Jump to content


ndoto ya kinabii


2 replies to this topic

#1 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 21 September 2004 - 08:33 PM

napanda kitandani na movie ya kuzimu ndio inaanza//
narudisha miaka nyuma kurudisha enzi za HBC na KWANZA//
enzi za real hiphop hakuna vikatuni vilivyojibanza//
kigangsta napambana..bars zinapandana//
metaphorz zinafanana..punch zinafuatana//
mashairi na kinywa vinajamiiana..tunachoongea na ukweli vinashabihiana//
bifu inaongezeka na emceez wanachinjana..live kwenye cypher wanauwana//
hadi wakongwe hakuna wanaopatana..kila mmoja anaspit kwa kina na mapana//
mapresenter wanajaribu kubana..lakini vichwa halisi vinaendelea kuchana//
mahardcore wanamwaga vesi za kinabii kwenye cypher zinalundikana//
batto zinaanzishwa emcee feki wanafichama..wanajifanya makamanda kumbe watoto wa mama//
wanaitwa wasonge fronti lakini wanahofia kiama...maemcii real tunaleta hofu kama osama//
bongo mpaka kampala hiphop inatuama..mpaka jozi tunatawala wabaniaji wanashika tama//
naleta propaganda wote waliopo juu wanapigwa mitama//
jahazi la bongo flava nalisindikiza mpaka mrama..nachochea mapambano mpaka linazama//
napepea bendera ya hiphop huku namwaga risasi lazima ufe kinyani hata ukichutama//
ndani ya afrika mashariki bila ajizi bongo hiphop inasimama//
namwona zomba ameketi peponi akichekelea....
nigga one ameketi pembeni hiphop inaongelewa..
wanadiscuss jinsi kuleta unabii hiphop bongo ikapokelewa//
nastuka duuh kumbe nilikuwa naota....................

:evil: :evil: :evil:
Hiphop for life

#2 nge

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 42 posts
  • LocationK.I.M.A.R.A

Posted 10 October 2004 - 09:51 AM

umeongelea uasisi na nge sitokuacha
ili swali halina budi wangapi wameikacha
mazimwi wamerudi kama wachuja nafaka
uasisi ni kurecord albamu na kuiachia
jibu lipo wazi, ni wagumu weusi asilia
lakini bado, kuna waasisi kama mia
kwa saleh jabir, uasisi ulianzia
ni changamoto kwenye fani mnaoingia
msikate tamaa, mjue rap ilipoanzia
sio nyinyi mnainuka wakati jua linazama
nianze na master T au mike mhagama
ni kabla ya mr 2 kujiunga na da young mobb
na ni kabla magangwe haijawa gangwe mobb
enzi hizo ni langata mashindano new africa
mshiriki wa morogoro J'D utampata
sometime ni migogoro majaji wanaleta utata
Thank you God, I appreciate every blessin
I learned a lot in this world
Got a profession that keeps me stressin
Facin criticism,
And you still keep me happy and healthy
Nyuma naona mbali
bora mbele kuelekea.

#3 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 10 October 2004 - 10:34 AM

nge said:

umeongelea uasisi na nge sitokuacha
ili swali halina budi wangapi wameikacha
mazimwi wamerudi kama wachuja nafaka
uasisi ni kurecord albamu na kuiachia
jibu lipo wazi, ni wagumu weusi asilia
lakini bado, kuna waasisi kama mia
kwa saleh jabir, uasisi ulianzia
ni changamoto kwenye fani mnaoingia
msikate tamaa, mjue rap ilipoanzia
sio nyinyi mnainuka wakati jua linazama
nianze na master T au mike mhagama
ni kabla ya mr 2 kujiunga na da young mobb
na ni kabla magangwe haijawa gangwe mobb
enzi hizo ni langata mashindano new africa
mshiriki wa morogoro J'D utampata
sometime ni migogoro majaji wanaleta utata
thats ill for real :lol: :lol: :lol:





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users