Jump to content


cLICK hAPA...'uONE bEEF yA aLCAPAINO'


84 replies to this topic

#1 alcapaino

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 76 posts
  • LocationRevolving around a Quantized nuclei

Posted 28 April 2003 - 10:09 AM

Nimerudi tena mzee mzima 'Mwana verse Malaya'...ALCAPAINO. Popote mtapomuona Ambax, Sosa, Tanzanite, Mr.Blow, Bahati (Mad), Hekima, Tino, Soul Rebel, Barakah na wote wanafamilia wa Web Hii waambieni......vita inaanza tena....str8 lyrics na siyo matusi.

#2 alcapaino

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 76 posts
  • LocationRevolving around a Quantized nuclei

Posted 28 April 2003 - 10:24 AM

kama huelewi, hii ni AfricanHipHop.com
maskani yangu Kimara, ila hapa ndio Hom
tazama zangu lyrics, ingawa leo hujanikuta kwenye form
sina papara, bado nipo underground kama earth-worm
Je, upo tayari kupokea hii 'Vocal Bomb'?
ina weight 700Mb exactly kama CD-Rom
itakufata popote, Arusha, Mtwara hata kama upo Dom
wengi wenu mamcee, ila shairi zenu uniform!

.....aaaaH hii freestlye inatosha kwa leo....
alcapaino..'the Most Illest One'

#3 Guest_mr blow_*

  • Guests

Posted 30 April 2003 - 04:46 PM

wazo zuli mazii sasa mzee hitakuaje..(do u want to start with me or who you taking first holla)acha vita ianze..................... :P

#4 Guest_bahati aka Mad_*

  • Guests

Posted 01 May 2003 - 10:16 AM

haha.... unayawezaa chalii yake?
au majingambo pembeni yake?
tuko gado kama tanzanite thamani yake,
naona kimya, nahisi umerudi kwenye yekeyeke,
kama unabisha tia timu uhenyeke,
ni balaaa sio sekeseke,
lazima uliwe zako kete teke,
ni mshikimshike, lazima nikuteke.
.............aminia

#5 Guest_HISABATI_*

  • Guests

Posted 01 May 2003 - 11:17 AM

Nilipoona alkapino/nilijua ni mwanzo wa kitenzi mashindano/
ni vita vya key board ya computer nafasi hatuna kwa kalamu na wino/
mwanajeshi achagui msitu yeyote aje na iwe jino kwa jino/
kwa silabi ama nomino/kwa maelezo zaidi mulize hekima na tino/
inatosha kwa leo nakwenda kwenye mawindo/

#6 Guest_mr blow_*

  • Guests

Posted 01 May 2003 - 02:15 PM

mc kuvamia fani bila ruska//
ni kama mtoto mchanga//
kufanya asichokijua//
bahata rhymes zako ni kama bahati na sibu//
kali kuliko jack-pot//(lol)
uwezi kumiliki pen kama una mkono//
mawazo yangu yananiambia demu kakutungia//
hahahahahahahahahha......//

hisabati ulizani nimekusahau//
"kwanza" rhymes zako haziendi na jina//
je itakuaje ukiitwa mc shorrri//
kama we ni mwanajeshi//
mbona umeua moja//
labda we ni self guard//
pale nbc................
hahahahahahahahhahah

#7 alcapaino

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 76 posts
  • LocationRevolving around a Quantized nuclei

Posted 02 May 2003 - 09:27 AM

Hey Mr.Blow, kaka nakuonea Huruma
cheki rhyme zangu, kila kona zinavyovuma
Mamceez wanadata, wanaelekeza kwangu shutuma
Lyrics zangu matata,ingekuwa uchoraji mi ni John Kaduma
nimebaki mwenyewe mtu kati
mistari ipo makini inastahili ya-juu Hati
na pia freestyle zangu sizitungi kwa bahati
sijui ingekuwa vipi kama mngeilipia Vat?
Wasanii wenye chuki bado wananiwekea gundu
wanalonga mtaani 'eti wananitoa manundu'
kuna siku mpaka walitaka kunichanja na Mundu
wanashindwa kutambua 'alcapaino ni msanii mtundu!'
...........................2B Continued

alcapaino.Mg
probably 'the Most Illest Rhymist' in Bongo

#8 alcapaino

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 76 posts
  • LocationRevolving around a Quantized nuclei

Posted 02 May 2003 - 09:55 AM

Uko wapi Hisabati?, nioneshe ulipojificha
Jinsi ulivyo mwoga, nashindwa kupata picha
Beef haijakamilika, mistari mipya kila kukicha
nataka nikupe somo, sababu mimi ni Ticha
nawatafuta wale wote, waliofanikiwa kukutisha
wakafanya uogope, kwenye hii Web kuwakilisha
kitendo unachofanya kila mtu kinamsikitisha
inaniuma sana, kwa kweli siwezi 'ficha
Nakutahadhali Mr.Blow, usiulize alipo Sosa
nimepata mpya tetesi, watu wameshamtolea posa
tokea awe Mwana-mwali, Masela ametutosa
Mshkaji wetu haonekani, kuchumbiwa imekuwa kosa?

