Jump to content


SINA LAWAMA


1 reply to this topic

#1 quertzal

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 49 posts
  • Locationkimara maskani

Posted 27 July 2005 - 02:04 PM

Nani ana foka quertza kwisha kuchoka/ :evil:
Wanaoshoboka nagawa dozi hili ni dume la shoka/
watakaoropoka nakoki gun karanga zipate chomoka/
unakuja na panga :twisted: uku midomo unachonga/
wakati wanatechnologia twacheza na hanga/
hii sasa nini :lol: jamani hawa bado zama za jiwe/
chokaza utiwe kamwe husikubali hacha tu usimuliwe/
sitaki lawama wakati nyinyi mu watoto wa mama/
niogope kama ukoma nitawaharibu kama sodoma/ :evil:
"Guys don pretend keep it real so dat kids can learn n grow from us"

Quertzal a.k.a lyrical blower

#2 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 07 January 2006 - 02:54 PM

nakuchoma kwa vina,kwa sana,nazika lako jina
ni kama pina hii noma noma kacheze dhuna,
nakuna unaguna,meli ya michano,haumo,
hii misuguano ya vina,sifanyi mashndano,
nawe'mwendo wa konokono,kingamo nakupa msimamo
msukumo strait toka ghetto huu moto si kitoto
NON SHOBO 4EVER[/b]
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users