Jump to content


navyoyaona


9 replies to this topic

#1 JiChO NyAnYa

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 14 posts
  • Locationnyuma ya macho

Posted 15 November 2004 - 12:29 AM

word africans n hip hop fans/navyoyaona!!jicho nyanya
ni poa/ haina noma/japo bado nasoma/kipaji hakija koma/
nayo sema ndani ya dibaji ndivyo navyo yaona/swala si unapo guna/
hufikii yanini ujilazimishe kukuna/napozungumza wote kimya ni mi na macho yangu tunanong'ona/mfano napojichoma/macho huwa mekundu/
ka damu inapo toka binti anapo tolewa bikra ya mkundu/
mi nna machungu/nishaona mamc wengi hawawini kisa ni gundu/
wala si cha uvungu/kama ni pingu mikono nyuma nabeba virungu/
mungu mi namachungu/nikisema nachoona wanadai nachochea vurugu/
ka na we ndo umekolea/nakuruhusu sogea/jongea/
upinge nachoelezea/mishipa ya damu juu ya jicho inaelea/
hitimisho nawatobolea/
.........................try me

#2 JiChO NyAnYa

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 14 posts
  • Locationnyuma ya macho

Posted 20 November 2004 - 09:26 AM

:Dnilosema yaonekana ni ngumu kumeza/nikila ndumu naweza/hata kutusi acha kupiga/mgumu naua winga/nakuacha mjinga unakunywa sumu/nateleza mikononi mwa serikali wanabaki wakijilaumu/hatari na majukumu ka mwaikibaki/ruksa kokote nenda kashtaki/niite kiokote unachodondosha sikiachi/jibu mashambulizi nikukanye nikuache ka ndondocha/naweka hii, leo kwa atae jibu kesho/si vichekesho/jicho nyanya ni ka nabii wa kizazi kilichopo/napaa anga za kiza ka bawa popo/ama popo bawa/ukileta uchoko nakumwagia shahawa/inaonekana mnanigwaya/na tisha ka miwaya/naelimisha kwa riwaya/ka malaya nakichanga sawasawa....uwanja wazi..twende kazi

#3 mfanisi!

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 5 posts

Posted 20 November 2004 - 09:54 AM

hisia kali/kimbia mbali/
cheki nnavyofikiria askari/
ukivamia hatari/
huu moto si kitoto maskani king“oko/
naleta joto kwa mamc watoto nachapa mboko/
muulize mwanangu nomoko/
hii mstari ina lebo ya fuvu jekundu/
ni hatari maneno yanawatoa gundu/
ukichomoa majungu/
ntakubomoa kwa mafungu/
kwa kuanza na kichwa mwisho kwenye mkundu/
nafunga beti/
vina vimejipanga ka bajeti/
muulize bomba jeti/

#4 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 20 November 2004 - 02:13 PM

tangu mkongwe niende likizo naona kwa fujo mmeingia//
mi ndio bucha mazee jee tetesi zangu mmezisikia :?: //
muulizeni Bwana Masanja kabla miguuni hamjanifia
nawachimbia kaburi huku mkiwa hai nawafukia
nyie wote bado cha mdori msiombee vitofa nikawashushia//
msijaribu kusogeza medulla maana bandugu watawalilia//
kila emcii anayejaribu kuweka bifu kama utani anateketea//
nawapa onyo kali bora mapema mkapotea// :evil: :evil: :evil:

#5 JiChO NyAnYa

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 14 posts
  • Locationnyuma ya macho

Posted 22 November 2004 - 12:59 PM

unapo mess na jicho nyanya/si tetesi ni kweli nitakukanya/
utanipa kesi jinsi ntavyokufanya/
fanya upesi nisije nikakula nyama/waambie wenzio
mje kwa makundi na bado ntawatawanya/mi ni ka bundi kwenye kiza nawinda panya/nimepinda/si saizi ya kucheza na makinda/we butcha ntakukunja usiku kucha/
ntakuvuta ka kitu we cha ukucha/nakuacha umeyumba/
baada ya kuvunja unyumba...............................

#6 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 22 November 2004 - 05:22 PM

JiChO NyAnYa said:

unapo mess na jicho nyanya/si tetesi ni kweli nitakukanya/
utanipa kesi jinsi ntavyokufanya/
fanya upesi nisije nikakula nyama/waambie wenzio
mje kwa makundi na bado ntawatawanya/mi ni ka bundi kwenye kiza nawinda panya/nimepinda/si saizi ya kucheza na makinda/we butcha ntakukunja usiku kucha/
ntakuvuta ka kitu we cha ukucha/nakuacha umeyumba/
baada ya kuvunja unyumba...............................


jicho nyanya..shauri ya ndumu au ndio ubwege na uzembe//
eyo nakupiga kwa staili za makarateh yaani kichina china//
unajua kinda unaumwa na ugonjwa wenyewe ni kifafa cha vina//
nakucheki unavyoyumba huku mistari kichwani ukiwa huna//
kunifesi mimi ni sawa na kupigisha gari misele juu ya mlima kitonga//
lazima uende shimoni pale breki ikiboronga// :evil: :evil:

#7 JiChO NyAnYa

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 14 posts
  • Locationnyuma ya macho