.........................2B Continued

alcapaino.Mg
a.k.a 'A.K.A'

#9 Guest_mr blow_*

  • Guests

Posted 02 May 2003 - 04:42 PM

mbaka hapa hakuna huruma//
alcapaino muda wakufa sasa//
nazani huwelewi jinsi ya kuva vest//
sasa ni mimi tu kukumaliza//
mstari yangu sii tu "ill"//
bali pia ni weapon za kemikali//
wewe huta sema huko fiti//
kwangu mimi nikama mwana funzi//
ndio kwanza hunaanza shule//
sema mwengi lakini chunga husije kusogea//
kwasababu hutakuwa hunaongea sana//
kadli nitakavyo kuchapa nondo//
hata huelekei kama ni mc wa leo//
nazani rhymes zako kila kona//
zina pingwa..............................
hahahahahaha

dont make sense you sayin the illest bongo rymist
its more like none existing lines

#10 Guest_Bunduki_*

  • Guests

Posted 03 May 2003 - 05:56 AM

Tafadhali Wabongo, mbona mnajiaibisha kiasi hiki na hizi 'wack rhymin battles' zenye chini ya bar kumi na mbili utadhani mnatunga mashairi ya shule za msingi :?: Sikizeni hapa, wengine wetu tujifunze intellectual rhymin.... take this game to a higher level!

#11 Guest_mr blow_*

  • Guests

Posted 03 May 2003 - 04:26 PM

kama we hunajuwa basi lete mstari...usionge sana..maanake usita duu hapa hakuna...halfu hapa sio hip hop shule..hil ni sehemu ya battle field..

#12 Guest_(-_-)_*

  • Guests

Posted 03 May 2003 - 05:02 PM

NAAGAZA YANGU MACHO NA NATUMIA AKILI//
NAONA MC WENGI NA MAJINA YA SIO YAKUBATIZWA//
KILA MOJA HANA JARIBU KUWA MC "SHUJA"//
LAKINI WENGI WAO NI KAMA "WAKIMBIZI"//
UKICHEKI MWENDO WALIO VAMIA NI KAMA "NYUGU"//
MIMI SIO REPORTA BALI NINA WAKILISHA "HIP HOP"//
PIA SIONEI MOJA BALI NINA FUNIKA BOARD ZIMA//
KAMA WE NI MC PUNGUZA MANENO NA ONESHA UWEZO//
KWA JINA TINO NINA MAANA KATI YENU NA MIMI//
WE UTASEMA UKO FITI LAKINI MIMI BADO NA KUJA KAMA "UMEME"//
NITATEKA WENGI NA KUKUSANYA KAMA LUNDO LA "TAKATAKA"//
NA KISHA KUTUPA KWENYE BIN LA UNET//
NIKIBAKIZA UBONGO ILL KUSOMA WEAKNESS YAKO............


(HISABATI YOU GOTTA LOVE ME ON THIS ONE NIGG) TINOMATIC :arrow:

#13 Guest__*

  • Guests

Posted 05 May 2003 - 07:56 AM

Napenda kuuliza swali thow jibu liko wazi..
Huyu Bunduki ni jamaa, au ndo wale wala kozi,
hakuna mapenzi labda uje na nyeti zako(bunduki) ziko wazi,
Bunduki bila risasi, ni shwari utaishia kutoa ushuzi,
ni mwendo mdundo hatutaki makuzi,
niko kamili gado natoa berenge wapembuzi,
uyakinifu wao finyu kama rhyme za mpiga miluzi,
sikuachi alcapaino japo utaniletea ubaguzi,
Hakuna somo la leo hisabati mi nsha hitimu,
utantaka napo kupa hiki kitim tim,
nagonga gonga zote mpaka zile za kwantam,
sio masihara naujua wake utamu,
ustaarabu wangu wa maneno unakupa hukumu mgullu,
usiangalie saa bado wakati wa mimi kushika sululu,
kubali wazi utade wa hi mistari ni zaidi ya lulu,
ukikataa kweli wee Mmbulu,Na utatumia yako migulu/
kunikimbia maana tuko kwenye msululu

#14 Guest_Mad_*

  • Guests

Posted 05 May 2003 - 07:57 AM

Napenda kuuliza swali thow jibu liko wazi..
Huyu Bunduki ni jamaa, au ndo wale wala kozi,
hakuna mapenzi labda uje na nyeti zako(bunduki) ziko wazi,
Bunduki bila risasi, ni shwari utaishia kutoa ushuzi,
ni mwendo mdundo hatutaki makuzi,
niko kamili gado natoa berenge wapembuzi,
uyakinifu wao finyu kama rhyme za mpiga miluzi,
sikuachi alcapaino japo utaniletea ubaguzi,
Hakuna somo la leo hisabati mi nsha hitimu,
utantaka napo kupa hiki kitim tim,
nagonga gonga zote mpaka zile za kwantam,
sio masihara naujua wake utamu,
ustaarabu wangu wa maneno unakupa hukumu mgullu,
usiangalie saa bado wakati wa mimi kushika sululu,
kubali wazi utade wa hi mistari ni zaidi ya lulu,
ukikataa kweli wee Mmbulu,Na utatumia yako migulu/
kunikimbia maana tuko kwenye msululu


........bado nafuka moshi.......

