Jump to content


FIESTA UWANJA WA TAIFA?


30 replies to this topic

#1 ODB

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 40 posts

Posted 09 August 2002 - 05:23 PM

Kubabake clouds naona sasa mnataka kutuua meshawaingiza watu vilema sana kwenye matamasha yenu sasa mnataka kutuua sio?
Mnajua ni watu wangapi wanaumia kwenye ma concert yenu?au wangapi wanatoka macho kuvunjika miguu na vilema vingine leo hii mnataka kutuua?
Mnajua wangapi waliumia mwaka jana kwenye summerjam kubabake uwanja wa taifa muende wenyewe watu hatuwezi kwenda kufa huko
Napenda kunukuhu wimbo wa afande sele wa mayowe kuna sehemu anasema AJALI SI LAZIMA GARI AU MELI IGONGE MWAMBA
NA VIWANJA VYA SOKA LEO HII VIPO SAMBAMBA
Sasa nadhani mtaelewa nini maana ya usemi huo jumapili mi siombei yatokee ila sababu zipo wazi mwenye macho haone.

#2 Guest_<sosa>_*

  • Guests

Posted 09 August 2002 - 06:50 PM

Nikweli, tatizo ni kwamba hawana ulinzi wakutosha na kwa uhakika sehemu kama ya uwanja wa taifa lolote lina weza kutokea. Kwa ushauri wangu bora watu wasibebe vitu kama simu za mkononi, mikufu ya dhahabu, saa za gharama n.k
Hii sio kuwavunjia clouds soko la, nikushtuana tu na hali halisi ya sehemu kama uwanja wa taifa.
Amani.

#3 ODB

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 40 posts

Posted 10 August 2002 - 10:40 AM

Tatizo unajua ni nini Sosa.Uwezi ukawaambia wabongo waondoke kiwanja saa nne usiku wakati watu washazoea mpaka majogoo sasa unafikiri watu watakubali kuondoka hapo ndo kasheshe itapoanza watalalamika mmetuibia na vurugu tele ukizingatia watoto wa temeke halafu ndo kwao huwaaambii kitu sio kama naombea narudia tena sababu zipo wazi mwenye macho aone!

#4 bongonian

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 60 posts
  • LocationArusha,Tanzania

Posted 12 August 2002 - 05:03 AM

ngojea niulize kwanza hiyo Fiesta...inakuwaje kwani sijaisikia?na kama imepita ni kweli watu wameumia?

unajua fujo wanazoanzisha watu sio poa lakini wakati mwingine ni kama haki yao kufanya fujo tunafahamu mara ngapi organisers wanadanganya watu kuhusu mida ya show zao kwani wanajua kabisa kuwa hawatafanya show kwa muda walio tangaza lakini wanaendelea kutangaza...

yote hiyo ni tamaa ya pesa tu kwani hata swala la kuwapa watu vilema sio kwenye fujo tu bali kuna mambo ya kujaza watu kupita kiasi .....

lakini pia wabongo tujali usalama wetu kwani kama unaona sehemu hailipi kwanini uendelee kuingia? piga bunda nenda kajirushe sehemu nyingine kwani bongo ya leo sio ile ya zamani ..unauhakika wa kujirusha sehemu tofauti zaidi ya moja.

#5 Guest_kisiwa_*

  • Guests

Posted 12 August 2002 - 08:13 AM

tatizo lenu ni nini?
kuhuisu usalama uliku bomba na watu tulifaid kinoma
yaani mnataka fiesta lingefanyika wapi?
kutokana na idadiya watu kuoingezeka kila mwaka ndio maana watu wakachagua national stadium,sasa watu walikua zaid ya12000, ungeandaa wewe ungewaweka wapi?
hata maamton ma concert makubwa makubwa yana fanyika sehemu kama ya u taifa .na kuhusu fujo hii inatoke kwenye concert lolote hata kama lingefanyika mnapopataka nyinyi, mimi nadhani kufanyika u/taifa ni moja ya hatua ambayo inaonyesha ni jinsi gani wabongo walivyo hamasika kuhusu music,acheni mambo yenu ongeen point ya maana
labda wazee niwaombe ushauri hii fiesta ingefanywa wapi?

