Jump to content


GUES WHOS BACK.......!!!


53 replies to this topic

#1 HE KI MA

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 96 posts
  • LocationUK

Posted 15 September 2004 - 02:38 PM

Niambieni vichwa, naona sio mchezo watu wana-hasira...!! been busy lakini now ntakuwa na-visit every now n then....where ma live cats at...
Alcapaino najua uko busy mtu mzima haimati mara moja-moja ukaitiangisha forum,kuna vumbi sana sasa iv

siku nyingi tangia nifunike vichwa ka ma-hudi (hood tops) anyway am still busy as fuck!!! nasikia raha nikiona vichwa bado vina keep it real...

No-doubt
1

#2 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 16 September 2004 - 03:48 PM

bora urudi ulipokuwa umejificha :evil: :evil: :evil: hapa utuwawa

#3 XPLO

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 77 posts
  • LocationDEEP IN UR MEDULA OBLANGATA

Posted 16 September 2004 - 08:25 PM

KARIBU NA MIZINGA 21 NAKULIPULIA WE MNYONGE/
MIMI NI YULE YULE MKONGWE
AMBAE ANAKUNYANG'ANYA TONGE/
GURUDUMU LAHIPHOP TULISONGE/
KAMA KAWAIDA KIVINA NIKUNYONGE/
LAKINI THIS TIME USIBORONGE, NTAKULAMBA MAKONDE/
KWENYE HII SITE MIMI NDIE KIBONGE/
LAKINI USIKONDE KUNA WENGI VIBONDE/ (BUTCHA NA MCHAPAKAZI)
NDIO MAANA KILA BTTO HAPO NYUMA X ALINYAKUA KOMBE/
KAMA MASE WELLCOME BACK BUT WHO IS GONA WATCH UR BACK/
BE CAREFOOOOOOOOLL HEKIMA

#4 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 17 September 2004 - 09:52 AM

we kimwali naona unakuja kwa kuchechemea//
sumu ya rymes kwenye ubongo nakutemea//
kifikra hauko mpevu..ingawa kidevuni umejaza midevu//
usijifanye mkakamavu..kwangu kinda nakuona mlegevu//
dalili ya mvua mawingu bora kima ukasevu//

#5 XPLO

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 77 posts
  • LocationDEEP IN UR MEDULA OBLANGATA

Posted 17 September 2004 - 03:26 PM

WE BUTCHA UTASEMA NINI?/
X ALIISHA KUKATA KILIMILIMI/
UMEBAKI NA KIBIKINI/
HUNA RUKHSA YA KUBATTO NA MIMI/
KWANI HIZI SIO ENZI ZA MWINYI/
UNANIPA SABABU ILEILE ILIONIFANYA NIMWINGIZE HEKIMA MITINI/
VIVESI VYAKO LAINI KAMA TEST NAKUPA MOJA CHINI YA ISHIRINI/
FIKIRIA KWA MAKINI B4 HUJAINGIA KWENYE ANGA ZA ZIMWI/
SITUPI KITU NAKULA NGOZI, MIFUPA, UTUMBO NA MAINI/
PENDA USIPENDE HAPA WE KINDA UTATIA DISIPLINI/

#6 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 18 September 2004 - 10:35 AM

we dogo hujatulia

#7 HE KI MA

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 96 posts
  • LocationUK

Posted 21 September 2004 - 12:10 PM

Mbona pupa makinda…!? Nna mtama wa kuwatosha wote..
tulieni…!!

