FIESTA UWANJA WA TAIFA?
#1
Posted 09 August 2002 - 05:23 PM
Mnajua ni watu wangapi wanaumia kwenye ma concert yenu?au wangapi wanatoka macho kuvunjika miguu na vilema vingine leo hii mnataka kutuua?
Mnajua wangapi waliumia mwaka jana kwenye summerjam kubabake uwanja wa taifa muende wenyewe watu hatuwezi kwenda kufa huko
Napenda kunukuhu wimbo wa afande sele wa mayowe kuna sehemu anasema AJALI SI LAZIMA GARI AU MELI IGONGE MWAMBA
NA VIWANJA VYA SOKA LEO HII VIPO SAMBAMBA
Sasa nadhani mtaelewa nini maana ya usemi huo jumapili mi siombei yatokee ila sababu zipo wazi mwenye macho haone.
#2 Guest_<sosa>_*
Posted 09 August 2002 - 06:50 PM
Hii sio kuwavunjia clouds soko la, nikushtuana tu na hali halisi ya sehemu kama uwanja wa taifa.
Amani.
#3
Posted 10 August 2002 - 10:40 AM
#4
Posted 12 August 2002 - 05:03 AM
unajua fujo wanazoanzisha watu sio poa lakini wakati mwingine ni kama haki yao kufanya fujo tunafahamu mara ngapi organisers wanadanganya watu kuhusu mida ya show zao kwani wanajua kabisa kuwa hawatafanya show kwa muda walio tangaza lakini wanaendelea kutangaza...
yote hiyo ni tamaa ya pesa tu kwani hata swala la kuwapa watu vilema sio kwenye fujo tu bali kuna mambo ya kujaza watu kupita kiasi .....
lakini pia wabongo tujali usalama wetu kwani kama unaona sehemu hailipi kwanini uendelee kuingia? piga bunda nenda kajirushe sehemu nyingine kwani bongo ya leo sio ile ya zamani ..unauhakika wa kujirusha sehemu tofauti zaidi ya moja.
#5 Guest_kisiwa_*
Posted 12 August 2002 - 08:13 AM
kuhuisu usalama uliku bomba na watu tulifaid kinoma
yaani mnataka fiesta lingefanyika wapi?
kutokana na idadiya watu kuoingezeka kila mwaka ndio maana watu wakachagua national stadium,sasa watu walikua zaid ya12000, ungeandaa wewe ungewaweka wapi?
hata maamton ma concert makubwa makubwa yana fanyika sehemu kama ya u taifa .na kuhusu fujo hii inatoke kwenye concert lolote hata kama lingefanyika mnapopataka nyinyi, mimi nadhani kufanyika u/taifa ni moja ya hatua ambayo inaonyesha ni jinsi gani wabongo walivyo hamasika kuhusu music,acheni mambo yenu ongeen point ya maana
labda wazee niwaombe ushauri hii fiesta ingefanywa wapi?
#6
Posted 15 August 2002 - 10:21 AM
Nikuulize swali?Mwaka jana na mwaka huu ni mwaka upi kulikuwa na fujo zaidi?Na nikuulize tena mwaka jana Leaders ilijaa.Ingawa watu walikuwa wengi lakini bado uwanja ulikuwa unaruhusu watu zaidi na watu walienjoy sana sio uwanja wa taifa hata toilet shida kwenda
Halafu usipende kufananisha nchi za wenzetu na bongo heti wanafanyia uwanjani nani ka kwambia?Kwanza wenzetu wastaarabu hiyo ufahamu halafu fiesta wenzetu wanafanyia beach sio nyinyi bongo mnajua kuwakusanya watu tu ili mradi mnataka hela pumbavu zenu
#7
Posted 15 August 2002 - 10:42 AM
Peace
#8 Guest_KISIWA_*
Posted 15 August 2002 - 11:52 AM
pale cptown watu 12 walikufa
kuhusu kuporana hilo halina mjadala
odb haya mambo unayajua au unarukia
unadhania hii ni tamasha la MASHIBOTA
#9
Posted 15 August 2002 - 12:01 PM
#10 Guest_kisiwa_*
Posted 23 August 2002 - 09:08 AM
mwakani mambo ya fiesta yatakua vilevile na watu wata kua wa kumwaga tatizo lenu ninyi watoto wa kino mnajifanya mnajua kila kitu
kwa taarifa yako temeke ndio wailaya iliyo kuwa kimpangilio,au hujamsikia profesa tibaijuka
kama wewe hutaki kuja tuliza kipago wacha masela tujirushe
watoto wa mama ninyi,mnataka kwenda na machori kibao wamekuzunguka wewe upo kati,
uswahilini kuna vituko bwanaa............ :evil: :evil: :evil:
#11
Posted 23 August 2002 - 10:18 AM
Nashangaa leo unaita kino uswazi inamaana unataka Tmeke tuite uzunguni sio au umesahau maisha Temeke mikoroshini au leo hii tuseme P_FUNK ,master jay na BONIE waamue kufunga studio zao unafikiri watoto wa temeke wataenda wapi kino ndo kwa wajanja mshamba we na kino ndo mambo yote minafikiri huko taifa mlikofanyia hiyo fiesta mwakani kwanza hampati watu kwani yaliyotokea mwaka huu nadhani walioenda hawatapenda kuwatokea tena eti temeke watu hatuangalii wingi wa wasanii tunaangalia vichwa viko wapi ?Sio watoto wa temeke wanaotaka rap iwachangie wajiulize wao waichangie nini rap sio kujazana kwa master j wakitaka kurecord bure pumbavu8 zenu! :evil:
#12 Guest__*
Posted 23 August 2002 - 04:35 PM
Quote
#13
Posted 23 August 2002 - 05:16 PM
kubabake minadhani hawajamaa sijui tupambane nao kwa njia gani ndo maana waliunguliwa jengo lao yote laana ya kuibia watu pumbavu sana clouds wote labda muwakamue wadosi shenzi kabisa
wananch click hapa mjionee wenyewe wizi unaokuja mbele
http://www.cloudsfm.com
:evil:
#14 Guest_baby rasta_*
Posted 24 August 2002 - 05:10 PM
#15 Guest_Mpula mkilanya_*
Posted 25 August 2002 - 08:50 PM
#16 Guest_tash_*
Posted 29 August 2002 - 08:06 AM
point ni kwamba hii forum unatakiwa kutoa mawzo sio unatukana tuu eti hawa wezi sijui nini?
