Jump to content


NASIMAMA


1 reply to this topic

#1 mkurdi-mweusi

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 34 posts
  • Locationarusha

Posted 21 August 2004 - 06:48 AM

NAGAWANYA MASHAIRI TAFSIRI NAKUWA MAKINI KIMASHAIRI YANI NAKUWA JASIRI NAMTAKA BINGWA WA MASHAIRI ASIYEJUA KUNA KUFA KWA TAIRI NAONGEA KWA KUTUMIA ITIKADI NA SAUTI
YANGU INACHOMA KULIKO RADI UTAIPA SALUTI TU MARIDADI NAJITOA KWENYE JIHADI SI AHADI NITAKUVUTA MASHATI NIKUTUPE MABATINI
NI RAHISI KUMUJUA IBILISI NAHISI NAKUFILISI SIKIA HIZI
NASIMAMA KWENYE MILIMA NAWAPIMA KWA KINA ONA NADONDOKA NA VINA WASHIKAJI WANAZUNGUMZA KUHUSU UPUZI WA KILUZI
HAWAJUI NA HAWATAMBUI NA TELEZA KAMA MIRUNGI NA
ASIYEFANYA KAZI NA ASILE MACHIZI WA MTAA WAPI TUNAPOKWENDA KAMA TUNAPOTEA AU TUNAKOSEA BASI ELEZEA NAWACHUKUA MSUKULE
HAMJUI KWAMBA MIMI NI BONGE LA CHATA MANYOKA MNABAKI KUFYATA NAKUJA KIVINGINE TENA KAMA MASTA :evil:

#2 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 21 August 2004 - 10:44 AM

oya we kinda kama unataka kubattle stick kwenye topic moja sio kila siku unaanzisha topic mpya.Kama unataka twende raundi halafu watu wapige kura nani ana punch za nguvu twende raundi.





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users