HOLLA AT A BROTHER......
ADILI- WHERE YA-AT??????????????
Started by Guest_HEKIMA_*, Mar 11 2003 10:23 AM
1 reply to this topic
#1 Guest_HEKIMA_*
Posted 11 March 2003 - 10:23 AM
#2 Guest_adili a.k.a hisabati_*
Posted 19 April 2003 - 05:03 PM
hekima nakukumbuka/ulivyoondoka moyo wangu ulishituka/baadhi ya wazushi huku nyuma warikuruka/kijito nyama si salama tena/hakuna mahali pema/katika maisha nakutakia safari njema/mwambie kibabu/sio kwamba sina adabu/ ila nakosa muda asipatwe na ghadhabu/nawakumbuka sana watu wangu kwangu nikiwa na swali nyie ndio jawabu/mtoto aliezaliwa wa kibabu msalimie /salamu toka kwa wajomba zake mwambie/tuko pamoja katika hii dunia muhimu atulie/sipendi kuona yeye atangulie/maovu ya dunia atuachie/mabaya asikimbilie/mikononi mwa wajomba atulilie/kibabu babayake mkumbushie/sisi ni ndugu bado waliosahau awasisitizie/
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users












