HUU NI MWAKA WA HIPHOP HATUTAKI BONGO FLEVA.
HUU NI MWAKA WA HIPHOP HATUTAKI BONGO FLEVA
Started by uhuru, Feb 08 2005 04:37 PM
2 replies to this topic
#1
Posted 08 February 2005 - 04:37 PM
niaje j4.
#2
Posted 08 February 2005 - 05:32 PM
Unamaanisha nini kwaku/ulivyo sema "nimwaka wa hiphop sio bongo flava?" niki guess au nilivyoelewa ni unamaanisha less commercial and more street and society consiousness au?
#3
Posted 10 February 2005 - 01:38 PM
Maana yake kwanza hiphop ni maisha ya mtaani ambayo yanaongelea kuhusu siasa na matatizo ya wananchi kwa ujumla,unajua bongofleva ni mziki ambao unazungumzia starehe na mapenzi kupita kiasi kwa hiyo nilivyosema hivyo nina maanisha kwamba muziki halisi unaozungumzia maisha halisi ya binadamu ni hiphop.full.
niaje j4.
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













