Who's the best between Biggie&Pac
#21
Posted 22 September 2005 - 02:31 PM
Nataka pia kuzungumzia kuhusu dropout kidogo................. even me& you tungekuwa States lazima tu tungekuwa High School dropout kwa sababu gani living in Project si masihara hata kidogo sidhani hata wao walipenda ku drop out lakini ni kutokana na mazingira na ugumu wa maisha mzee utadrop tu,kama umesikiliza "Juicy" Biggie nasema stereo type of the black man misunderstood...............ni kwmaba black man wengi kuwa dropout ni matatizo wanayoyapata imagine maisha ya Project mazee nyumba ndogo then hakuna mtu wa kutoa support ya maana kama chakula,afya,pesa za shule halafu unakuta mtu ambaye anawatunza ni bibi yenu maybe ni mzee,sasa utaenda shule au uta hustle kutafuta dough at least nyumbani kieleweke?kwa mfano Biggie that time alikuwa na mtoto wa kike halafu mambo hayajatulia.....ndo maana anasema stereo type of the blackman misunderstood yaani watu wanaamini ukiwa dropout basi ni uzembe au kutopenda shule lakini sio kitu cha kweli ni matatzizo tu!!
Yah PAC hakuwa mtu wa mistari tu hiyo kweli kwani mama ake alimu inspire kiaina na mambo ya Black Panther, na kuwa na uanamipinduzi na nini,kuhusiana na PAC kutoa speech ni interest ya mtu tu,sio kwamba lazima kila MC awe na uwezo kudeal na siasa kwa saaaana!! nahisi ni kupenda kitu kwani kila MC an maisha tofauiti anayoishi na alivyoishi!!!!
Kuanza HipHop kwenye poems kwa PAC its not a bad thing,ila kama ni roots za Hip HoP mazee Biggie was right kwani zamani freestyle ndo ilikuwa kigezo kikubwa kuonyesha uwezo wako wa ku rap na sio poems,kwa hiyo yeye anakuwa kama anapoteza muda kwani lazima aandikae poem then baadaye aziweke kama lyrics kitu ambacho its a wastage of time to me.
Dah naona muda unakwenda ila nimeona hizi comments zilikuwa kama Biography kidogo!!! ningependa tuwa judge hawa Ma MC musically and nothin' else,maswala ya uana mapinduzi hapa sidhani kama yanahitajika,tunahitaji zaidi MUSIC kama beats,lyrics,punchlines,metaphor ma wordplay na vitu vinginevyo!!!!
1ne
#22
Posted 22 September 2005 - 03:28 PM
Point haikua kuandika biography ila kum-expose PAC kwa mtandao ambao watu wengi hawako familiar nao! kama ni mashairi, hayo yote niliyoongea Pac anayaelezea kwenye traki zake may b not so directly..!
bak to the Topic, haijaandikwa specifically kwamba inaongelea wordplay,metaphors etc it simply says 'whos the best btwn Biggie n Pac' hivyo naamini mchango wowote kuhusiana na hawa watu unasaidia kujenga maada hii.
Nway, Topic ni nzuri vichwa keep it movin'
1
#23
Posted 22 September 2005 - 03:48 PM
I got more word than the dictionary/
more deadly than the mortuary/
and 2 holy than the santuary
TEMPLE
#24
Posted 23 September 2005 - 09:49 AM
Quertzal (Seby) mambo vipi mwana..Long time Babu! umenigusa sana ulipotaja vichwa vyangu vya siku zote kama Jeru the Damaja pia Mc Ren & Mc Eiht. Zamani nilikuwa nazimia sana West ila mambo yakaanza kuwa ya ki-bitozi sana kule though bado kuna vichwa vichache vika-keep it Real.
Narudi nyuma kidogo nadhani si mbaya, Miko hiyo trak ya Pac, the Dogg Pound na Meth & Redman - 'I Got My Mind Made Up' ilikuwa tait sana...Hasa mpini wake ulivyokuwa unagonga. Mule pia Pac nilimpenda. Kuna track Pac yuko safi kama Quertzal ulivyosema 'Keep Ya Head Up' na 'I get Around' the guy alifanya kazi.
Hivi Pac asingefanya kazi na Suge 'All Eyes On Me 1&2' angekuwa hapo alipo? Maana kitu kimoja mbacho naangalia ingawa si judgement kwamba yeye si bora zaidi ya Biggie ni jinsi gani kila mmoja alivyo-strike kwa mara ya kwanza alikubalika vipi. Ama ile miaka ambayo Biggie ka-strike naye Pac alikuwa ktk level ipi? Hapa nikipata majibu nadhani tutaweza discuss vema.
