Jump to content


Oyaa Sony_boy J.J endelea kupeperusha bendera ya wabongo.


13 replies to this topic

#1 Guest__*

  • Guests

Posted 28 October 2002 - 02:11 PM

Oyaa mshikaji mimi ingawa sio mtaalamu wa mambo ya tennis ila najua wabongo tunavipaji tu! sawa mshikaji Sony_boy J.J ingawa wewe iko fiti katika kipaji chako mwanangu lazima fanya kweli au vipi huko France lazima waonyeshe hao watasha kuwa na sisi wabongo tuko fiti katika tennis!
Hao wote kina Endrea Agasi waliazia chini mwanangu hakuna mtu aliyezaliwa na kipaji chake!wewe mwezetu huko fiti andelea kukupeperusha bendera ya wabongo iko siku wachizi watafuata nyayo zako babu yangu!
Oyaa wakati ndio huu washikaji lazima wabongo tushike fani sio hip hop,disco washikaji wengi wana fani lazima tuzionyeshe sio mnazubaa tu! we shtuka pale sio mnavuta bangi tu! nakuiba wachizi!

#2 Guest_Galden Lecoq Club Arusha_*

  • Guests

Posted 28 October 2002 - 02:35 PM

Sony_boy washikaji tunakukumbuka sana Arusha.vitu vyako ndio vinakufanya uzidi kupeta mwangu!Wape vitu hao wafaransa au vipi bongo tunapeta tu! lazima tutashika charti na sisi katika world ya tennis.
Oyaa washikaji lazima tuchacharike sio tunabakia kimaind mambo ya watu! Viongozi wa chama cha tennis lazima muwachie ngazi vijana wanapoteza vipaji vyao mnawashikia bango hamtaki wapete! Sony_boy wewe lazima wapigie debe wezio au vipi na hivi sasa tennis inapeta tu! Arusha tutazidi kuwapiga bao tu! kila siku vijana wanakukumbuka vitu vyako.
Poa viongozi lazima muwachie ngazi wasshikaji wanapoteza vipaji vyao ila mnawashikia bango tu! tennis inaendelea kufa tu! Tanzania wakati washikaji wako fiti!
Poa washikaji msikatae tamaa iko siku mmabo yatakuwa freshi mwanzo mgumu baadaye tunapeta tu! wabongo na fasi zetu!


Wachizi wa tennis.
Galden Lecoq club
Arusha.

#3 Guest__*

  • Guests

Posted 28 October 2002 - 02:45 PM

Tenis ni ya wazee

#4 Guest__*

  • Guests

Posted 29 October 2002 - 11:25 AM

Oyaa wewe kuma nyamaza ujui kitu sawa nani aliyekuwambia tennis inachezwa na wazee?nyie ndio mnapinga maendeleo ya watu.wewe kama umezaliwa ziro endelea na uziro wako koma kinyago cha mpapure.
Atutaki kula kula katika hii nchi ujui fani yako nini?
Sisi watu wa sport tu! unazani wabongo wote tukiwa wana hip hop nani atamsiliza mwezie au nani atanua cd au tape?kila mtu na fani yake wewe kama unafani basi sema tukufundishe fani yako?
wewe koma tena usiongee viji upuuzi vyako katika mtandando huu tafuta mtandao wako au mwambie baba yako aingie ubia na sisi tumpe web site yake mwanga mkubwa weeee :twisted:


Wana tennis
Galden Lecoq Arusha.

#5 Guest__*

  • Guests

Posted 29 October 2002 - 11:58 AM

Oyaa wewe kuma nyamaza ujui kitu sawa nani aliyekuwambia tennis inachezwa na wazee?nyie ndio mnapinga maendeleo ya watu.wewe kama umezaliwa ziro endelea na uziro wako koma kinyago cha mpapure.
Atutaki kula kula katika hii nchi ujui fani yako nini?
Sisi watu wa sport tu! unazani wabongo wote tukiwa wana hip hop nani atamsiliza mwezie au nani atanua cd au tape?kila mtu na fani yake wewe kama unafani basi sema tukufundishe fani yako?
wewe koma tena usiongee viji upuuzi vyako katika mtandando huu tafuta mtandao wako au mwambie baba yako aingie ubia na sisi tumpe web site yake mwanga mkubwa weeee :twisted:


Wana tennis
Galden Lecoq Arusha.

