MAN YOU ARE AS WEAK AS SALIVA PUTTIN OUT FIRE.....
kama umeenda jandoni na una mizani ya uzani kichwani/
chomoza hadharani ki ustadi na vifaa kinywani/
wadhani huu ni utani/
ninaKUFUKUZA TOKA HII BUSTANI YA NDANI........
I WANT A BATTLE WIT YAH WEAK ASS BIATCH
FUCK MKURDI........YEAH TELL HIM NCHA-KALIH SAID SO!!!!!
Started by Ncha-kalih, Aug 03 2005 09:42 AM
2 replies to this topic
#1
Posted 03 August 2005 - 09:42 AM
#2
Posted 04 August 2005 - 12:33 PM
Hauna deal wala mweelekeo kamali/ :shock:
kama basi dereva kesha ruka abiria maisha kitendawili/ :(
quertzal kesha kata kichwa chako umebaki kiwiliwili/
wewe kama samaki sasa nimekugeuza upande wa pili/
unapenda kachumbari lakini hupendi pilipili/
unapenda mambo ya kileo ndio maana nakufanya kitoweo/
naishi mtaa wa seweto quertzal mzee wa geto/
mtoto Ncha napenda lako fikito inama nikupe uzito/
kuwanami utapata ujiko vilevile utakula mingoo/
tatizo ujatulia una haraka kushinda upesi/
bado bikira nimepata tetesi natoa mahali nimalize kesi/
nimeacha maasi yaani bibie ni wewe tuu wa kunifilisi/
ibilisi kwangu hana tena nafasi/
mtoto mzuri Ncha mwali ntakulamba hata kamasi :lol:
Dogo unagwaya?
Lazima huniogope :evil:

"Guys don pretend keep it real so dat kids can learn n grow from us"
Quertzal a.k.a lyrical blower
Quertzal a.k.a lyrical blower
#3
Posted 03 January 2006 - 03:28 PM
we ni mwarabu?jina tamuka zabibu,kaimbe taarabu,
kimbenbe nakufunza adabu,kabla haujajibu,nakualibu,omba thawabu
kwa mi'babu,tubu kabla yako mazishi,ngoma ndogo hukeshi,bwa mdogo mkorogo haubadilishi,mi mwanajeshi,nazunguka ka indu kush,
sikopeshi ka mangi,ikdingi haya maji mengi,mistali imetuli ka mtungi,
ni kweli si mwangwi PEWA!

ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users