kabla Huja-CLICK hapa...kwanza tangaza Msiba kwenu.
#41
Posted 01 December 2004 - 02:36 PM
mstari wa bifu ukichorwa m_senge huvuki//
unakua mwili tuu lakini kiakili hupevuki//
akili imedumaa tuu kama uduvi//
unashangilia unadhani hii ni muvi//
mbona kelele kibao au ndio unaota mavuzi//
balehe zinakusumbua kuzihendo huna ujuzi//
vina kama umeokota jalalani//
bora ukae mbali wakati mazee naghani//
unaleta gundu tu mjinga mjinga//
unarusha mishale wakati nakutwanga mizinga//
anti hekima utakoma kuringa//
dume la mbegu nimeshatinga//
vina kama ebola infection haina kinga//
bora ukaua winga..sio unaganda africanhiphop kama machinga//
leta blah blah za kibruce lee nakutwisha mitulinga//
mistari terrabytes kichwa nimejitwika//
rymes zinashuka lazima usombwe na masika//
msalie mtume balaa ndio inashuka//
nazamisha vina ubongoni nakuacha veins zikipasuka//
kama mesia nakufa na kufufuka//
kila usomapo hii mistari unazidi pofuka//
vitofa navyoshusha lazima utawehuka//
naishi kama mzuka//
sionekani lakini nakunyuka//
kama mwizi unakurupuka//
bora ukazinduka kabla hujaanguka//
wote tumeeangusha vesi unaonaje majaji wakipima mizani we anti hekima.So da batto is ova
#42
Posted 01 December 2004 - 03:19 PM
waachie machizi wa-judge....but u no ur 1 sorry ass muhfuker don ya..??
#43
Posted 01 December 2004 - 03:26 PM
#44
Posted 02 December 2004 - 08:09 AM
#45
Posted 02 December 2004 - 11:58 AM
sasa iache ile vesi yako ya kwanza.. NIMEKUPA YANGU YA MWISHO HAPO CHINI...! kinabo we !
Butcha mtamu lazima nikupige bao la mwisho
ambia machoko wenzako wasikose hili hitimisho
mkome kutuletea sera zenu za mikundu
hii ni battle ground-wasenge sio uwanja wa majungu..! kuma nyi..!
kama hamuwezi battle mkajiunge sungu-sungu!
kwangu utasaka uvungu....!
hukutaka amani sa nakufila vitani..!
nakuchamba vidole huku nimekutwika msalaba wa fani!
ka vipi J4 hawa madogo wakacheze uwani..!
nina dhambi za kuua ma-MC pita shetani...niwafile mtatamani..!
na hivyo vina vyako uchwara unavyokopa..
vitunze vizuri ukam-battle hadija Kopa.. .........kuma we!
wansikia butcha...battle ndio imekucha-nnakuchomoa kucha ..!
nakuchua mateka-tesa huku nnacheka..! ..hala-hala usije ukanipa ndoa ya mkeka... KUMA WE !
#46
Posted 02 December 2004 - 12:03 PM
#47
Posted 02 December 2004 - 04:46 PM
Y U ALWAYS JUMP FROM ONE NIGGER TO ANOTHER NIGGER
FINISH UR KIJIBATTO NA BUTCHA
THEN COME C ME
ILL MUSH U OUT BITCHHHHHHHHHHHHH
WE R SICK N TIRED OF UR LOVE HATE RELATIONSHIP WIT BUTCHA
#48
Posted 02 December 2004 - 10:00 PM
TIZAMA X ANAVYOKAMATA MIC KIHUNI/
AKI LOG IN ANAONA HUZUNI/
MA MCEE SI KITU BALI MAKATUNI/
NAMEZA VIVESI VYENU KAMA NYANGUMI/
SIO UVUMI X NI NUKSI WHEN IT COMES 2 RYMIN/
RAP SHUGHULI PEVU INAHITAJI WEREVU/
NYIE WACHOVU NI BORA MSEVU MTAAMBULIA MAKOVU/
YANI WEPESI GAMA GESI NDANI YA PEPSI UKITINGISHWA UMEKWISHA/
KAMA NDINGA BASI MIMI NI 4X4/
NYIE MABISHOO, MIMI SOO, TENA MKO SLOW/
HAMNA FLOW NI BORA M LAY LOW KABLA SIJAWAMWAGA CHOO/
NIGGERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR
#49
Posted 03 December 2004 - 07:45 AM
HE KI MA said:
Butcha mtamu lazima nikupige bao la mwisho
ambia machoko wenzako wasikose hili hitimisho
mkome kutuletea sera zenu za mikundu
hii ni battle ground-wasenge sio uwanja wa majungu..! k**a nyi..!
