Jump to content


huh


2 replies to this topic

#1 sosa

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 168 posts
  • LocationTanzania, manzese kwa mfuga mbwa

Posted 10 December 2002 - 04:19 PM

Nilisoma artical moja hivi katika darexplosion.com, nikashangaa kumbe ma old school wa bongo hiphop bado wanataka kurudi na misantuli?? :o

Nilidhani KU (kwanza Unit) ilikua imekufa lakini kumbe bado wapo, wanakuja na album! (nadhani)??

Sasa inakuwa kua vipi? nasikia kila moja yuko mbele mbele viwanja wana kutana vipi? katika mambo ya studio? au wana chukua vocals tu na kuingiza katika mitwango mambo ya technology?

Au ni maneno tu bila vitendo?

#2 Guest_Deezastah_*

  • Guests

Posted 12 December 2002 - 02:52 PM

Time will tell.....au siyo mzee Sosa? sisi tusubiri tu

#3 bongonian

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 60 posts
  • LocationArusha,Tanzania

Posted 13 December 2002 - 04:49 AM

nadhani kwenye ile article inasema wanampango wa kukutana sasa hapo sijui kama wakutana wapi na lini ..isipokuwa naona wakongwe wameamua kudhihirisha bado wapo kwani nilisoma article nyingine kuwa GWM nao wanataka kurudi na kitu..

hivyo tusikilizie kama watakuja na moto





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users