Jump to content


NARUDI


1 reply to this topic

#1 mkurdi-mweusi

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 34 posts
  • Locationarusha

Posted 19 August 2004 - 07:43 AM

nini mbaya na wewe sina ubaya na bado narudi kama baba ubaya ukipenda nite mkurdi narudi kwa kusudi na sina budi kuwabeba kifudifudi
kw kutumia wangu ufundi nafunga midomo kwa gundi wanaoniona wananifananisha na bundi na wanguu uweusi naheshimika kwa ujasusi
maususi kwa wanaoleta upuzi nia yao ni kama ya suzi wewe ni mtoto wa juzi juzi nakufunga kama uzi kama ni jina nitakuita luzi wote hapa ni nyuzi 360 hatutaki tena upuzi bali hatujui ni nani mchuzi nishakula ugali kwa mchuzi sikuzi kama ni pikipiki wewe ni bata vuzi
mimi sihui bali nachana wenye blouse (i got message for all of u niggers)
mimi bado ni ringmaster kwenye hood na hii ryme ni tamu kama food
heshimuni kinachoheshimika na bado nitaendelea kuwika ikibidi nawapika na sina budi kuwajibika kama kamanda maana madui wametanda
ikiwezekana natapika utabaki ukiangaika wewe mtoto malaika ushanza kuaibika na kukinuka shuruti utawajibika nasimika katikati ya milima
na mistari yenye vina nitawacheka kama mtanipima maisha haya si lelemama hakika hakuna mtoto wa mama ndo hivi natamba kama milima ya usambara kama ni samaki ningekuwa sangara nakucharaza viboko nikitokea usangara unabaki ukigarara ryme zako sawa na famba :evil:

#2 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 19 August 2004 - 06:49 PM

unarudi kivipi mwanakuibata hebu acha upuuzi//
hiyo hapo juu si ryme bali ni maongezi//
unarudia rudia mistari kila siku utadhani jezi//
kwa jinsi unavyoflow ni sawa na kukimbia kwenye utelezi//
toka uanze kuchana hujapata pongezi//
hii inaonyesha we si kichwa bali doezi//
nakukanyaga kama lami hata ukijifua na mazoezi//
dogo bado kakinda huniwezi//
njoo kwenye thread emcii nikupe malezi//
nipo makini na fani katu sichezi//
napandisha mashetani nikishablezi//
unasalimika kwa huruma ya mwenyezi//





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users