Suge kumchukua Pac alikuwa ana malengo ya kutosha kabisa na aliona mbali jinsi East inavyozidi kuwa threat! West ina-loose power.
Kingine kama Miko unavyosema kwamba kuna vitu vingi tuki-compare Pac atakuwa tofauti na Biggie & viceversa sababu hawa ni watu wawili tofauti wenye mawazo na historia ya maisha tofauti...Ila tukiwa-judge kama MCEES nani ni bora zaidi ya mwenzake?.
Simaanishi watu wasitoe profile zao.
Hekima unafanya vema kum-profile Pac ili watu wamjue vizuri.
Mi naomba ikiwezekana pia tufanye reference kwenye nyimbo zao.
Ebana Miko aka Bedui ile the Source yenye Biggie kwenye front page ilishapotea zamani.
But Man Biggie was another type of Drama!
Kuna jamaa wanadai Biggie alitoa siri ya Pac kuliwa mgongo jela ndo Beef ikashamiri kati yao, watu wa Pac mnasemaje kuhusu hilo?
Paino the Alca
Rest In Peace Brothaz
#25
Posted 23 September 2005 - 10:03 AM
2.
Rest In Peace Brothaz
#26
Posted 23 September 2005 - 06:56 PM
kingine PAC alikua na charisma(thats God given) kuliko Biggie,nway ukiwapima hawa watu kwa mizani za kazi zao pia unagundua PAC alikua anaandika fast, sina uhakika na namba ila nina uhakika kua PAC alikua ana traks nyingi mno kupita Biggie!
Alca kuhusu ishu ya jela..ha ha ha ha....
1
#27
Posted 27 September 2005 - 01:11 PM
Mzee Miko n Alcapaino, wazee ilibidi nitafute ma fail yangu ya long sana ndioo maana ulikuwa unasikia huo mlio hapo juu nilikuwa nayakung'uta vumbi maana yalikuwa mbali sana juu ya dari.
Anyway, lets go back 2 our topic,
Mimi naona wazee kumlinganisha Big na Pac ni kama kulinganisha Benz na Toyota Corola, ndioo yote ni magari hatukatai na yatakupeleka popote pale unapotaka kwenda,ila thamani na ubora ndio umefanya hata bei ya gari moja kati ya hayo ichangamke zaidi.
Kwakweli jamani Pac si mtu wa kumlinganisha na Big katika mashairi, maana Pac kilikuwa kichwa cha nabii tunaweza sema, ila naona mmenisononesha mlipoingia kwenye maswala ya kidato, naombeni tena niwarudishe kwa mzee JERU THE DAMAJA muone alipoojiwa kuhusu elimu yake ambaye yeye aliishia High scul tu, cheki hapo chini,
" You're one of the more intelligent emcees out there; what kind of education do you have?
Jeru:I have a basic high school education, but it's not school that educates you, it's yourself. Anything that you learn in school, you can learn on your own. If you have someone to teach you, or you can teach yourself by just reading a book."
Sasa wazee ki-mashairi inabidi usimame na kitu kinchoelewaka katika jamii na ambacho jamiii inaweza kuguswa nacho na si sauti tuu kama aliyokuwa nayo Big bali mashairi yalisimama kama ya Pac na si idadi ya vyeti vya elimu yako ulivokumbatia. Mimi na msaluti Pac big time wazee maana mchango wake nimeukubali potelea mbali beef zilikuwa zinatokea wakati wa uhai wake.
Wazee sina mengi leo na muwai mdeni wangu maana nimechacha nikapate japo hela kidogo ya kununulia kipande cha nguru ni kale na ugali jioni.
Alcapaino n Miko karibuni sana Tabata ndioo maskani yangu mpya kwasasa.
"Quertzal da mind blower"
Quertzal a.k.a lyrical blower
#28
Posted 27 September 2005 - 01:36 PM
Quertzal tafadhali sana tafuta hiyo Cd uone jinsi jamaa alivyokuwa anavitesa vina na kutoa ile mistari inayomfanya mtu aliyepo ghetto aone anapata afadhali anaposikia track zake usifanye masihara babu,kwa mtu kama PAC nitakubali kwamba alikuwa ana knowledge ya vitu vingi lakini deliver ya message kama nilivyokwambia ilikuwa haini furahishi lakini Biggie was so ghetto,mi napenda u concious ambao Jeru The Damaja a.k.a Kendrick Davis anavyofikisha ujumbe in good flow baba ake........Jeru ni soo!! i hope unazijua kazi zake he' s straight New York style!!!! next time mkuu!!!
1ne
#29
Posted 11 October 2005 - 05:53 AM
Akhasanteni sana.
sebby a.k.a mchapakazi.
