kabla Huja-CLICK hapa...kwanza tangaza Msiba kwenu.
#61
Posted 18 February 2005 - 01:43 PM
alcapaino.MG
'the Most Illest'
#62
Posted 18 February 2005 - 05:54 PM
Bora nikae mbele ya kioo na kuji-batto mwenyewe
Rhyme zangu full-kiwewe, mizani yaja yenyewe
Mistari itafa na wewe mpaka milele unielewe,
Mlipuko wa zangu tungo ni zaidi ya puto la ushuzi,
Silabi zimeshonana kama 'nyuchi' yenye uvuzi,
Usijifanye Mjuzi, kamwe usi-mess na hii lafudhi,
Mi ni kama Jakuzi, 'takatisho' kwenu wapuuzi,
Sikulaghai, kwenye forum uchelewe ama uwahi
uki-batto nami utapata 'masumbuko' zaidi ya Lamwai
Sikushangai, mistari uikope ama uidai
ki-fasihi itakusulubisha mpaka mwenyewe uji-deny
Mduanzi, crew yako wote vichwa panzi
beef nami ni sawa na shingo iki-beef kitanzi
Mi Nuksi, Nang'ara kama nyota ya Mamajusi
Na-batto ki-tutsi, kwa vina-mistari zaidi ya kamusi.
AnayeJIJUa alijibu huko juu na hakutangaza msiba kwao aje kwenye hili JENEZA
'Wat'!!!! :!:
alcapaino
'MG the ULLU'
#63
Posted 27 February 2005 - 08:47 PM
eti hii
ndama alcapaino inataka mdindia beberu/
wakati kivina ni nyeupe kama zeru zeru/
roundi ya kwanza uliingia mwituni we mpuuzi/
hivyo usilete makuzi, rhyme zako nazipigia miluzi kama luzi/
nakupachika sime la vina washindwe kukushona wauguzi/
mwenzako hekima nimemzika mzima mzima/
ndo maana yupo kimyaaahh, unansikia we kima/
utajuta kujaribu kwea hiki kilima, mi ndo mzee mzima/ eehee bwana
rhyme zangu kamili, zasimama wima ujiko nakunyima/
wenzio wananijua ma mcees navyo wafua kama kaki na foma/
yani ni noma hicho kiwewe kita pona, msenge nakuonya/
1-TIME
RESPECT DA ILLEST
#64
Posted 04 March 2005 - 06:09 PM
anyway, OK.
Naanza........
Eeh Mpenzi, nikukanye ama nikuonye?
Hiki kitenzi, kikufanye ama kikusonye?
...aaaah Tungo zenye Question Mark hutoweza utakufa mapema..zina fasihi nyingi? We umezoea IMLA (za kusomewa)
Ngoja nikupe inayokufaa! Pata hii....
Hata sura uikunje vipi we kwangu sista duu
Rhyme zangu 'La Mkuu' usipoliskia 'Utavunjika Guu'
aaah Hii Nayo Haikufai...Mistari yenye tamathali za semi na nyingi methali hujazoea.....!!!!!!
Nimekumbuka...tena umenitukana 'Msenge' kwenye 'Hotuba' yako hapo juu inaelekea unapenda batto za matusi....
Nakupa jibu linalokufaa.....Chukua hii hapa chini..yaweza kuwa saizi yako...
:arrow:
Kuba-babako, bado unataka beef we matako?
Kaite wote ndugu zako + Mapimbi wenzako washuhudie kifo chako!
Mi ni ndoto ya Mama yako, kuzaa mtoto pekee lijali na awe kaka yako
Mi ndo pendekezo la Uncle zako, kupata shemeji 'Kidume Halisi' awe Baba yako
PumbaV, leo utatoa tu LUV, iwe kwa hiari ama kwa MabaV
ShupaV, ntapasua hiyo valve, chana wavu iwe kwa mafuta ama kaV-kaV
Msije kunlaumu/
Mweleze na Jicho ny-ANYA mna-beef na Futari wakati wa Swaumu
Humuhumu mtajihukumu/
Mmekosea kujichang-ANYA na Mgumu anayefuka moshi mkali wa Ndumu
MI fyatu, uwepo wangu ni Illegal kama 'Nyekundu' ya karata-tatu
Hata mje watatu-watatu, yenu mistari muichange kwenye kikapu timu nzima kama UPATU
Nipo strong ki-mistari kama mchanganyi-ko wa Nondo na Zege
Rhyme nazi-prolong kila mahali zinakupa msisim-ko kama Uhondo wa Nyege
Bad-Luck nipo Cafe na ndio wanafunga sasa.......Wacha Niishie hapo
alcapaino.MG
'the Most Illest'
Rest In Peace Brothaz
#65
Posted 14 July 2005 - 12:55 PM
jukwani ni ncha kalih na nairobi ndo anwani/
sauti yangu kwenu msiba/
mnapotokea ndio nilipokulia/
na ninavyo zidi tema ndo mwazidi kulia/
tulieni vitoto njooni kwa baba/
i throw this shit straight to yah face skywalker, butcher knife or what eva the f ur names are................