Posted 25 November 2004 - 12:33 PM

jicho nyanya..shauri ya ndumu au ndio ubwege na uzembe//
eyo nakupiga kwa staili za makarateh yaani kichina china//
unajua kinda unaumwa na ugonjwa wenyewe ni kifafa cha vina//
nakucheki unavyoyumba huku mistari kichwani ukiwa huna//
kunifesi mimi ni sawa na kupigisha gari misele juu ya mlima kitonga//
lazima uende shimoni pale breki ikiboronga// :evil: :evil:[/quote]


kichina china???? ahhh! kuma unacheza/mi si wakugeza/nakuchapa kiswahili na kupoteza kingereza/hunitishi mtaani hunitishi magereza/
we ni maiti nakutayarishia mazishi na jeneza/mbishi hutoniweza/
na ishi kujitosheleza/vina vyangu haviishi/vinagonga kila kona ka mikono ya pweza/minong`ono namaliza so ka najikweza/
hizi beti nazokupa zina thamani ya fedha/taka tema taka meza/
sema mi nakubeza/si unaona!
wengi wanasoma na hakuna wa kujitokeza/
wamenusa hatari kwa mbali/we kipusa ka mbali/
askali sina habari/butcha asusa ntakugeuza mwali/
usijaribu kunusa yakikukuta utasingizia ajali/
we..da...dah.......ninge kuharibia sema muda unanikaba/
chunga we kahaba/kabla sijakupiga bao saba/
mbao ninazo banga ni zao haba/
we chonga mwanao ntakutomba bila raba/
ka we komba basi mkono utalamba/
mi nasonga na kikosi cha makamanda/
nuksi napo kuchamba/mtoto wa mama utaomba msaada/
chukua na hii mistari ukatoe singon yako ya kwanza/
eti unakuja na style kichinachina ka banza/
huna vina kuma usejua kuchamba/
unatambua mi niki-battle na wewe zaidi tu nakupamba/
huu ndo ukurasa wa kuingia wenye kutamba/
kijana toka mjini rudi shamba/
unaona maisha yanaishia kupiga pamba/
tazama juu kwa mungu wako,anza kuomba/
mana kila ntapotia maguu nitakuponda/
.....duh....dah muda unakwenda na nna vitu vingine vya maana/
/vyakufanya/
so kubishana na huyu mtoto wa mama/..
sijue nimwache au niendelee kumkanya/
si matani nyuma nitakufanya/
unaguna kuskia mi natukana/shiit naona nasema sana/
namaliza wino mrembo mwenyewe hana msemo/
butcha funga mdomo/mi ndo fito ushafika kikomo/
utajuta kujua kutumia internet/utapojikuta nisha kuvua sketi/
yaani we ni bado binti..........umeskia mshabiki wa t.o.t/
nenda kashindane na ali choki!!!!!ha ha ha!!!nakupa visa bila passpoti/
unaona kiza unadai mungu kavaa koti....njoo uchezee pumbu...
nikumwagie manoti...........we ntakuuwa kuma kaa kimya....
wala hii page si ya kufungua...TAMBUA..JICHO NYANYA.

#8 JiChO NyAnYa

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 14 posts
  • Locationnyuma ya macho

Posted 12 January 2005 - 11:27 AM

yo m back/black betta in da mic/yo fake mc,getchu r mind rite/ha ha/
naposema nimerudi/si nyuma/nazidi kusonga na juhudi nazisukuma/
najituma ka myahudi/nachoma udi makusudi/
ka ujasoma basi na huna budi kukaa kimya/wasiwasi sina/
wakunighasi naona hakuna/yani hata papasi haning`ati ananikuna/
navuna nyasi ka mmang`ati/nalipuka mitaa ya kati/
bendera kitambaa sio na vuma upepo unapo toka/
mzee wa kumoka/pekee nae foka na wengine kimya.......
nimekuja kufunza na nyie mpate kujifunza/
nataka kuwatibu miguu niwatoe funza/
taboo ninazo tupa/mr blu nishamkunja/
ha ha ha...yeah ganstaz bitchiez n microphonaZ,dis is it......m back assholez........u wanna get it....lets get it on..hata ka una ngoma/
haina noma/mwendo kavu na kondom sina/aya njoo twende kazi...
JICHO NYANYA.... :twisted:

#9 Nukta

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 7 posts
  • Locationarusha Tz

Posted 24 January 2005 - 01:55 PM

wote sijaona mnachofanya mnahanyahanya nawakusanya
kuanzia huyo alcapaino mpaka jicho nyanya
ukubwa wenu nikama wa panya
hamjafikia hata wa kuku na mko huku
kaja mjeshi wakuwatoa mkuku. :oops:
mimi nime ipenda kutokana ni njia ya kuweza kusaidia hiphop ya tanzania NA AFRICA.

#10 aFrOtAnZ

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 10 posts
  • LocationEast Africa, Tanzania

Posted 28 January 2005 - 07:43 AM

...
haya, nani huyu mbishi kama punda, jibu mnalo
sababu nukta sio ka-kipele tu, ni muwasho wa kinyeo
analeta kero mtandaoni anavyoigiza kwa ukorofi na undava
wakati tunaona kabeti kamepaliwa na moshi kuliko jicho nyanya
ungedhani wewe ni rijali, kumbe unafanya kazi kutulaghai
lakini nafahamu nukta, ndio maana ninakupa doti uvae
kijana, we ni zaidi ya wimbo wa kilio, bubujika ziwa basi
ili nitafute ubao wa makasia kwa vile wimbi la kabeti kako halina kasi
Kama Unadhani Elimu ni Aghali, Jaribu Ujinga





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users