kama hamuwezi battle mkajiunge sungu-sungu!
kwangu utasaka uvungu....!
hukutaka amani sa nakufila vitani..!
nakuchamba vidole huku nimekutwika msalaba wa fani!
ka vipi J4 hawa madogo wakacheze uwani..!
nina dhambi za kuua ma-MC pita shetani...niwafile mtatamani..!
na hivyo vina vyako uchwara unavyokopa..
vitunze vizuri ukam-battle hadija Kopa.. .........k**a we!
wansikia butcha...battle ndio imekucha-nnakuchomoa kucha ..!
nakuchua mateka-tesa huku nnacheka..! ..hala-hala usije ukanipa ndoa ya mkeka... k**a WE !
i'm just feelin sorry 4 ya.Nenda kaendelee kujikeep bize na mabox coz no future 4 ya in hiphop just look around to see if u can find ya fello fags to shag wit :D :D :D Bitch
#50
Posted 03 December 2004 - 09:43 AM
we mtoto wa mama/
unataka bato na waliosimama/
au unataka firwa tako ukione chako kiama/
ila huwezi kuona kiama/
inaonesha ushazoea/
miboo mikubwa ushachezea/
kubato nawewe kwanza ninaona gundu/
haiwezekani kama choko upate mimba ya mkundu/
mi nikama bahari we ni kama pwani/
naweza kukuharibu au kukutengeneza kifani/
choko usijaribu naona unaeneza utani/
hii mistari iko juu kumamamake ka rubani/
TULIZA MINYAMA YA MKUNDU KUMA WE!!!
#51
Posted 04 December 2004 - 09:19 PM
X anatisha east mpaka west natambulika, vina vyangu vyasikika/
kwa uhakika na post maghalika we unasikitisha/
huo msiba uliotangaza ni wewe tutakuzika/
kwangu ukohoi, kwenye rap nakuchezea kama toy/
kwa vina we ni goigoi nnakuacha hoihoi/
eti wataka dinda wakati una kuma/
au ni hicho kiharage chataka kunwa/
ulivyokuja si ulijiita nduli dada, basi mimi ndie kambarage/
nachanganya fikra zako kama zege/
si ulizani rap ni mdumange,
hata unywe mbege hapa uleti ngendebwe/
uko wapi sasa we msenge huh/
ill kill u fag
huh jaribu tena ALCAPAINO
AAAAAAAAAAGGGGGGGGHHHHHHHHHHHHHH!!!!!!!!!!!!!!
#52
Posted 06 December 2004 - 11:58 AM
Knifebutcher said:
HE KI MA said:
Butcha mtamu lazima nikupige bao la mwisho
ambia machoko wenzako wasikose hili hitimisho
mkome kutuletea sera zenu za mikundu
hii ni battle ground-wasenge sio uwanja wa majungu..! k**a nyi..!
kama hamuwezi battle mkajiunge sungu-sungu!
kwangu utasaka uvungu....!
hukutaka amani sa nakufila vitani..!
nakuchamba vidole huku nimekutwika msalaba wa fani!
ka vipi J4 hawa madogo wakacheze uwani..!