#66
Posted 14 July 2005 - 12:56 PM
jukwani ni ncha kalih na nairobi ndo anwani/
sauti yangu kwenu msiba/
mnapotokea ndio nilipokulia/
na ninavyo zidi tema ndo mwazidi kulia/
tulieni vitoto njooni kwa baba/
i throw this shit straight to yah face skywalker, butcher knife or what eva the f ur names are................[/yoh mamas like me beta/coz she knows in all things ama go geta.....quote]
#67
Posted 14 July 2005 - 02:06 PM
kanipenda mbongo nimvue yake bikinii// :lol:
hajali mi choka mbaya yeye anazimia tuu mpinii//
ana feel yangu mikito huku kasimika kwato chini mithili ya mbuzi brekiii//
niite sebby mwanaitikadi kwangu tulia :evil: nikupe happy//
msahau mummy na daddy hapa raha tupu huitaji ganziii//
mimi ndio chaguo lakoo zama tuu bongo mipaka sio kikwazoo//
hapa ni free zone dhambi na kama kamchezo//
kwingine kote sioni wewe unavyote vyangu vigezoo//
unangozi nyororo tabasam lililokosa kasoro//akhasante kwa kuwapiga chini mabishororo na kunikubali mzee wa kiroro// :wink: kuwa makini :evil: skywalker anakutamani//anaweza kuninyang'anya tonge kinywani//nami nibaki ufukweni bila thamani//mwenzio naona soni :twisted: unapotafuna kucha mwingi wa aibu kunitazama usoni//
karibu
Quertzal a.k.a lyrical blower
#68
Posted 14 July 2005 - 02:24 PM
wewe kunifira labda kwa uganga/
nimesoma ka verse kako man hauna ujanja/
umerudia aibu za kwenu nyumbani mbele ya uwanja/
wajidai hardcore mfiraji na umepaka wanja/
crew yenu yote na waparamia nakuwapa mia/
nawaacha mkilia mkitafuta pahali pa kuhamia/
huku sikia kilio cha mashoga wenzako/
mimi dini wewe mfuasi/
nafasi ni moja tuu wacha uabunuasi usijepandwa ka treni mboka/
foka basi kama mbwa koko anaelinda kopo na huto torhymes mkopo/
ulikolelewa ndo nilikozaliwa msanii amini/
usije rap kwenye mababe wenye jeans ukiwa ndani ya kamini/
dhamini kipaji kuliko hicho kipini chako puani/
nadhani kama sio ushoga, huna maana ndani ya mizaniiiiii muuuuuuuah
#69
Posted 14 July 2005 - 02:38 PM
vipi vimiss wiki ngapi mmenimiss/
nikichana si miss/
nakomba wewe, yeye na yeyote ninaewish/
pliz/
wote hatuwezi rap/
si wengineo wa clap/
ajili mistari yao ni crap/
hii ni trap yaani mtego ka nyote mc kibonzo/
naleta usongo ndani ya forum vile mistari inastun/
navyokaburn hako kako kaCPU/
wewe ndie waende ICU/
pande zote nipo ka mshuto, ka mshiko/
na pika ziki kama jiko/
nimwashe mc kama kiko/
kama rap ni nywele nyi ni vipara
#70
Posted 15 July 2005 - 02:58 PM
ncha kalih elewa/
ukiwa nami matunzo ful kipupwe kamwe hutochezewa/
ninawivu :evil: ndioo maana nakuwa nawe karibu kwani sitopenda ku-tombewa/
najua unaweza mapenzi lakini hiphop huyiwezi/
hii shughuli bibie niachie wako mkwezi/
nikupe kipara uku ukiniburudisha na malalamiko matamu ya tenzi/
kamwe naapa sitothubutu kukufanyia ushenzi/
ziba sikio na kamwe husikilize sauti za wezi wa mapenzi/
unanifurahisha :lol: kwa mwendo wako wa ki-lazy/
uku tako ukichezesha kwakweli unidatisha mnyamwezi/
mimi kwako ni moja tuu nia/
kwakweli bibie ncha kalih mimi quertzal nakuzimia/
kucha zako zina ncha kali zanitomasa kwa uzuri walai nakuambia/
sasa sitaki milupo/
nimecancel hisiyo ya maana mitoko/
moja ya kubadili yangu mienendo nikupe japo ujiko/
mimi si mnoko kama malalamiko mengi yaliyoletwa kwako/
basi ni donge lakuona nafaidi bibie vya kwako/ :cry:
Quertzal a.k.a lyrical blower
#71
Posted 15 July 2005 - 03:40 PM
#72
Posted 18 July 2005 - 10:23 AM
Ncha-kalih said:
Ncha-kalih said:
jukwani ni ncha kalih na nairobi ndo anwani/
sauti yangu kwenu msiba/
mnapotokea ndio nilipokulia/
na ninavyo zidi tema ndo mwazidi kulia/
tulieni vitoto njooni kwa baba/
i throw this shit straight to yah face skywalker, butcher knife or what eva the f ur names are................[/yoh mamas like me beta/coz she knows in all things ama go geta.....quote]
kupapatikia wanaume.
