Oya mimi naona nyie ni ma-playerHetterz, muziki ni buludani kimsingi ila
una weza kuja na ujumbe itakuwa bora. lakini maana ya muziki ni pana
sio finyu kama akili zenu.
Hii topic ya Bongo flavour naona mna chemsha kwa kuwa watoto wana vipaji na wana tafuta Daily bread. sasa mkitaka waludie kazi zao za zamani ndio watawakaba mitaani alisema imamu abasi na profesa J.
wewe kama true hip-hop toa tungu kali watu wata penda alafu tuta waachia wapenzi wachague lakini sijui bongo flavour haina mpango huo ni uzushi,. period.
Acheni uzushi
Started by foshizo, Aug 17 2004 09:45 PM
3 replies to this topic
#1
Posted 17 August 2004 - 09:45 PM
#2
Posted 21 April 2005 - 11:41 AM
Thats right home boy keeping really in this game
#3
Posted 22 April 2005 - 04:14 AM
Kijana umepotea njia nini,unaongea vitu gani hivyo,acha makabunyau tughani,kwenye game hakuna utani,Masela hatari kama mashetani,ingia kama utapenda upambane vikali vitani.
#4
Posted 12 March 2006 - 09:00 PM
Foshizo anataka KIKAZA/
Maemcii tunakiita KIPAZA/
Anatuma salamu akiwa KANYAMAZA/
Anazidi KUNISHANGAZA/
Anasema anataka KUNILIWAZA/
Nakaa kimya,anashindwa KUJIKAZA/
Baada ya muda kikaza KINAVUJA/
Alaa!Kumbe NIMEKUJA/
Foshizo unataka KULAMBA/
Geuka nyuma twende SAMBAMBA/
Sitokuumiza na jinsi ulivyo MWEMBAMBA/
Acha fujo nitakufunga na KAMBA/
Hah,mbona kuchafu umeshindwa KUCHAMBA/
Uko mjini halafu unaleta USHAMBA/
Nikikuacha wapi utapata PAMBA/
Ngoja nijichenge naona unaita WASENGE/
Uko ndani ya African hip hop bado unasema WANGE/
Mjusi kafiri we,watafute mawingu uongee nao mambo ya bongo flavours.ukiwa ndani ya african hip hop bora uwe msomaji,otherwise utakwenda na maji,au unataka tukununulie dibaji,ushone upendeze ukawatege wafiraji,wakishakubandua ujinawishe na maji,
Since u r fake, u better read my signature bitch.
Maemcii tunakiita KIPAZA/
Anatuma salamu akiwa KANYAMAZA/
Anazidi KUNISHANGAZA/
Anasema anataka KUNILIWAZA/
Nakaa kimya,anashindwa KUJIKAZA/
Baada ya muda kikaza KINAVUJA/
Alaa!Kumbe NIMEKUJA/
Foshizo unataka KULAMBA/
Geuka nyuma twende SAMBAMBA/
Sitokuumiza na jinsi ulivyo MWEMBAMBA/
Acha fujo nitakufunga na KAMBA/
Hah,mbona kuchafu umeshindwa KUCHAMBA/
Uko mjini halafu unaleta USHAMBA/
Nikikuacha wapi utapata PAMBA/
Ngoja nijichenge naona unaita WASENGE/
Uko ndani ya African hip hop bado unasema WANGE/
Mjusi kafiri we,watafute mawingu uongee nao mambo ya bongo flavours.ukiwa ndani ya african hip hop bora uwe msomaji,otherwise utakwenda na maji,au unataka tukununulie dibaji,ushone upendeze ukawatege wafiraji,wakishakubandua ujinawishe na maji,
Since u r fake, u better read my signature bitch.
showstopper a.k.a sniper,da name behind every fake mc's death.
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