Niliondoka naona panya mmetawala
mwabutuliwa toka hapo mlipo mpaka Mbagala
Nachana vichwa katikati yaani kaupara
Mje kwa pair niwakanyagie kama ndala
Makonde ni ya matumla-speed ya juma ikangala
hiyo yenu ni mikwala….!!
Xplo we sio muhuni, kwangu kunguni-panya niondolee tauni
Huna skill hata moja….wantia huzuni
Bucha limefungwa hicho kisu weka uvunguni !!!
eti sijui utasevu,ndevu….NATEGUA VIDEVU
siandiki vina ni maonyesho ya uelevu
na kama akili nywele pumbaf wote mmeshevu
Sina mpinzani-msake miti nyani-
butua! ma-MC ufukweni waokotwa pwani!!
Nyie ndama namna gani…..!!?? mruke-ruke mkiyakanyaga nawalipua
na vina vyenu mnavyoandika mmebana Pua..
fanyeni mazoezi mrudi mkiwa mmekua…!!

we explo mweupe ka yange-yange u JUS GOTTA A BIG MOUTH!!!!
Huna unalolijua ndama SHUT THE FUK UP!! acha vichwa viongee!!

Makende mbuzzz...

#8 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 21 September 2004 - 04:58 PM

we kimavi naona kama unabwabwaja..ungepata zangu tetesi jina langu usingelitaja//
nawaboosti maemcee na vina niite .a.k.a ryme chaja//
unataka bifu haya subiri sasa naja..mashine ishadinda anza kupanua mapaja//
hizi rymes ulevi kama changaa..unalewa bila kuspendi chapaa//
emcii feki nakamata vimistari vyako na kuvinyanyapaa//
namwaga barz kwenye cypher kinda unaondoka kwa kutambaa//
huelewi mistari yangu kama ukimwi imesambaa//
toka nduki kwenye batto kabla sijakushushia balaa//
unajificha kizani sababu upo naked nakuadhiri kwa kuwasha taa//
hekima we bado kimwali..hii namba hatari bora uchezee makida mbali//
nishashika jambia sala ya mwisho anza kuswali//
kutana na illest ..mafao ya metaphorz nishajichotea//
mi ni udisputed heavyweight championi sibatto na chekechea//
unakuja kwa kunyemelea..kivina naona unachechemea//
ukikutana nami fesi to fesi machela wanakubebea//
waulize makinda wenzio...tafrani zangu watakuelezea//
naunguza thread... kama godoro la sufi unateketea//




kinda hii kichwa mbaya huoni makatuni wenzio wako kimya :evil: :evil:
kama unataka chati yako ishuke jaribu kutesti zari

#9 HE KI MA

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 96 posts
  • LocationUK

Posted 22 September 2004 - 08:23 AM

nadhani uko right Butcha..nikiendelea ku-battle na nyinyi nitajishushia chati yangu...sio utani hatuko level moja. embu soma hiyo vesi ulioandika halaf soma yangu juu yake ni ushahidi tosha,na kama kubattle na wewe tumesha battle sana..matokeo mwenyewe unayajua yalivyokua.I feel like am goin back to step 1.Mwanzo ulivyoanza kidogo ulikuwa unajaribu lakini sasa ni unaandika tu majongoo ilimradi vesi iwe ndefu-u hopeless son.. hata Explo sasa iv kidogo inaridhisha ukisoma vesi zake we butcha unaoza since the first day umeingia kwenye hii forum,unaing'ang'ania nafasi ambayo hu-deserve...U AINT ILL Juniour... kwa mantiki hii mimi nakupa USHINDI!!!

1
explo sijawahi ku-full-battle na wewe kama unataka kupima makali ya sime ndama weka shingo!!!
1

#10 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 22 September 2004 - 12:13 PM

hivyo vivasi vyako vifupi vifupi vya chekechea sijui utaflow vipi.Its time for bucha to take ova.if u are for real then you have to defend ur belt all da time

dogo nilipokuambia kwamba nitashusha chati yako nilikuwa namaanisha nitakutoa nishai sababu jibaba natisha hakuna mfano.Unajua Hekima una tatizo moja hukubali matokeo.Hukubali kwamba game yangu imestep kukuzidi.i'm more ill than u.Yeah i admit that u won the battle the first time i came here coz i was new in battlin but now u cant win coz i'm more ill more than i used to be.I've murdered you in the last verse i dropped thats why you startin to be afraid of me na kuanzisha visingizio.Any real emcee can see that YOU ARE WACK.u still livin in da past and u are jeolosy coz i'm better than u.the sooner you accept it the better :evil: :evil: :evil:Vichwa real vimekubali mambo yangu so u da fuck are u.Let peeps give u props but u keep on givin urself probs while we cant see anythin.We have peeps like k-singo,taffjam,Ambax u shud ask them i hold down dis shit........................u fakin nukkah u aint real.


