Jump to content


gonga hapa upate battle kutoka kwa osama


2 replies to this topic

#1 Nukta

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 7 posts
  • Locationarusha Tz

Posted 10 February 2005 - 02:43 PM

kabla hujasoma hapa jiandae kwa bero zinazokuja kukuchapa
halafu kabla hujaingia kwenye computer vua viatu au malapa
nikama unajua kifo chako cha maji jiandae kutapatapa
jiandae kumezwa na papa,ama kuchapwa na rapa
kwa huu usawa wamkapa,2oo5 ni mwaka wa maangamizi nukta na hapa,
mwaka wa bongo fleva kufrizi,kwa skilz za mahizi tunao sizi waaaaaapi,
huulizi, ukijidai unapanua mdomo tuna pasua fizi,tuna chenchi laza ya mate inakuwa na ukakasi kama ndizi





by osama na ntakuja kukutembelea wakati wa usingiziiiiiii .........
mimi nime ipenda kutokana ni njia ya kuweza kusaidia hiphop ya tanzania NA AFRICA.

#2 XPLO

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 77 posts
  • LocationDEEP IN UR MEDULA OBLANGATA

Posted 10 February 2005 - 09:33 PM

eiyo
nukta hapa utaguta/
yani ki rap utakungutwa alafu ukibisha utanyukwa/
si waja pupa pupa/
africanhiphop unaingia kwa kuruka ukuta/ utakanyaga michupa/
kacheze na machalii wenzako, kwangu hicho kisura kitaumuka/
kijana mbona utajutaaahh/yani rhyme zangu ni supa/
nani kakupa rukhsa kuja hapa kujirusha/
wenzako wamekwisha mfano- hekima amebaki mifupa/

jus playin wit u kid

respect da illest

#3 quertzal

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 49 posts
  • Locationkimara maskani

Posted 12 February 2005 - 10:45 AM

jamani hivi sote mwendo mmoja,au wengine mwajikongoja,huu mwendo mzito jamaa twasaga nyasi vichaka kaka mambo kisoja,hiivi ngoja,tunataka mashairi yaiyosimama na si malumbano ya hoja,kama wewe mc basi njoo kwa wito, rhymes zenye mvuto,zenye kung'arisha mito mmpaka vijito.
"Guys don pretend keep it real so dat kids can learn n grow from us"

Quertzal a.k.a lyrical blower





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users