Quertzal a.k.a lyrical blower
#30
Posted 13 October 2005 - 04:09 PM
Halafu Quertzal(jina lako gumu babu) :lol: :lol: ile assignment niliyokupa uliifanya ya kutafuta hii mixtape ya Dj Vlad and Dirty Harry:The Notorious B.I.G Rap Phenomenon ???? nataka nikueleze kitu kimoja kwamba PAC kukaa kote na Deathrow hakuweza kumtumia producer mahiri kama Dr.Dre,kwani hakuna kazi waliyofanya na Dr.Dre ikawa bomba.......ile California Love kwa kusema kweli haikuwa nyimbo nzuri wala nini!!!! sema tu walikuwa ma superstar wawili ndo maana track ika hit kwa saaaaaaana!!!!!
Sasa mwanangu we tafuta hiyo collection halafu ucheki jinsi Biggie
alivyozitesa beat za Dr.Dre,kitaalamu alichofanya Dj Vlad kinaitwa blending yaani unachukua beat ya msanii tofauti then unajaribu ku mix na vocal za msanii mwingine halafu it works right kama ilirekodiwa studio vile,kama vipi Sebby waweza nicheki nikupe utamu ambao Biggie alikuwa anaufanya,mi nasema ingekuwa vipi kama Biggie angefanya kazi na Dr.Dre mbona ingekuwa balaa mwanangu,hii collection ina pini kama 50 hivi plus rare interview na nini................anyway kwa leo ngoja niishie hapa au sio!!!
1ne!!!!!!
#31
Posted 17 October 2005 - 12:55 PM
Mwana QUERTZAL hili jina limetoka mbali sana mwana, Guatemala si mchezo si unajua mimi na mifugo dam dama sasa na megea kidogo,kuna ndege flani mimi nilikuwa na mfuga alikuwa na rangi adimu sana hata kasuku haoni ndani basi akaja demu flan wa kizungu kutembelea himaya yangu siku moja ndio akamkuta huyo ndege, akasema haina hiyoo ya ndege wana patika sana Guetamala na wanaitwa quertzal, na akanibatiza hilo jina mwana sasa mmpaka leo hii ni nalo kaka.
Quertzal a.k.a lyrical blower
#32
Posted 18 October 2005 - 03:48 PM
Kama tunakumbuka hapo mwanzoni mwa mwaka 2000 kama sikosei Proffessor Jay alikuja na HBC Crew na track yao iliyomtoa Proffessor Jay iliyokuwa inaitwa “Chemsha Bongo”……………..Proffessor ana uwezo mkubwa sana wa kuandika mashairi yenye ubunifu wa hali ya juu kuweza kumvuta mpaka mtu mzima kusikiliza na akaelewa ni kitu gani anazungumza,vile vile Proffessor Jay ameweza ku balance kati ya mauzo na kusimama kama MC wa kweli kama umesilikiza nyimbo kama “Tathmini” ,”Jina Langu” , “Na Bado” ,”Nawakilisha”…….na nyingine nyingi tu!!!! Prof ni MC ambaye anaweza ku paint picture kwa usanifu mzuri sana,lakini tofauti ninayotaka kuweka hapa ni kwamba Hashim bwana…….yule jamaa ana kipaji tofauti,uwezo wa kutoa zile ghetto rhymes kuzungumzia street lakini watu watauliza mbona Hashim ana nyimbo chache tu????? Ukitaka kumfahamu huyu bwana ni vizuri usikilize freestyle zake then utaelewa nini naongelea au sio!!! Imagine nyimbo kama “Tunasonga”, nyimbo ambayo iko deep na kikubwa zaidi nahisi anazungumzia siasa,sometimes nasema nikutane naye ni mhoji ni kitu gain alikuwa anazungumza haswa!!! Kuna vitu vingi najaribu kumfanaisha navyo kwa mtazamo wangu lakini simaanishi kama Hashim is same as Biggie at all au sio wazee!!!
No disrespect to Proffessor Jay and Choka Mbaya Click
Pamoja!!!