everyone watch me verbally give this fag a vital test
:evil: :evil: :evil:
next one shud com forward

#11 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 22 September 2004 - 12:50 PM

kama haupo real bora ukatimua..ryme zangu ni kisu kikali ubongo nakutifua//
hater unanichukia..sababu title nashikilia//
nakuja kama mesia.. katuni unanihofia..nakamata kipaza kilema nakuachia//
rest in peace futi sita nakufukia//..kombora kama za mrusi nakutupia//
hata ukivaa lyrical protection vest kichwani zinakuingia//
metaphorz zenye akili nakushushia..kama kifusi unatitia//


:evil: :evil: :evil:

#12 Mchapakazi

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 213 posts
  • LocationDeventer, Holland

Posted 22 September 2004 - 01:07 PM

Vita vya Panzi......
Bitches are like tornadoes scream when they come,and take everything when they leave

#13 Mchapakazi

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 213 posts
  • LocationDeventer, Holland

Posted 22 September 2004 - 01:14 PM

battle kiswahili madongo kiingereza utumwa usomi au ndio nini acheni hizo aiight hiphop game ya amani. Kama hauna skills hauna skills jifungie ujifue ukiweza njoo uwanjani sio mitusi nini mimi zaidi....mimi...

what ya a**

Stomp this kid an jump on his head ya it's BOUND to hurt/
3 shots from the glock will leave him down to earth/
Whats the matter stuck on a bar? here i'll punch ya loose/
coz my lines will touch every head, in your circle like duck duck goose/
Look dawg if I win, dont claim I'm swayin the votes/
an it's ok to masterbate, but quit playin with goats
Bitches are like tornadoes scream when they come,and take everything when they leave

#14 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 22 September 2004 - 01:39 PM

nah matusi mazee.U know i've been watchin dis kid givin himself probs but nukkaz dont giver Shit about him.He tink is illest.i murdered him dat verse above him and now he is comin wit excuses dat he murdered me the first time we met how gay is dat.Dis time i'm not gonna let him go he has to die inside here i'm gonna diss his ass until he quits.

Mchapakazi u can vote who is tight btn me and him


Butcha a.k.a ryme chaja

#15 HE KI MA

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 96 posts
  • LocationUK

Posted 22 September 2004 - 02:11 PM

Dis is somn stupid ass vicious cycle dat i don wanna go thu again..BUTCHA umeshinda baba!!! YOU THE ILLEST!!!!

oya Explo au mwingine yeyote, kama uko tayari UKUMBI UMEANDALIWA !!!!!

nb: tusisahau hii ni forum ya Kiswahili !!
1

#16 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 22 September 2004 - 07:52 PM

this shit is not yet over let the peeps decide who is ill then it will be over.U are not a real emcee.Real emceez never fear no body.lets call da voters and we go go one verse each person.dont be afraid of me.u fuckin around wit a wrong emcee.If u won da first time dat was last year den why are u afraid if u tink ur skillz are cool.u just afraid i will shit on ur head coz u have seen me representin wit no jokes dis time

hey soulsta,ambax,Mchapakazi,Explo,illa,knocka.m.o.be be ready 4 votin for ma battle btn me and hekima one round only.Who ever is the winner life goes on. :evil: :evil: :evil:

#17 XPLO

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 77 posts
  • LocationDEEP IN UR MEDULA OBLANGATA

Posted 22 September 2004 - 09:01 PM

VIPI JAMANI FORUM NZIMA IMEKOSA AMANI/
SASA SIJUI NANI NI NANI AU MMESAHAU KUGHANI/
SI INGEPENDEZA KAMA HAYA MALUMBANO YANGE RYMIN/