#6 ODB

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 40 posts

Posted 15 August 2002 - 10:21 AM

We kubabako kisiwa unajifanya unajua sana kuitetea clouds sio?
Nikuulize swali?Mwaka jana na mwaka huu ni mwaka upi kulikuwa na fujo zaidi?Na nikuulize tena mwaka jana Leaders ilijaa.Ingawa watu walikuwa wengi lakini bado uwanja ulikuwa unaruhusu watu zaidi na watu walienjoy sana sio uwanja wa taifa hata toilet shida kwenda
Halafu usipende kufananisha nchi za wenzetu na bongo heti wanafanyia uwanjani nani ka kwambia?Kwanza wenzetu wastaarabu hiyo ufahamu halafu fiesta wenzetu wanafanyia beach sio nyinyi bongo mnajua kuwakusanya watu tu ili mradi mnataka hela pumbavu zenu

#7 Mchapakazi

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 213 posts
  • LocationDeventer, Holland

Posted 15 August 2002 - 10:42 AM

Well This time nasikia ilitisha watu walifamiwa na kunyang'anywa kila kitu mpaka funguo za magari na mama kuvuliwa nguo na mtoto kutupiwa mchanga hawaogopi hata mungu vibaka wa hawa jamani wageni ndo mmewanyia passport zao nasikia hela na documents muhimi mambo gani haya eti usalama upo fuck acheni mayowe bado ustaarabu ni issue Bongo mkeshe salama hivyo hivyo na siku zingine na mola wenu awabariki
Peace

#8 Guest_KISIWA_*

  • Guests

Posted 15 August 2002 - 11:52 AM

we odb uo ni usenge unao ongea ,fiesta lazima m,ambo ya namna hio yatokee na kila mtu aliye kuwa anajua,hii sio kama taarabu ikisha kila mtu anaenda kulal,ulaya watu wanakufa nini kuporwa,wewe kiazi nakupa mfano mmoja wakati hapa sio mbali ni kwa mandela tuu
pale cptown watu 12 walikufa
kuhusu kuporana hilo halina mjadala
odb haya mambo unayajua au unarukia
unadhania hii ni tamasha la MASHIBOTA

#9 ODB

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 40 posts

Posted 15 August 2002 - 12:01 PM

Kubabako nadhani mnamejidhihiririshia jinsi mlivyokwisha katika mambo ya entertainment Huwezi kumaliza party saa sita usiku.Mmekuwa watoto najua wewe unatokea uswahilini pamoja na wakurugenzi wako ndo maana mmeamua kuipeleka hiyo Fiesta Temeke Kwa watu wastaarabu walikuwa bills siku hiyo Kama haitoshi mkaweka fiesta part 2 jumatatu mkaifanya bills kubabae zenu nyinyi wezi tu entertainment imewashinda waachieni eastafrican fm pumbavu zenu

#10 Guest_kisiwa_*

  • Guests

Posted 23 August 2002 - 09:08 AM

mzee ODB nazani kuna watu wana kutumia bila ya wewe kujijua
mwakani mambo ya fiesta yatakua vilevile na watu wata kua wa kumwaga tatizo lenu ninyi watoto wa kino mnajifanya mnajua kila kitu
kwa taarifa yako temeke ndio wailaya iliyo kuwa kimpangilio,au hujamsikia profesa tibaijuka
kama wewe hutaki kuja tuliza kipago wacha masela tujirushe
watoto wa mama ninyi,mnataka kwenda na machori kibao wamekuzunguka wewe upo kati,
uswahilini kuna vituko bwanaa............ :evil: :evil: :evil:

