kabla Huja-CLICK hapa...kwanza tangaza Msiba kwenu.
#1
Posted 25 October 2004 - 06:09 PM
Nazani sasa kitakachotokea ni kifo cha mizani kwani kawaida sina utani inapokuja ishu nzima ya ku-ghani....
Mi ndo faza, sihitaji kipaza napotaka kuwapa laza au vipi braza?
Si mnanijua, rhyme zangu mnazitambua, basi ondoeni hofu nipo tayari kuwachengua.
Nawapa Holla tu coz bado naandaa mazishi ya wale wabishi.
alcapaino.Mg
'the town tolka'
#2
Posted 26 October 2004 - 05:15 AM
hapa utapata...mpaka unasaza/
lakini tafadhali usianze pakaza/
tunaweza kukuchakaza/ kwa ladha/
maana utakuwa umeleta hadha/
well, karibu tena maskani shika kipaza/
weka ryhmes,spit vina mashairi sambaza/
wakilisha where u from vichwa kuku chakaza/
one
#3
Posted 31 October 2004 - 02:16 PM
kabla ya kuanza battle na mimi 'the Nduli Dada'
kesi itakuwa Murder, ushindi fikra ni haba
Nahau zinavyokaba, nyi wote kwangu vimada
urafiki sina, heshimu hili jina kwa vyangu vina
ubunifu nina, mistari ipo wima, ngoja hitima
mcee kiburi ni vema ukachimba kwanza kaburi
Legeza msuli, kwangu huwezi pata umashuhuri
Nakomaa kwa hasira kama kinembe cha mtalakiwa
Kamwe sina fadhila, mi ni nyembe kwa mtahiriwa
Panga yako mawazo, nieleze nini umehisi
Ona hapo ambavyo mistari inakunajisi
Hanithi, bado unataka cheza na Yabisi?
..........continue
Nipo fasta nawahi Maeneo!
Ila kumbuka nna mingi Mistari inajaa mtungi...kabla hujajibu ni vema ukavua kwanza ushungi
alcapaino.Mg
'the town tolka'
#4
Posted 07 November 2004 - 03:09 PM
Ila kumbuka nna mingi Mistari inajaa mtungi...kabla hujajibu ni vema ukavua kwanza ushungi
alcapaino.Mg
'the town tolka'
BE SERIOUS
#5
Posted 12 November 2004 - 05:26 PM
kila nikiamka denda limejaa kwenye hii keyboard/
angalia hii mistari alafu jifunze kuzipanga hizi alphabeti/
hakuna mwingine bali EXPLO anatamba kwenye internet/
usilete kibesi ntakupa uppercut /lowercut unipe kesi/
pumzi yako fupi huwezi kujipima na mimi ntakutoa kinyesi/
ntakurarua nikuache umefleti alafu niulize whos next/
sichezi gonga gonga ndinga nalibutua kama fullbeki/
ntakubetua juu kwa juu nile zote alafu nikulambe kipepsi/
mitaani naeleweka vina vyangu vimezagaa everywhere kama noti feki/
hizi ni risasi za kuua tembo haisaidii hata ukivaa bulletproof vest/
kwenye miondoko nimebobea hii mistari nyeti never underestimet/
wengi kama wewe nimewaelimisha wametulia tuli kitako wameketi/
siitaji ku waste my bullets ntakukatakata na masheti[/b]/
biatchhhhhhhhh[/i]
#6
Posted 16 November 2004 - 11:11 AM
Skiza mtoto, unataka wamba ngozi ya kitimoto?
Utapata msoto, ku-battle nami ni sawa na kuzini moto!
Ogopa Maksai, kidume nadinda ka uume wa Mmasai
Mashindano skatai,ntakutoa Nishai nadhani unatambua wazi kwamba Sifai
Mi Gumzo, kama Rap ni Jengo basi Mi nguzo
Mi Funzo, cheza nami kamwe usitegemee tuzo
Mwana Mtundu, mtoto wa Mama ustake kunlegeza Pumbu
Utantia Gundu, Mashine igangamae kabla ya kuliona tundu
Kisu Butu huoni noma kupimana makali na Mundu?
Kwa Mtukutu, ndani ya Medulla nikupe msululu wa Nundu!
Mistari yangu imevuka BordeR, mvuto zaidi ya receptionist wa Voda
Utamu mithili ya Uroda, Taasisi kibao zimeshawasilisha 'order'.
Mi ni Illegal zaidi ya kamari,
Cheza mbali utanunua kesi mwisho wa siku ukawe Mwali....!!!!
alcapaino.Mg
'the Verbal SouL'
Njoo niku-tell, hii chata ni 32k kama simcard ya Celtel
#7
Posted 18 November 2004 - 01:20 PM
alcapaino said:
Skiza mtoto, unataka wamba ngozi ya kitimoto?
