NIKO TAYARI KWA CHOCHOTE KUANZIA KWAKO NA MWENZAKO
KABLA HUJAAMKA NISHAKUPIGA KIWIKO
FUNGA MDOMO WAKO WE ACHA MAMBO YA KIMATAKO
SIO LAZIMA NIKUTAMBUE KWA SURA KWA MANENO TU UNAONEKANA CHOKO ,ULISHAAMBIWA NA KUKATAZWA TOKA UKWA MTOTO
NI LAZIMA TUKUELIWESHE ILI IWE FUNDISHO
POLEPOLE HATUA 3 NASHUSHA MTAMBO
KWA KUJILEGEZA USHASHIKWA MATAKO
POA BASI IKIBIDI TUONANE KIPINDI KIJACHO.
KWA AJILI YAKO NA MWENZAKO
Started by mumia, Feb 12 2005 03:41 PM
2 replies to this topic
#1
Posted 12 February 2005 - 03:41 PM
on the road to succed you have to pass in the different way to reach the point , from the start be nice to other who around you dont look back whenever there is no neccesary
#2
Posted 15 February 2005 - 02:52 PM
ku_mamake mtoto wa mama alete uzushi//
nina zana kali kama za george bushi//
nilkuwa bize makatuni mkaja kuvamia//
pametegwa mabomu mnapoatamia//
ndio sasa ninawajia huku nimeshikilia jambia
mganga wa metaphorz a.k.a sultani//
nadhani wengi wenu mwafahamu zangu purukushani//
ninapotinga kila emcii anapiga hodi msalani//
nageuza kwenye amani kuwa vitani//
siwakilishi kwa nguvu ya jani//
bila mgomo rymes zinatambaa hewani//
mkileta ubishi nawapiga bei mnadani//
kama maleria nawapandia vichwani//
nakamata usukani game iwe kama zamani//
ili bongo hiphop irudi kwenye ramani//
nakunywa damu ya maemcii kama mumiani//
Ninaghani tungo kali zenye ladha ya mtaani//
zinazowaacha maemcii na kifafa cha fani//
sina mpinzani na sipimiki kwenye mizani//
kila batto naongeza listi ya mahayawani//
ndio maana wakongwe nilipo hawaonekani//
nawapuliza kama stiki ya ganja na kuwatolea kama moshi puani//
maemcii wanahofia kunitazama usoni//
sababu ushuhuda wangu upo ndani ya mboni//
mbabe ajitokeze nimwagie shahawa matakoni//
kisha nimpigishe mswaki kwa maji ya chooni//
bora msambalatike nikiwa beneti na mikrofoni//
punch line zangu ni tiketi ya kwenda peponi//
falsafa zangu hazichambuliki hata ulete waganga na wasomi//
bora mkala nyomi sababu mida imefika ya kuugua vichomi//

#3
Posted 04 August 2005 - 03:02 PM
KUMAMAKO KNIFEBUTCHER UNAVESI NDEFU
MPAKA NASKIA KICHEFU CHEFU
ANDIKA FREESTYLE
ACHA USENGE NA LIFE STYLE
NIKO NA MUMIA UTAUMIA
NAANDIKA FUPI
NAKUVAA KAMA CHUPI
MPAKA NASKIA KICHEFU CHEFU
ANDIKA FREESTYLE
ACHA USENGE NA LIFE STYLE
NIKO NA MUMIA UTAUMIA
NAANDIKA FUPI
NAKUVAA KAMA CHUPI
niaje j4.
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users