FINISH THAT KIJIBATTO CAUSE IF U WANA B PENPALLS EXCHANGE EMAILS THEN U CAN TALK
DIS AINT PLACE FOR PUNK-ASS LIKE U 2 FOR KUPASHANA

#18 Mchapakazi

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 213 posts
  • LocationDeventer, Holland

Posted 23 September 2004 - 04:57 AM

Truuuu no peace ishakuwa mipasho
kama wanataka kila moja one verse then tutajua
otherwise......
Lets rhyme basi/, kama tuna nafasi/
acheni ukwasi/ kama mikasi
kila moja ampe wenzake pasi/
hii game haitaki watu fake/ ambao hawabebeki/
kheri seki/
shusha vitu watu kama Harlem... waanze kushakei/
kama huna skills tunakuzika tu hiyo haikwepeki/
hata ukijaribu kuja juu kwa jeki/

We been there, done that and we.......
Bitches are like tornadoes scream when they come,and take everything when they leave

#19 HE KI MA

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 96 posts
  • LocationUK

Posted 23 September 2004 - 10:18 AM

Knifebutcher said:

this shit is not yet over let the peeps decide who is ill then it will be over.U are not a real emcee.Real emceez never fear no body.lets call da voters and we go go one verse each person.dont be afraid of me.u fuckin around wit a wrong emcee.If u won da first time dat was last year den why are u afraid if u tink ur skillz are cool.u just afraid i will shit on ur head coz u have seen me representin wit no jokes dis time

hey soulsta,ambax,Mchapakazi,Explo,illa,knocka.m.o.be be ready 4 votin for ma battle btn me and hekima one round only.Who ever is the winner life goes on. :evil: :evil: :evil:

naona we dogo website imekupanda kichwani ka malaria...unachanganyikiwa,bado unamaumivu from the last battle!!-get over it!! kwa kifupi ni kwamba WEWE tayari uko kwenye list ya ma-MC ambao nimetengua viuno kwenye hii site..now am tryin ta battle as many hedz as i can..i ain never battled Xplo b4, never battled Mchapakazi b4 y da fuk shud i be bothered wit u...unaongelea kuhusu mimi kutokubali matokeo..well look at u!!! Unamwambia Explo hajatulia wakati explo whooped ya ass last time u battled him...U R A DIE HARD Juniour!!

Mimi siwezi kuogopa ku-battle na wewe kinda!,any true head ndani ya hii site anajua hilo u talkin bout real MCZ not fearing nobody well real MCZ reap as many MCZ as they can FUK die hards like u kid!! i wan somn nu competition dat ain hard to understand.

talkin bout you beat ma ass in the last verses we did ya verse is twice the length of mine and mine got twice the metaphors and punchlines.iz you judging from the quantity or quality son!!

talkin bout you been elevating since we last battled, you still the same butchA we all no.....LONG BORING VERSES!!! if heds were judging from how much effort we put-U'D BE THE ILLEST but they don...its HOW MUCH KNOWLEDGE you display DIK HEAD....wot did i tell ya in the last verse..

sindiki vina tena ni maonyesho ya uelevu
na kama akili nywele basi we ndama umeshevu

CAN SOMEONE GET DIS MONKEY OFF MA BACK, AM BOUT TO GRAZE ME MO' MCZ

NB; na nyie wengine mnaodai hii ni mipasho nyie wenyewe mnaipenda!! on ma last reply i said UKUMBI UMEANDALIWA.. who jumped in?!! NOBODY Fuk wot that kid says lets do somn HIPHOP!!

UKUMBI UMEANDALIWA.....AGAIN!!!

1

#20 HE KI MA

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 96 posts
  • LocationUK

Posted 23 September 2004 - 10:50 AM

Infact Explo, i jus dissed ya ass in ma last verse....arent u gon to reply or you more concerned bout Mipasho...PUSSY!! na we mchapamavi..unless you gon battle..SHUT THE FUK UP!!!

WHERE THA TRUE HEDS AT???





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users