#15 Guest_Mad_*

  • Guests

Posted 05 May 2003 - 08:18 AM

Ushairi kiwango duni sitoweza umegea,
Karibu sana lakini mwisho wake utablow,najua,
Rhyme zako no doubt zinaugua nyongea,
Nimezicheki kikafiri kwakuwa mi ni mwana sanaa,
Sijasomea na wala sisomei hii kazi,
Usije ishia kusema ooh! mad ni ova saizi,
uwezo wangu haufikiwi hata uje na nyambizi,
majini sikimbii na nna hasira nawe kama mkizi,
nakuja kimya kimya niko nyuma yako wee ni mwizi,
nigizani hunioni nimepakaa uso mzima masizi,
siko bize kwa hiyo huu moto huzimiki saa hizi,
umejifanya mjuzi ,mi nakujua wee bado la Aziz,
kunikataa huwezi, na ntakukuja kwenu mwisho wa mwezi,
ntatoa posa kwa wazazi, nikakufaidi kwa wanyamwezi,
sina hofu na wewe najua 'utakizi' matumizi

.....haha haaa!!.....inapendeza

#16 Guest_HISABATI a.k.a AL'GEBRAH_*

  • Guests

Posted 05 May 2003 - 08:30 AM

Hii gobole ama bunduki/mshale ama mkuki/
banza stone ama chuki/binafsi za ally choki/
risasi zako sishituki/visasi vyako kiutawala siianguki/
machimbo niliko sifichuki/fata mzinga uwaone nyuki/

wewe risasi inahitaji shule sana..kuelewa mashairi nauuhandishi...
sina muda sana hapa cafee see ya! but we battle for good! anyway
((LEAVE UR KNIVES AT HOME AND BRING UR SKILLZ TO THE BATTLE))

#17 alcapaino

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 76 posts
  • LocationRevolving around a Quantized nuclei

Posted 05 May 2003 - 03:45 PM

napanga freshi risasi, kilichobaki ni kisasi
kisha nachukua nafasi, wazushi niwatoe kamasi
tazama navyoangamiza, kwa hasira na hii kasi
mnataka beef na mimi, mkononi mmeshika patasi!!??
kaeni mbali Bros', msije mkanipa kesi
hamwezi vita na mimi, mtabaki mnapiga resi
mistari yangu ina-resemble kabisa na sumu ya gesi
bado nawashangaa mnapo-mess na hizi versi
watoto wadogo mnajifanya mna ki-besi?
kwangu ninyi wachumba tu, vueni kwanza hizo 'jassy'
hii ni Rap jamani, hatupo kwenye kozi ya u-nesi
inahitaji akili nyingi kama mchezo wa chesi

...................................2B Continued!

alcapaino.Mg
'the Most Illest Mothafaka'

aithee kumbe Hisabati ni Adilli, nimejua leo. 'Much Props Brotha'.

#18 Guest_HISABATI_*

  • Guests

Posted 06 May 2003 - 06:31 AM

eeh bwana alkapino ndo mimi/ hi-sa-ba=-ti/sioni maajabu ma mc kunishika shati/au kunipa flag yenye kitaambaa cha bati/
mistari yangu haiwezi kufika tamati/
sio mpaka ufike top ten ndio upande chati/eeh bwana alkapino naona umei tawala hii african hip hop kwaani battle yako si ya kisenge/

#19 alcapaino

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 76 posts
  • LocationRevolving around a Quantized nuclei

Posted 09 May 2003 - 03:37 PM

aaaH...kumbe battle yangu si ya kisenge!
basi wacha niendelee kuupeperusha Mwenge
alcapaino na Adili, waliobaki wote Kenge
wanasota kutunga rhymes, freestyle tumezikatia denge
wakitukuta maskani, wanasema ni la wahuni genge
au imekuwa kosa sisi Masela kuvuta bange
msifananishe mtindo wa Rap na miziki ya Wenge
au Maskani Kimara na Arusha pale Kijenge

Cafe inafungwa but........2B Continued

AlcaPAINO.mG
'the Most Illest Metaphorian'

#20 Guest_Mad_*

  • Guests

Posted 10 May 2003 - 10:57 AM

kusema si ya kisenge
basi lazima ulihisi ni ya kisenge,
haumesi na mR blow, au jamaa wa singe(bunduki);
ila ni wakafiri wenye michomo mikali kama nnge,
kama ni movie basi hii treila subirini kitatange,
naona mnakuja mande kama wakimbiza mwenge,
na hapa ndo siondoki na ndo kwaanza nasimika zengwe;
ni kazezee babaa, uliza babu kazenzele,
hata wewe alka utajifanya humjui akinyele?,
mpaka mtakapo kuja, ngoja nikapige misele,





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users