#33
Posted 29 October 2005 - 07:44 AM
1. B.I.G. Live In Jamaica (Intro)
2. The Most Shady featuring Diddy, Eminem, and Obie Trice
3. Spit Your Game featuring Twista and Bone Thugs N Harmony (Listen)
4. Whatchu Want featuring Jay-Z
5. The Funk featuring Nate Dogg and Redman
6. Get Your Grind On featuring Big Pun, Fat Joe, and Freeway
7. Living The Life featuring Snoop Dogg, Ludacris, Faith Evans, Cheri Dennis, and Bobby Valentino
8. The Greatest Rapper (Interlude)
9. 1970 Somethin' featuring The Game and Faith Evans
10. Nasty Girl featuring Diddy, Nelly, Jagged Edge, and Avery Storm
11. Living In Pain featuring 2Pac, Mary J. Blige, and Nas
12. Beef featuring Mobb Deep
13. I'm Wit Whateva featuring Lil Wayne, Juelz Santana, and Jim Jone
s 14. My Dad (Interlude)
15. Hustler's Story featuring Scarface, Akon, and Big Gee of Boyz N Da Hood
16. Breakin' Old Habits featuring T.I. and Slim Thug (Listen)
17. Ultimate Rush featuring Missy Elliott
18. Mi Case featuring R. Kelly and Charlie Wilson
19. Little Homie (Interlude)
20. Hold Ya Head featuring Bob Marley
(Listen)
21. Wake Up Now featuring KoRn
22. Love Is Everlasting (Outro
#34
Posted 31 October 2005 - 07:16 PM
N DA WINNER IS PAC
#35
Posted 25 November 2005 - 05:55 PM
what a fuck...!!
kumamake mboan topic za siku hizi ni za kisenge!?!?
yaani mnamlinganisha PAC NA big...!!.....!!
cha ajbu mnamdhalilisha HASHIM kwa kumlinganisha na big..!
:oops:
the forum seems to damn weird...!! :oops:
AINT NO VIRGIN BOY IN HERE...!
#36
Posted 25 November 2005 - 08:39 PM
THE SO CALLED AMBACS, FAFANUA BASI KESI YAKO KUMHUSU BIG
SIO UNAKUJA NA KINYWA KUPANUA KA CHANGU BILA POINTI YOYOTE
K... WEWE
#37
Posted 26 November 2005 - 11:21 AM
XPLO said:
THE SO CALLED AMBACS, FAFANUA BASI KESI YAKO KUMHUSU BIG
SIO UNAKUJA NA KINYWA KUPANUA KA CHANGU BILA POINTI YOYOTE
K... WEWE
Kaka hapa umeongea!!!! mtu kama huwezi kuchangia hoja si unauchuna tu!! mpaka uanze kutukana sijui nini man that ain't worth enough my brotha!!! kama vp unasoma topic ukiona inakuboa kimpango wako unajikata au sio!!!
1ne
#38
Posted 18 December 2005 - 05:21 PM
Naona Miko imebidi uje kwa J na Hashim ili watu waelewe vizuri...Anyway siko mzuri sana kwenye kulinganisha ma-mcee sababu kila mtu ana mtazamo wake lakini naweza ku-comment somethin on J. He's still tight at street level. Skiza nyimbo kama 'Nusu Pepon Nusu Kuzim', 'Bongo Dar-es-salaam', 'Zali la mentali', 'kizaazaa kimetapakaa' etc mistari ipo kwenye street level. Siku mchokoze J akupe street lyrics utachoka kuskiliza na nyiingi alizitunga zamani since kipindi cha 'Pata Potea'.
Nadhani inapokuja ishu ya mziki kama biashara hapo ndo inabidi mtu usi-base sana kwenye ghetto maana utakuwa una-limit fans.
Du! Nakuwa nimehama topic.
Ambacs sup bro...Mbona XPLO anakujia juu anataka beef na wewe nini? Naona unamfeel sana Pac leteni vigezo basi ka anavyofanya Miko na Hekima.
Quertzal upo mwana?
One Luv to Choka Mbaya -N- Kikosi cha Mizinga (Ma man Chissy word-UP)
the alcapaino
'muchimuchi'
Rest In Peace Brothaz
#39
Posted 30 December 2005 - 02:13 PM
Juzi kati hapa mama yake Biggie kazindua kitabu kinachoitwa BIGGIE humo ndani kitabu kinaelezea maisha ya Biggie alivyokuwa mdogo mpaka kufa kwake na humu ndani mama yake Biggie anasema hajaandika hicho kitabu kwa nia ya kujipatia fedha la hasha....... bali watu waweze kumjua Biggie in another way,ni kitabu kikubwa ujazo wa bible kama sikosei.
Vile vile katika kesi yake mambo yanakwenda vizuri kwani sasa hivi mambo yatakuwa wazi kutokana na wale wauaji wa Biggie Smalls kuweza kugundulikana ila mambo bado kidogo tu ya upelelezi kukamilika fresh,ki ukweli inaonyesha Marion "Suge" Knight ndo aliwaagiza hawa police officer wa LAPD ambao David Mack and somebody Ravarenz ndo walim shoot Biggie,jamaa kwa sasa wako ndani kwa issue nyingine tu ya Bank Robbery inaelekea hawa jamaa watu wa kazi si mchezo!!!
Poa basi tutaendelea kupeana info kadri muda unavyokwenda au sio!!!
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













