nawashanga wasanii ambao baaaadala ya kusaidiana na kutataua matatizo ya kunyonywa hela zao wanaimbana sana katika tungo zao.
Kwa mfano huyu dada anayejiita gaidi na huyu Siosta P kwa nini mnasumbuana kwa kuimbana.
Tungeni muziki mzuri wakiukubali mtapata hela wakiwanyima muwataison hao wajinga jinga wanaowaibia kama anavyofanya Dudu baya :oops:
wasanii acheni kukandiana
Started by Guest_mama tau_*, Nov 03 2002 10:24 AM
1 reply to this topic
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users












