Jump to content


NAWAKA NA VIDANI VYA SILVA NA NAMWAGA MANENO YA ALMASI


  • You cannot reply to this topic
No replies to this topic

#1 quertzal

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 49 posts
  • Locationkimara maskani

Posted 16 February 2005 - 03:54 PM

Nani anataka kuasi,mimi nizidi kusanya wafuasi,sitajali wewe mtusi au wewe wa sayari ya mars,ondoa shaka huku ukikata wasi,huu msuba maili kaka wazidi nipa kiburi,vidosho kaeni tulii quertzal kakaza msulii,inapendeza mnapotulia wakati nautubia,ukijaribu kushindana utatia,na mwendo taratibu kama ngamia,rasilimali zenu nafakamia,mimi nawaka natisha kama kalamashaka,moto umewaka naunguza majumba mpaka vichaka,mimi hofu ya matajiri neema kwa vibaka,hapo battle mtataka haya wote mchakamchaka,mnang'aa kwa pamba za waarabu,vichwani hamna hadabu mnafikiri mtapata thawabu!!! thuubutuu,nyote nyinyii moto wa mabua,mwawaka mara moja na kupotea,karibuni kimara maskani tujewapandisha midadiiii
"Guys don pretend keep it real so dat kids can learn n grow from us"

Quertzal a.k.a lyrical blower





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users