unatakiwa kuueleza nini kifanyike katika kuandaa tamasha kama hili toa mawazo, unajua watoto wa kino mnajiona mnajua kila kitu sawa vichwa si vipo kwenu,watoto wa tmk nazani song zao mwenyewe zinakugusa ,sisi hatuzungumzii siasa bwana tunaongelea maisha halisi yanayo tuzunguka sisi wenyewe wa tmk sawa?
nikuulize mzee unataka hili tamasha life?
toa ushauri kuboresha tamasha hili sawa odb
peace
kisiwa(tash)
#17
Posted 04 September 2002 - 09:56 AM
na kino ina sifa ya wastaarabu wengi.
Kama ndo hivyo we unajua kabisa uchochoro fulani kuna wezi hivi kweli we unaweza kupita?
Ndio ilivyokuwa kwa Fiesta watu wanajua sifa halisi ya uwanja wa taifa na maeneo ya temeke kwa ujumla ndo maana watu wengi hawakuudhuria lakini kulikuwa na uwezekano watu wangeongezeka mara tatu ya waliokuwepo siku hiyo kama mngefanyia sehemu nyingine.Mi sielewi vigezo gani vimetumika kuiondoa Leaders wakati mwaka jana watu tulienea kabisa na nafasi ikabaki nyingi tu natu wali enjoy kwani kulikuwa na michezo mingi tofauti na mwaka huu
kulikuwa na michezo ya pool si chini ya kumi kulikuwa na mchezo wa kuruka matope,mashindano ya kula na ya kunywa je mwaka huu yalikuwepo?
sasa ndo kuboresha kwenyewe huku jamani?
hiyo inaonyesha jinsi gani mnadhamini pesa mzee kuliko burudani ya wapenzi.
Halafu mwaka jana msanii akipanda jukwaani alikuwa anaperfom nyimbo mbili hadi tatu wakati mwaka huu msanii napanda na wimbo mmoja tu wala haina raha yaani baada ya hapo hamumuoni tena labda apande na fearturing na msanii mwingine.
Halafu kitu kingine mzee ambacho sikukipenda na muda wa Fiesta kuisha.Burudani haiwezi kuisha saa nne au saa tano usiku hata siku moja ila burudani ndo inaanzaga saa hizo mpaka asubuhi mzee.
Kitu kingine sikupenda siku ambayo tafasha limefanyika.Kama kweli nyinyi ni wazoefu na entertainment hamuwezi kufanya tamasha siku ya jumapili wakati jumatatu watu wanaenda kazini na madenti wanaenda shuleni.siku za kujirusha inaeleweka wazi ijumaaa na jumamosi jumapili watu wanapunzika
#18 Guest_matako_*
Posted 04 September 2002 - 12:11 PM
#19
Posted 19 September 2002 - 03:18 PM
#20
Posted 20 September 2002 - 02:11 PM
Sasa kwa mtazamo mwingine kuhusu fiesta ama sehemu zingine zenye kuonewa kimaisha, (hata fiesta ingefanyika manzese kwa mfano) wanaelezea hisia zao kwa wale wanowaona kama "wenye nacho", ile sh elfu 3000 ya kuingilia ndani lakini wao hawana in a way ni kama wanaonyesha au kuuliza "kwanini wewe unahela ya kuingilia mimi sina?, tabaka hili sasa lina "revolt" kwani sauti zao za kukandamizwa na kuonewa kiuchumi na kisiasa hata kijamii kutokana na mifumo inayoleta miundombinu onevu, hazifiki bungeni hata kwenye vyombo vya habari kwa sana, na hakuna anyewasikiliza wanaonekana maskini kwa sababu ya ujinga wao????!!!!sasa kufanya fujo na kupora inakuwa njia ya jupeleka ujumbe, hebu angalia watu wote wale waliobaki nje walivyokuwa na hamu ya kuingia lakini wasiweze, kwa kifupi ni kwamba Fiesta lingefanyika sehemu kama oysterbay au coco fujo zingekua nadra, kwani kule ni kwa wakubwa, kuna security mpaka kwa paka zao (gusa uone cha moto).
(sio kwamba naunga mkono fujo, kama violence itatumika kuketa "meaningfully ends" ntaitumia tuu!!)
ma mcee wa bongo endelezeni Faya'!
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