nina dhambi za kuua ma-MC pita shetani...niwafile mtatamani..!
na hivyo vina vyako uchwara unavyokopa..
vitunze vizuri ukam-battle hadija Kopa.. .........k**a we!
wansikia butcha...battle ndio imekucha-nnakuchomoa kucha ..!
nakuchua mateka-tesa huku nnacheka..! ..hala-hala usije ukanipa ndoa ya mkeka... k**a WE !
i'm just feelin sorry 4 ya.Nenda kaendelee kujikeep bize na mabox coz no future 4 ya in hiphop just look around to see if u can find ya fello fags to shag wit :D :D :D Bitch
HA HA HA ! choko-butcha bado una-ongea we kuma haukomi...enh?! vip battle umeshinda...? WE KUMA KWELI WE MTOTO...!!
AM DONE WIT UR SORRY ASS!!
NA WEWE EXPLO- KUMA!! battle yangu na choko butcha imeshaisha mwenyewe alitangaza..! baada ya kutoa maoni yenu....mna-anza kuchezesha mikundu yenu tena..! we MFANISI-GHANISI....kuma tu wewe unasubiri mpaka mabasha wako waa-nze kuongea ndio unaanza kubinua MKUNDU!! nakuona choko tu, wakaTi nakupaka mwanzo ulikua wapi...we wanakufila wewe naona umefuata mabasha humu maana skills huna KUMA WEWE-SHUT THA FUK UP!!
NYIE WASENGE MTAARIBU HII CHAT ROOM ....KUMA, NYINYI AM OUTA HERE......MSUKANE KWA RAHA KUMA NYINYI.....!!!
#53
Posted 08 December 2004 - 08:54 PM
mbona wasusa na ulisema soka wajua kulibutah/
au kiwango kimeshuka unaogopa kunyukwa/
eti chatroom wanaiharibu?
Y? sababu ma mcee wamekuadhibu?
ulionywa ukusikia sasa taratibu maumivu utayasikia/
hata kichwa ngumu ukijitia/
rejea mwituni twakuonea huzuni we katuni/
mtafute alcapaino ukimpata undeni kikundi/
kiiteni mashoga wawili wasio na dili/
bruce lee gani wa kichina asie na vina?
nenda kapake hina we mchambawima/
humu ndani mpango huna utaliwa tako kuma weeeeeeeeeeeeeeee/
now get back
u don no me like daaaaaaaaaat
#54
Posted 28 December 2004 - 03:52 PM
wachache wanaonijua,nawapa tano microfoni,
jambo usolijua ni sawa na usiku wa giza
utabaki vuna mabua,huku nakukimbiza,
only unachua,kukesha unaomba giza,
au umaarufu,jiulize kwanza utokeje,
sio kwa emotions tu,nakufoji kujaza page,
uchache wa makamasi,usidhani wingi wa pua
kwa tungo zako tu,inaonyesha haujakua,
mtoto mdogo tu,fani yako ni butu,
mfano wa watoto wawili,na mmoja ni mwizi,
na wewe ndo kama baba,na mtoto ndo karithi,
wa pili akawa bwabwa,si bora na mtoto chizi
na unaweza ukawa unajua na kweli ukajua,
kuliko ambaye hajui,nakujifanya anajua
kwa hiyo chagua moja,kupigwa najua
chagua moja,kuangukia pua.
I learned a lot in this world
Got a profession that keeps me stressin
Facin criticism,
And you still keep me happy and healthy
Nyuma naona mbali
bora mbele kuelekea.