:evil: :evil:
kimkundu chako kina bikra usinilazimishe nikufire
sina simile nipo kwenye batto toka zama zile
kuma la mamako nitakuingilia kinyume cha maumbile
namba ulioibipu.. katuni haijapata mteja
hapa nakutoa jumla sifanyi upuuzi wa reja reja
emcee nitakuacha ukisizi kama mateja
nasonga kama frontline soja
nakwenda maili alfu.. unajingoja hatua moja
#73
Posted 20 July 2005 - 01:02 PM
Quertzal a.k.a lyrical blower
#74
Posted 23 July 2005 - 09:54 AM
#75
Posted 23 July 2005 - 06:17 PM
#76
Posted 25 July 2005 - 09:54 AM
FREDDY said:
hii namba nyingine utatokota
tutakurusha chini watakuokota
kwenye fani hatujaja kubabaisha
na hope hata mwenyewe tunakutisha
ma2si sipendi nafuata maisha
kijana wee mdogo au unabisha?
fani haitaki warukiaji itakulostisha
kwanza jina knifebutcher badilisha
au ndio mibange inasababisha?
basi kama vipi fani achia tauche east coast kusabibabisha
take care kijana utapotea
huu moto mkali utaumia
EAST COAST BABYYYYYYY
AMINIA,
#78
Posted 27 April 2006 - 12:22 PM
watu wanalia hana rhymes aliuwawa na aka smokinio
unaandaa mazishi ama nisha kuua
si vidole vyangu vitano vilikubana koo ukaacha kupumua
leo nakuteketeza na kukuacha uliposimama
ndo ujue dunia si baba si mama
kenya wanan'gota mbaya bongo wananiaminia
ju ya mistari imekunjwa braza masela wako wananifagilia
mizani toka kwa friji kaka zitakuchoma
sijui niendelee...hapana nitakoma
#79
Posted 28 April 2006 - 05:23 PM
'Dali dabo dali ticha natisha kila kukicha
mistari ipo chicha script yako leo utaificha'
Pambio limekwisha sasa pata 'trak kamili'
:arrow:
Bingwa wa michano leo ntakufanya mfano
ndo kwanza post yako ya tano unataka batto na alcapaino
sitafti ujiko, na-blaze mistari kama kiko
kubatto nami mwiko ka huamini muulize Miko
mizani toka kwa friji?, Pimbi! hapa kwangu-Mshindi hudindi
hata ingekuwa 'mufindi' mistari ina-spit fire nakuchoma ka' uwimbombo na ulindi
batto zangu webuni ni papo kwa papo
nakupa kichapo, nshakula kiapo afta' batto unakamilisha yangu couple!
vina vyenye kasi mpya ya ajabu vitakuacha kiwete
Hii nguvu na ari mpya ndo sababu wananifananisha na Kikwete
Ziwani umepoteza nanga!, nakuona ka mkoloni kwa Kibanga
maskani kasimulie hili janga navyokuadhib ka' mtoto mchanga
huwa spendi jokey,.... umeniskia smokey!
batto zangu za kijasusi asipokufa wangu mpinzani kwenye ringi stoki
naweza kubatto na kijiji kizima, kumbuka kwamba pumzi nina
hata wajikusanye iwe dunia nzima nahakika hawawezi ku-compete na hili jina
Mi SIO!.... we muulize dem wako navyompimaga salio
huu ni kama wa Yesu ujio, kwa hizo zako pambio hutovuka round hata ukiboresha kiitikio
iwe thread ya m-kenya ama m-tanzania popote mi nazamia, Mharamia
stamina najivunia kizingiti kwangu njia, forum tupu kama jangwa J4 ananiita ngamia
vipi?...Bado tu hujanizimia!..........
Ngoja niondoke kwa pambio, cheki hapo chini:
Mi mwanga, nna style ya mwana nyoka-mchanga
Sing'ati napotema sumu ni janga, wataalamu wa tiba wananiita tetekuwanga
alcapaino.MG
the lik-mos'
I dedicate this freestyle to my Hood-DawGs Ndiku Mtua, Seraphin Mushi, Max (Rasta) & Soggy.
Muoe salama hiyo kesho wazee!
salaam kwa mashem au sio!
Rest In Peace Brothaz
#80
Posted 16 May 2007 - 12:16 AM
mmekuja mnavamia HiP hOp sio ya matusi//
Msizwa kichwa,,ufanisi skilz za kirusi
nakonka kaya mkongoja ndo abinusi
onyesha uwezo popoma acha kariri beti
verce zime si mama,,bila baba ka issa wa nazareti
nawa brows ma soro bk fwd zaidi ya neti
nawabeza nawapoteza
wenye nyege nawanyegeza
lindela maskani ngome ya kaburu gereza
boda2boda nawabana nyeupe zeluzelu poteza
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