#11 ODB

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 40 posts

Posted 23 August 2002 - 10:18 AM

Ha ha ha ! Ama kweli nyani haoni kundule!
Nashangaa leo unaita kino uswazi inamaana unataka Tmeke tuite uzunguni sio au umesahau maisha Temeke mikoroshini au leo hii tuseme P_FUNK ,master jay na BONIE waamue kufunga studio zao unafikiri watoto wa temeke wataenda wapi kino ndo kwa wajanja mshamba we na kino ndo mambo yote minafikiri huko taifa mlikofanyia hiyo fiesta mwakani kwanza hampati watu kwani yaliyotokea mwaka huu nadhani walioenda hawatapenda kuwatokea tena eti temeke watu hatuangalii wingi wa wasanii tunaangalia vichwa viko wapi ?Sio watoto wa temeke wanaotaka rap iwachangie wajiulize wao waichangie nini rap sio kujazana kwa master j wakitaka kurecord bure pumbavu8 zenu! :evil:

#12 Guest__*

  • Guests

Posted 23 August 2002 - 04:35 PM

hawa jamaa inaelekea hawakuwa na nia mbaya na hili tamasha lakini inaonekana hawana uzoefu na mambo haya alafu walafi wa hela kulikuwa hamna umuhimu wowote kuandaa tamasha kubwa hivyo wakati wakijua ulizi kwao hovyo au wanafikiri watu wote wa staarabu kuna wengine wanapenda fujo tu wao ndiyo starehe :?

Quote



#13 ODB

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 40 posts

Posted 23 August 2002 - 05:16 PM

kubabake mi nawaambia kila siku hawa jamaa wezi hamtaki kuamini sasa wabongo jiandaeni kuibiwa tena eti safarii hii wanaandaa cruise party kwenye meli ya MV satorini na kiingilio ni elfu sabini kwa watu wawili na elfu arobaini kwa kichwa kimoja jamani huu si wizi sasa
kubabake minadhani hawajamaa sijui tupambane nao kwa njia gani ndo maana waliunguliwa jengo lao yote laana ya kuibia watu pumbavu sana clouds wote labda muwakamue wadosi shenzi kabisa
wananch click hapa mjionee wenyewe wizi unaokuja mbele
http://www.cloudsfm.com
:evil:

#14 Guest_baby rasta_*

  • Guests

Posted 24 August 2002 - 05:10 PM

Kwa kweli mimi nawasapoti wale wote walio laani tamasha lile eti fiesta kwa kweli hata jina lenyewe haliendani kabisa fiesta sio namna ile walichemsha mwanzoni kwa kuita summer jam sasa ndio wamechemshsa kabisaaaaaaaaaa jamani starehe sio namna hiyo unarudi home huku umepata hasara kibao , vitu vingine tuige huku tukiangalia hasara yake na faida yake haya ebu niambie mpaka msanii tena mwenye jina kubwa bongo katoka kupaform tu pale taifa anaenda zake home wahuni wakanza kumkimbiza katimua mbio umaarufu kauweka pembeni kusema achukue tax hakuweza kila dereva anaogopa kusimama hasa hiyo tutaita starehe kweli? hata next time wakiandaa madude yao watu watakuwa na hamu kweli hebu tukae sisi kama vijana tuuulizane otherwise mambo mengine yatakuja kutupeleka pabaya tufuate mfano mzuri wa east africa fm wakiandaa kitu wanakuwa wamejiimarisha sio kuweka pesa mbeleushirikiano pia unatakiwa kuliko kurisk maisha ya viumbe wasiokuwa hata na hatia kama mtoto yule aliye mwagiwa mchanga maskini alikuwa nakosa gani? tukae tufikirie mambo mengine lakini tamasha lilikuwa zuri kasoro ndio hiyo i wish next time hawata rudia kosa ...piece an luv............[/u]

#15 Guest_Mpula mkilanya_*

  • Guests

Posted 25 August 2002 - 08:50 PM

Yo mambo ya mtandao,maana tunapata mambo mapya kabisa toka ndani ya bongo.ok fiesta endeleza mtandao

