we mtoto mdogo bishoo bishoo, unaye jiita x ploooo
usija ribu kumshika mwana ume uboo,
kisa umeona mashairi yake je, ungeona akiflooo,
maneno yangu mawili yanaweza kutoa chozi,
sababu mi nimwana apolo na wewe una niletea ubitozi,
una andika mashairi kama mtoto wa darasa la kwanza na kutemea kohozi,maana naona umeshindwa hiphop unaniletea mambo ya BOZIBOZI
ana tabia kama zasichana, usicheze naGAIDIkwani utaonekanaKIMWANA,
kwani nikama unacheza na hasidi,au mchezo wa kuinama,
naistoshe kuna baridi, na kidume niko unazani nta kutazama,
kwa hiyo ujue arusha ni sooo,nashika jina lako na wekaXinaficha plooo
FULUUUUUUUUUUUU BAAAAAAAAAAB
kisha nakuachia ujiCLICmwenyewe,yaani chagua ujiue au tafuta mume mwingine uolewe by OSAMA wa chimbo aka NUKTA
X PLOOO kajifunze UNYAGO ndo UJE KWANGU
Started by Nukta, Feb 16 2005 12:29 PM
No replies to this topic
#1
Posted 16 February 2005 - 12:29 PM
mimi nime ipenda kutokana ni njia ya kuweza kusaidia hiphop ya tanzania NA AFRICA.
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users












