Game nishaisoma
naiona inaelekea sodoma
ibilic kamkabidhi emcee mic wameshikana,shikamana kuwapoteza wana
MOSI niko DEF KWELI km TALIB naona huu uchafu
uarifu wa mawazo upotofu upofu wa hiki kizazi hakina tena utiifu
unadhifu wa vina km rakim cku hizi adim
wanarym same track c tena za kudum
nna mahesabu ya myaka sio ya siku
je wataukubali msiba km sikukuu?
Km hawatawakanya hawa vitukuu?
Marley namnukuu
one luv ndo nguzo kuu
mpambanuo wa mawazo kwa wajukuu
niko real kamwe sijishuku!
FREE SIO MASON
Started by vinama'na, Sep 25 2010 02:02 PM
No replies to this topic
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users












