tazama dunia with outstanding
undisputed kama lastman standing
fungua eyes soma screen
Kwenye dustbin nawatupa
nitarudi..............................
:twisted:
Novus ordo seclorum
Started by ungrateful ninja, Jun 09 2010 07:31 AM
6 replies to this topic
#1
Posted 09 June 2010 - 07:31 AM
#2
Posted 16 June 2010 - 01:23 PM
HAWAJAJUA hii topic inatawala life
tena la every ages kama bucha na knife
series of attacks kijasusi utitiri wa wafu
damu inajitenga naponing'iniza minofu
huto escape kama usajiri wa namba
mchafuko wa anga huku safari za anga zikistop
wakose hope kwa lack of knowledge
hatajibu kuma coz nipo above tha clouds
nachospit ni oversize kwa wasiofunguka
am the illuminati huku niangaza kama jua............
nitarudi kimakusudi
WODI YA UPASUAJI

#3
Posted 27 June 2010 - 12:13 PM
ntakuandama kama ndoto ya kutisha iliyogeuka reality
ulisaliti naona umerudi hauna budi kwanza kusalute
u mtam kama muwa nakukatakata pingilipingili
hii mistali ya kuchill sio kubingilibingili
hii baridi yakuletea ngiri
kili kushindwa ama toa udhuru wa kusafiri
hili duru la pili refu kama ukili utasanda wewe
mwenye uoga wa mwewe
kwenye maji ya asidi nikutie
chenye makali kuwili nikukatie
[b]penye[/b] hukumu isio batili ujitetee!
umekuja na kiwewe baada ya kichapo utaondoka na kelele
huna mpya hoja,mi ndo dele sichekicheki kama mkwere
kila kipengele ukidodosa kinakutoa makosa polepole ukimbie
kimashiri unitambue ur role model unisifie
hasira yangu ikufie kama giza asubuhi ufifie
......................dont get twisted sijaanza battle NISOME MBELE :arrow:

#4
Posted 28 June 2010 - 02:13 PM
Mtoto unanata kama aminata
hii x-perience inapiga x-reta
niite ufahamu napokuingia kama media
kodoa hapa huku nasogea kwenye carrier
narudi kwa mshituko wa vita vya ghuba
filauni we :lol:unachokoza mistari hapa imejaa fuba
kumamako hata mje millioni
mi nasimama kama uboo kisha unapiziwa mdomoni
nitarudi...

#5
Posted 26 July 2010 - 09:35 AM
mistari yangu inaingia hatarini
nainuka kama 666 Baharini
Am terrifyng kama Kisomo albadir
expect no mercy navyokuja niite JINI abdulkadir
death b4 dishonor kama EaThQuAkE occurance
pSYchotronic magnetism naleta millions casualties
beef ni nyama na damu
hii forum ni machinjio kwa Emcees wanaharamu
nina mboo ndefu kama mountain kilimanjaro
naleta N.W.O kama ALBERT PIKE
sio kila TIKI uKAdHanI NIKE
kimistari UMEzeeka kama kaNIKI
Nawapunguza kwenye FoRuM Mithili ya world DEpopulation
nakugeuza kibra KISU naweka sHinGoNi......
nitarudi :mrgreen:

#6
Posted 27 July 2010 - 12:01 PM
kile kitanzi tayari kiko-installed
no kinachopotea kwa kuwa hahawezi configure
hata wakijiandaa na helikopta watanaswa na advanced security air field
kisha nitawasoma kwa rapscope!!!
wanajitanda ushungi,nishakoka pipa
nabonyea kwa chini huku nikisota kijeshi
kawaida nikibuuka sina ucheshi
nachomoa cable ya ground nahamisha Termino
najipaka masizi huku nasizi wanadhani albino
kichwa kinahamisha mji mzima yanitokapo maneno
:lol: :lol: navumbua zaidi ya tanzanite
kama graphite zinapokaa shape ya diamond
my brain na hardverses kunafanyika bioBOND
.........NIKAWA NIKIDHURU SITE NAKUTA
MAKURUTA WANABURUTA MAGUTA
.....SI..SIKUFANYA AJIZI KICHIZI ILIBIDI NIKOKE SPIDI
WAKAJUA NAGWAYA BILA HAYA NIKATANGAZA ADHABU
NIKATUPA SARUFI UBAONI WAKABUTWAA
KWA UUMBAJI WA SENTENSI ZIKIWACHANA KAMA VIWEMBE WAKABAKI NA VIJEMBE
WODI YA UPASUAJI
NASUBIRI MWENYE TUMBO LA UZAZI

#7
Posted 04 September 2010 - 12:36 PM
M2 wa ngumu,niko hi u c nirushie stimu unapumu hizi mbio ndefu
unachokiandika kinanipa kichefuchefu
natapika uharifu usio kwenye rada za takukuru
hili duru nuru ukipenda suluhu
ila miguu juu ukijifanya kichwa ngumu
yako shingo naichumu kwa kisu butu chenye kutu
tetenasi inasakusambaa mpaka cerebram
unalipuka km bomu uhayawani unakupanda km mwendawazim
hii mistali tiba inakupa utulivu,usikivu,km samaki ndani ya nyavu
ucpanik nakujua u'mnyenyekevu km uamkapo baada ya kuota ndoto nyevu
kichwa chako utupu
kwa electrical shork nakupanga kihiphop
huwez cop na vina soapsoap
bronzo unawaza whap whap
niko ful package km kapu ama program za microsoft,
boti ya unguja,
navuja mistali rejareja,
unakua wangu mteja,
tija km chaja, naendelea kuja,..

1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users