#6 Guest__*

  • Guests

Posted 29 October 2002 - 01:49 PM

we mbona unaongea pumbalistic? ni hivi, hhiyo tenis kacheze na wazee wenzako au sio bwana, hapa tunajadiliana na mambo ya kimuziki wa HIPHOP.
Alafu mbona unatumia neno la "ukome" kila mara? manake najua wanawake ndio wanapenda kulitumia. :lol:

#7 Guest_msonjoman_*

  • Guests

Posted 29 October 2002 - 07:10 PM

washikaji kumbe mambo swafi...mitandaoni...!..NI MSHIKAJI TOKA BONGO(DAR) lakini ARUSHA NDIO HOME...machizi wa majengo,kaloleni,fire mpoooooo?..hakuna noma wala ngwere...!

big ups to all machizi wote wenye vipaji...


msonjoman
PORT ELIZABETH
SOUTH AFRICA

Quote



#8 Guest_wachizi wa tennis._*

  • Guests

Posted 30 October 2002 - 10:20 AM

:twisted: :twisted: :twisted:

#9 Guest_wachizi wa tennis._*

  • Guests

Posted 30 October 2002 - 10:23 AM

Mama yako ndio yuko katika fani ya hip hop sawa sisi hatuna fani moja kuma wee sisi kila fani tuko hata mama yako akitaka tumpe fani yake tutampa tu! kama tennis ni ya wazee kwa nini baba yako na mama yako wasicheze nawao si ya wazee kuma wee.
Sisi fani moja ikikataa tunadili na fani nyingine kuma wee!
:twisted: :twisted: :twisted:

#10 sosa

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 168 posts
  • LocationTanzania, manzese kwa mfuga mbwa

Posted 30 October 2002 - 03:43 PM

sasa hayo mambo ya wazazi yametokea wapi? nadhani ni sehemu unapotoka ndio pamekufanya uwe limbukeni.
Hii forum ni ya majadilidano ya muziki wa hiphop ya bongo sasa wewe unatuletea michezo? wapi na wapi, labda kama kungekua na uhusiano na fani ya hiphop lakini la.
Hivi huku jiuliza kwanini watu hawakujibu post yako?
Wachizi ndio nini? yani hata kiswazi hakipandi...na maneno yako yaki mbwinde mbwinde.

#11 Guest_!(-_-)! Tino_*

  • Guests

Posted 30 October 2002 - 04:52 PM

sawa kabisa mzee sosa...............lakini wabongo duuuuuu wabishiiiiiiiii :lol:

#12 Guest__*

  • Guests

Posted 11 December 2002 - 01:54 PM

[
quote="msonjoman"]washikaji kumbe mambo swafi...mitandaoni...!..NI MSHIKAJI TOKA BONGO(DAR) lakini ARUSHA NDIO HOME...machizi wa majengo,kaloleni,fire mpoooooo?..hakuna noma wala ngwere...!

big ups to all machizi wote wenye vipaji...


msonjoman
PORT ELIZABETH
SOUTH AFRICA[quote][/quote][/quote]
We mesenge unamsalimia nani?

#13 Guest_SmokeyOBL_*

  • Guests

Posted 12 December 2002 - 02:37 PM

Hamna issue nyie kenge tu...
Kwanza washamba tu, washamba tu, machizi mnawajua nyie....
Huo usenge wenu pelekeni kwa wasenge wenzenu wa Mererani
Hapa ni hiphop tu na sio pumba nyingine
Huo 'ukevu' wenu pelekeni YoungAfrican.com

SmokeyOl'BhangLeaves
Unga Limited Hashish-Sensi
Arusha

#14 Guest_WACHIZI WA TENNIS_*

  • Guests

Posted 13 December 2002 - 01:43 PM

OBl kumaaaaaaaaaaaweee.Msenge baba yako.unajifanya unajua hiphop wakati ujui kitu kmaaaaaaawe lazima tutakufira tu.



GADEN LECOQ CLUB
ARUSHA.





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users