#55
Posted 03 January 2005 - 03:02 PM
waifuta hii njia na maneno ya kishenzi
eti waikomalia kambi ya nyumbani eastcoast
wwengine waililia nakuifuata kwa manati
tena watukania na kuandika kwenye net
mzee tumetulia manjemba ya eastcoast
fani tumeijia stejini tukiwa na suti
ila kama mnalia basi tutatinga buti
tulia anzia carina mijicho ikawatoka
ikafuatia pajero washkaji mkashtuka
tukanunua mibenzi washenzi tukawafunika
leo tuko na bima machozi yatawashuka
wanaotupenda sie kwetu malaika
na wale msiootupenda tutawatoa sadaka
si kwa panga bunduki ila kwa verse za uhakika
eastcoast babyyyyy
take careeeeeeeeeeeeeeee :roll:
#56
Posted 05 January 2005 - 01:20 PM
FREDDY said:
waifuta hii njia na maneno ya kishenzi
eti waikomalia kambi ya nyumbani eastcoast
wwengine waililia nakuifuata kwa manati
tena watukania na kuandika kwenye net
mzee tumetulia manjemba ya eastcoast
fani tumeijia stejini tukiwa na suti
ila kama mnalia basi tutatinga buti
tulia anzia carina mijicho ikawatoka
ikafuatia pajero washkaji mkashtuka
tukanunua mibenzi washenzi tukawafunika
leo tuko na bima machozi yatawashuka
wanaotupenda sie kwetu malaika
na wale msiootupenda tutawatoa sadaka
si kwa panga bunduki ila kwa verse za uhakika
eastcoast babyyyyy
take careeeeeeeeeeeeeeee :roll:
unakuja unabana pua unatafuta wa kukusukumia kimoko//
mi nakuona kama goroko unayependa ujiko//
unajisifia wakati unanginiza cheni za bati//
#57
Posted 06 January 2005 - 06:53 PM
hii namba nyingine utatokota
tutakurusha chini watakuokota
kwenye fani hatujaja kubabaisha
na hope hata mwenyewe tunakutisha
ma2si sipendi nafuata maisha
kijana wee mdogo au unabisha?
fani haitaki warukiaji itakulostisha
kwanza jina knifebutcher badilisha
au ndio mibange inasababisha?
basi kama vipi fani achia tauche east coast kusabibabisha
take care kijana utapotea
huu moto mkali utaumia
EAST COAST BABYYYYYYY
AMINIA,
#58
Posted 07 January 2005 - 09:34 AM
hata ukienda kinyume mbele ya majopo
mfano upo hai si lazima niwaonyeshe
tusisubiri mpaka mvua itunyeshee
maskini ya MUNGU hajui hata anachokinena
aundo mwezi mchanga,nikituma hii atarudi tena
vipo vya kufagilia, lakini sio uchoko
na papo pa kuumia, usiombee kwenye ugoko
I learned a lot in this world
Got a profession that keeps me stressin
Facin criticism,
And you still keep me happy and healthy
Nyuma naona mbali
bora mbele kuelekea.
#59
Posted 07 January 2005 - 10:37 AM
Usinletee bifu za kishamba na kikulima//
angalia we bitoz chaji nisije kukupima//
punchline moja mara kumi upigwe shoti ya stima//
hii ni rymin machine inayowalaza maemcee wima//
hiki kichwa balaa inabidi ukipe heshima//
madhara nayoleta maradufu ya hiroshima//
naona unafananisha chaser na seven series bima//
usije kwa speedi gari utakuja zima//
unadandia mic tu kama kima//
dogo bora ukatambaa kabla sijaleta noma//
mashairi kichwani nimeyajengea boma//
halafu mazee shule nimesoma//
we kichwani hamna kitu ni kama umelowekwa kwenye foma//
vina navyokumwagia uviogope kama ukoma//
nimetega mabomu anga zote na kupanda michongoma//
bora ugande hapo ulipo ili usife mapema//
kutaka kujaribu kuja nilipo hujitakii mema//
hii inaitwa funga kazi bora bifu ukaitema//
tukiendelea nahofia akilini utapata kilema//
#60
Posted 16 February 2005 - 04:12 PM
Big up mzee!!!
Mwanao Sebby hapa!!!!
Quertzal a.k.a lyrical blower
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