Utapata msoto, ku-battle nami ni sawa na kuzini moto!
Ogopa Maksai, kidume nadinda ka uume wa Mmasai
Mashindano skatai,ntakutoa Nishai nadhani unatambua wazi kwamba Sifai
Mi Gumzo, kama Rap ni Jengo basi Mi nguzo
Mi Funzo, cheza nami kamwe usitegemee tuzo
Mwana Mtundu, mtoto wa Mama ustake kunlegeza Pumbu
Utantia Gundu, Mashine igangamae kabla ya kuliona tundu
Kisu Butu huoni noma kupimana makali na Mundu?
Kwa Mtukutu, ndani ya Medulla nikupe msululu wa Nundu!
Mistari yangu imevuka BordeR, mvuto zaidi ya receptionist wa Voda
Utamu mithili ya Uroda, Taasisi kibao zimeshawasilisha 'order'.
Mi ni Illegal zaidi ya kamari,
Cheza mbali utanunua kesi mwisho wa siku ukawe Mwali....!!!!
alcapaino.Mg
'the Verbal SouL'
Njoo niku-tell, hii chata ni 32k kama simcard ya Celtel
Now thats ma definition of Live shit!! metaphors,punchline,comic-all dat shit....nakuamini kichwa!!
NB: No hard feelings,jus ma personal views!
#8
Posted 18 November 2004 - 07:41 PM
wenzio hawajakwambia kua xplo anaogopewa/
au una test ngekewa, rap sio pata potea/
bila shaka umeongopewa , hiyo mikogo utachojolewa/
kama soka basi we umeotea mwenzio nimebobea/
kipaza nakionea, keyboard naichezea/
alcapaino ki vina we bado ni chekechea/
X anawajia na flow mmaaaaaaaahh/
kama jamicans na puma/
we jifanye kutuna wakati vina huna/
usawa huu wa kunipinga hakuna/
forum nzima nimeizonga tizama hiyo mizoga we zoba/
kama mjanja tokomea kabla hujanyong'onyea/
XPLO BUMAYEEEHH!!
XPLO BUMAYEEEHH!!
XPLO BUMAYEEEHH!!
XPLO BUMAYEEEHH!!
THATS HOW WE DO
#9
Posted 20 November 2004 - 10:27 AM
kwanza huna mistari wala sio mkali/majigambo mengi unachukua wiki mbili kupost reply/kwanza unaandika kwenye daftari/hapa nakutndika ka mwali/kaa mbali mc k*M*/usije nipa hujuma/usije lete tuhuma/eti navokusukuma kote mbele na nyuma/INAUMA/na bado huu ni mwanzo/jicho nyanya ntakusakanya kwa kila nyenzo/mi navigezo/si mchezo/jua nakuhurumia/mara mia anga hizi utaumia/chata hii ya kiharamia/kazi yangu kuwaharibia mnaojishoboa/ona mijicho umeikodoa/uso unajipodoa/unaboa/rijali nakutoboa............ka mwali nimekuopoa/nimekuoa kwa hii mistari na haralisha NDOA/harakisha kujinoa/kabla nayotapika hujayazoa/....ahh sijui nieendelee kukuharibia/aaaah mtoto wa mama utalia/tulia..tulia..jicho nyanya ndo navyomalizia
#10
Posted 20 November 2004 - 11:08 AM
bora ukakate viuno/
mistari yangu imejaa kama msimu wa mavuno/
sikia michano/jinsi ninavyoshusha kibano/
kwako hii freestyle ni kama ya kwenye biblia mifano/
simama imara/sio unakuja kifala/
nikijitoa kafara/usiku utashindwa kulala/
vina vyako havina madhara/
vyangu ni kama mishahara/
kwa machangu kama wewe na waliovuka mabara/
cheki vina/
hisabati kama maabara/
feki wa jina/
nakuongoza kama nyapara/
usijaribu!!!!
#11
Posted 20 November 2004 - 02:01 PM
Askari wa mwamvuli ndio nashuka na parachuti
jitoe mhanga uvishwe shanga
unemwe kama mwali ufundwe na makungwi hodari
mi ndio k-bucha a.k.a jemedari
katuni kabla hawajaingia kwenye cypher nawapa muda wa kutafakari
maana kubatto na mimi ni uamuzi mzito lazima uwe tayari
nashika mic emcii kama panya wanajificha juu ya dari
usijaribu kwenda sambamba na hii mistari
si explo wala alcapaino wote cha mdori
badala ya kumwaga punchlinez mnatuzingua tu na stori
:twisted: :twisted:
#12
Posted 22 November 2004 - 08:40 AM
#13
Posted 23 November 2004 - 04:00 PM
am feeling dat shit Alca....SAY NO MO'
1
#14
Posted 23 November 2004 - 10:00 PM
NOBODY CRITISICE ANYBODY THESE KIDS R JUST TRYIN 2 RHYME LIKE U DO
JUST SHUT THE FUCK UP BITCHHHHHHH.
