raundi: hazina tamati
mistari: min 16 max 30
"unajua mapigo, maandiko makatili ninapotema hasira
pasifiki yote inapata kero la mawimbi nikinukuu na kutapika"
afrotanz VS he! kima
Started by aFrOtAnZ, Jan 28 2005 09:04 AM
2 replies to this topic
#1
Posted 28 January 2005 - 09:04 AM
Kama Unadhani Elimu ni Aghali, Jaribu Ujinga
#2
Posted 05 February 2005 - 06:27 PM
hekima vunja mifupa kama meno bado iko
explo aki log in si utani forum nzima mtikisiko
mc yeyote namweka kati nampa kibano bila minung'uniko
dogo unanipa mfadhaiko kila nikiona wako mwandiko
utaeka wapi hicho kiuso once inchi tisa ikitinga kwenye hicho kitoko
shauri yakoooooo
shauri yakooooo weeeeeh
shauriakoo kitoko weeehh
2 b conti

#3
Posted 07 February 2005 - 09:20 PM
gangamala we k**a aka hekima/
mbona wasusa na ulisema soka wajua kulibutah/
au kiwango kimeshuka unaogopa kunyukwa/
eti chatroom wanaiharibu?
Y? sababu ma mcee wamekuadhibu?
ulionywa ukusikia sasa taratibu maumivu utayasikia/
hata kichwa ngumu ukijitia/
rejea mwituni twakuonea huzuni we katuni/
mtafute alcapaino ukimpata undeni kikundi/
kiiteni mashoga wawili wasio na dili/
bruce lee gani wa kichina asie na vina?
nenda kapake hina we mchambawima/
humu ndani mpango huna utaliwa tako k**a weeeeeeeeeeeeeeee/
now get back
u don no me like daaaaaaaaaat

1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users