Jump to content


Tunatafuta waandishi


  • You cannot reply to this topic
No replies to this topic

#1 Guest_www.kichaamusic.com_*

  • Guests

Posted 07 January 2003 - 03:49 AM

http://www.kichaamusic.com ni site mpya inayojitolea kutangaza muziki na vipaji vya wabongo wote.
Kwa sasa tunadhumunia kulenga kwe3nye kitengo cha muziki wa kufoka.

Tunaamini kuwa internet ni njia moja kuu ya kusambaza muziki ktk kila engo ya dunia.

Tunatafuta waandishi wa kujitolea kwa sasa ili tuweze kuweka site nzima wayani.
Endapo unakundi lako na unahitaji kupresentiwa nasi kwenye site yetu, tutumie e-mail kupitia address tutayotoa hapo chini.
Pia endapo unahabari zozote za muziki wa hip-hop afrika mashariki, tutafurahi endapo utazitangaza kwa kutumia site hii.

Tuko tayari kunyonya kila baina ya nyuzi, iwe tangazo la party, studio, radio, kundi, biashara inayohusika na muziki na kadha wa kadha. Yote ni bure!!!

Kwa wale wenye site zao binafsi, tunawaomba kutubonya ili tuwaunganishe kwenye kitengo chetu cha SITES.

E-mail ya muda kwa sasa ni
Kichaamusic assistant manager:: sooziesan@hotmail.com

Kichaamusic manager::: mikesbaba@hotmail.com

Tutatangaza mabadiliko yeyote ya e-mail mara baada ya mabadiliko hayo kutokea. Kwa sasa tumia anuani hizo.

Much Love and Peace.


http://www.KichaaMusic.com
Asahi shoji manshon 601,
naka-ku, Chiyoda 4-23-8,
Nagoya, Japan.





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users