Jump to content


KABLA YA KUISOMA MADA HII KAGAWE URITHI KWANZA.


1 reply to this topic

#1 siraji

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 1 posts
  • LocationAfrica

Posted 27 August 2005 - 01:19 PM

Kwanza kabisa napenda niwasalimie kwajina la bwana wapenzi wote wa safu hii nikiwa ninaamini kabisa kwamba mu wazima wa afya na mnazidi kuyamudu majukum aidha mazuri au ya wastani.
Kwaleo mimi ninashuka na mada ifuatayo.maranyingi nimekuwa nikisikia mengi kuhusu kitu kinacho itwa mapenzi na ktk nyimbo kadha wa kadha ambazo nimejaaliwa kuzisikiliza zimegusa kwa kiasi kikubwa ktk mapenzi ila ktk kufanya utafiti wangu kuhusiana na swala zima la mapenzi nimegundua kwamba kuna mkanganyiko mkubwa kuhusu maana halisi ya mapenzi.kwani nimegundua swala hili kila mmoja analijadili kutokana na upeo wa uelewa wake jinsi ulivyo.lakini ukweli wa mambo ni kwamba maana halisi ya mapenzi ipo.na uelewa wangu kuhusu swala hili ninaamini kwamba unaweza kukusaidia kuielewa maana halisi ya mapenzi.kabla mimi sijaeleza nijinsi gani yalivyo mapenzi basi ninaleta swali kwenu wasomaji Je.mapenzi ni nini?na nikweli kwamba mapenzi ni hiari?mimi ninasema mapenzi ni hiari ya lazima wewe unasemaje? :lol:
Life is like a box of choclate u never no what yo going to gate

#2 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 26 February 2006 - 11:32 AM

kila mmoja anatafsiri yake man
lets talk'bout whats on STREET au sio
izo topic za mabalaza ya mademu
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users