#15
Posted 24 November 2004 - 10:40 AM
XPLO said:
NOBODY CRITISICE ANYBODY THESE KIDS R JUST TRYIN 2 RHYME LIKE U DO
JUST SHUT THE f*ck UP BITCHHHHHHH.
LAST TIME I POSTED SOMN WAS WHEN I SHATTERED YA LACK OF SKILLS, U JUS MAD AM GIVIN' ALCA PROPS...DON EVEN TRY IT!! U AIN ON THAT LEVEL..!
N YEAH!
nitakuacha nyaka nyaka- jivukie mipaka-njoo ufe unavyotaka
hapa unazimwa pondwa na kuchanganywa ka-kokoto
NYAMAZA cha mtoto!- chekechea ni kifo unachekelea
LIPU ! na kupotea- ka mabati ndani ya kipunga unapepea!
huna viwango ka biashara ya matango-hivyo vina vyako twaviona ka mchango-kaunde kundi na onyango!......huna mpango!
tena chunga uzingatie nnayotunga..mistari inachorwa na kubanwa ka ya unga-vichwa vyajidunga! explo we mchumba
A FREESTYLE FOR U...BIAAAAAAAAAAAAATCH!
#16
Posted 24 November 2004 - 10:54 AM
HE KI MA said:
am feeling dat shit Alca....SAY NO MO'
1
Dat is deserespect.I can see ur mad coz nukkaz dont pay attention when u start a thread.wewe mshikaji mbona upambe tu na kujipendekeza.we all know Alcapaino is Tight and still is layin low and he doesn't disrespect peeps and is not givin himeself probs like da way u do so who da fuck are u to open ur stinking ego mouuth.just shutta fucka up watu tunafreestaili kujifurahisha tuu.Know u gat some attitude problems and its gonna swallow u for real.Every time u open ur mouth u always talkin like a gay mothaphuca.I real don't like u.Unamaindi kuchonga sana angalia usije ukajikuta na shahawa matakoni msenge wewe. :evil: :evil:Ther a lot of real nukkaz here who know more bout hiphop i.e Soulsta,m.o.be,Alcapaino,Knoka and they dont talk garbage lkie u mothaphuca who is nobody.So fuck out here.
#17
Posted 24 November 2004 - 11:09 AM
1luv
#18
Posted 24 November 2004 - 05:39 PM
HE KI MA said:
1luv
nenda kacheze mdako we katuni
#19
Posted 25 November 2004 - 12:13 PM
kama wewe mtu wa respect kwa watu kweli ungeona kwamba am tryin to make peace-and shud of respected that! una-anza sema mimi katuni...yeah i might ve big mouth sometimes but usijichukulie ujiko wa kuniita mimi katuni coz you, I n everyone in this site who been here long enough knows for a fact nani katuni kati ya mimi na wewe! we got all the proof we need if you read threads in this site.
na kama kufagilia watu kama unavyodai! we mwenyewe ulimfagilia sana Knoka! naweza ku-display threads with images of you suckin Knoka's dick if you wan me to! HYPOCRITE!!! its called givin Props!
sina kisasi na mtu yeyote ndani ya hii site am doin dis for tha luv of it, i no am not perfetct-no 1 is at least i admit when i offend people, and that don ve' to be a mistake it all depends on how (personal one takes things),it only takes one 'emotional' person to change the whole picture!
Thats it ! am kool wit all y'll no hard feelings,appologies if i offended any1
we all do it at point! Butcher- i see you as an MC in this site like everyone else...i dont hate you- i dont like you - but i will RESPECT you if you RESPECT me! its strictly HIPHOP wit me-FINAL!
1LUV
Hekima
#20
Posted 25 November 2004 - 12:55 PM
u scared of ryhmez..scared of beef..scared conversation...nigggggggaaaaaaaaaaaaaaaa dats what hip-hop
is ol about...wat da fuck u cum shit on sumbody n cum beggin 4 mercy
afterwards....da fuck is u`za hoe niga...yaani we ni kuma ka kuma nyingine....unajiita hekima na hali huna heshima/
hauna vina wala hujui kuzimimina/
unaweza ukaniona kimya/
kumbe itu nyanya/fanya hima hima/erase hilo jina/
humu akukufai jaribu site ya mapunga/kivipi umshuhudie huyo fala kwani we shoga?////ntaendelea kukuita kuma ukitaka utaniroga/
unataka kwanza nenda kuoga/ushapata jibu moja/
hatutaki ulete tena hoja/ukiandika tu mi nakuponda/ntakuwinda
paka nihakikishe umekonda/baaaaaaaaaaas kwa leo nahishioa hapa hili ni onyo pigo lenyewe bado..........
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













