanani aka Loon,alipoteza kinyama pale Tambaza kwenye concert ya kina Saigon,halafu kulikuwa kuna mceez kutoka Mbeya japo sina uhakika walikuwa wakijiita WWA 'Weusi Wagumu Asilia' machizi walikuwa noma sanaaaaaa.........Amani kwa real mceez thoz dayz KU crew,Hard blastaz,Mawingu,Dar yaoung mob,DPT,WWA,Nasty Child,Salu T,Hashimu aka Dogo,N2P,Ras Pompidou,Justin Kalikawe,Afro Reign,Sewa Syllabus'Burnin train' na machizi wote najua wengi mmetangulia mbele za haki May Allah rest dem in eternal peace..........pia amani kwa machizi wangu wote tulisoma na Oysterbay P. school,Forodhani na Shaaban Robert pia machizi walioorganize concerts pale Jangwani,Tambaza,Jitegemee,Forodhani,Coco Beach,Kisutu,Zanaki,Shebby Robby,Mzizima na wabongo wote tuliopo Canada na waliopo mbali na home(Bongo) REAL HIPHOP NEVER DIEZ!!!!

1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users