bleeeeeeeeeeeee!
ah aaaaaaaaaaaaaaah
cheki cheki cheki heyo>
mimi ni kijana>
kutoka pale kenya>
lakini mi sio rapa>
mbali wakilisha >
mabeste huko wote>
ambao hurandaranda>
tena kwa haraka>
staili kama fala>
huku wamewaka>
kabla hawajalala >
bila ata vitanda>
lakini hudaradara >
na sio kwenye rasa>
ambao imeparara >
kama ya malaya>
kutoka bara ulaya
wilaya mbaymbaya>
ambao uvaa nguo viraka>
hatuwezi kuwadara>
to be continiuned
kenyan star burstin' da site yea
Started by chris, Mar 03 2005 12:38 PM
1 reply to this topic
#1
Posted 03 March 2005 - 12:38 PM
i love this site
#2
Posted 03 August 2005 - 09:32 AM
mtoto watoka nje bila chupi/
sanaa hii watafta kipi/
lipi tendo lakukutuliza/
nakuuliza?/
nakupuliza ka mshumaa/
lia mama/
shenzi inakaa umezoeea kuinanma/
zama gizani/
mistari huna kichwani/
na nani kakudanganya, upuuzi watema hadharani/
ncha kalih nakutafuna vipisi vipisi/
kama ninavyo fanya mamissi/
chimba handaki ujibebeshe fataki/
ajili ukinijibuu mimi, hubaki/
hata mje na lucy kibaki/
maumivu unanyakaka kama wavu na samaki......
and that is just to make you aware dont rep kenya shitty like that go battle with a carbon copy of yourself soooooon
sanaa hii watafta kipi/
lipi tendo lakukutuliza/
nakuuliza?/
nakupuliza ka mshumaa/
lia mama/
shenzi inakaa umezoeea kuinanma/
zama gizani/
mistari huna kichwani/
na nani kakudanganya, upuuzi watema hadharani/
ncha kalih nakutafuna vipisi vipisi/
kama ninavyo fanya mamissi/
chimba handaki ujibebeshe fataki/
ajili ukinijibuu mimi, hubaki/
hata mje na lucy kibaki/
maumivu unanyakaka kama wavu na samaki......
and that is just to make you aware dont rep kenya shitty like that go battle with a carbon copy of yourself soooooon
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