#16 Guest_tash_*

  • Guests

Posted 29 August 2002 - 08:06 AM

wewe odb nazani ni mtoto wa kino sio?
point ni kwamba hii forum unatakiwa kutoa mawzo sio unatukana tuu eti hawa wezi sijui nini?
unatakiwa kuueleza nini kifanyike katika kuandaa tamasha kama hili toa mawazo, unajua watoto wa kino mnajiona mnajua kila kitu sawa vichwa si vipo kwenu,watoto wa tmk nazani song zao mwenyewe zinakugusa ,sisi hatuzungumzii siasa bwana tunaongelea maisha halisi yanayo tuzunguka sisi wenyewe wa tmk sawa?
nikuulize mzee unataka hili tamasha life?
toa ushauri kuboresha tamasha hili sawa odb
peace
kisiwa(tash)

#17 ODB

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 40 posts

Posted 04 September 2002 - 09:56 AM

Mzee bila kukosea natokea kino ila upate picha halisi kuhusu kino na temeke kila mmoja ina sifa zake na bila ubishi temeke inasifa ya wahuni wengi
na kino ina sifa ya wastaarabu wengi.
Kama ndo hivyo we unajua kabisa uchochoro fulani kuna wezi hivi kweli we unaweza kupita?
Ndio ilivyokuwa kwa Fiesta watu wanajua sifa halisi ya uwanja wa taifa na maeneo ya temeke kwa ujumla ndo maana watu wengi hawakuudhuria lakini kulikuwa na uwezekano watu wangeongezeka mara tatu ya waliokuwepo siku hiyo kama mngefanyia sehemu nyingine.Mi sielewi vigezo gani vimetumika kuiondoa Leaders wakati mwaka jana watu tulienea kabisa na nafasi ikabaki nyingi tu natu wali enjoy kwani kulikuwa na michezo mingi tofauti na mwaka huu
kulikuwa na michezo ya pool si chini ya kumi kulikuwa na mchezo wa kuruka matope,mashindano ya kula na ya kunywa je mwaka huu yalikuwepo?
sasa ndo kuboresha kwenyewe huku jamani?
hiyo inaonyesha jinsi gani mnadhamini pesa mzee kuliko burudani ya wapenzi.
Halafu mwaka jana msanii akipanda jukwaani alikuwa anaperfom nyimbo mbili hadi tatu wakati mwaka huu msanii napanda na wimbo mmoja tu wala haina raha yaani baada ya hapo hamumuoni tena labda apande na fearturing na msanii mwingine.
Halafu kitu kingine mzee ambacho sikukipenda na muda wa Fiesta kuisha.Burudani haiwezi kuisha saa nne au saa tano usiku hata siku moja ila burudani ndo inaanzaga saa hizo mpaka asubuhi mzee.
Kitu kingine sikupenda siku ambayo tafasha limefanyika.Kama kweli nyinyi ni wazoefu na entertainment hamuwezi kufanya tamasha siku ya jumapili wakati jumatatu watu wanaenda kazini na madenti wanaenda shuleni.siku za kujirusha inaeleweka wazi ijumaaa na jumamosi jumapili watu wanapunzika

#18 Guest_matako_*

  • Guests

Posted 04 September 2002 - 12:11 PM

nyie wasenge mnasema nini? acheni kufikiria mambo ya fiesta hela yenyewe matatizo fikirieni mambo ya maana ndiyo maana hawa wenzetu wanaendelea huku kwasababu wakishatoka kwenye starehee wanasahau kabisa wakiona waliyewyushwa next time hawatokei.Sasa nyie mnamaind nini kama mliliwahiovyo vijisent vyenu isivyohalali next time usiende!

#19 ODB

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 40 posts

Posted 19 September 2002 - 03:18 PM

kumamako matako naona unataka bolo ndo maana unajiita matako nitayatanua kweli hayo matako yanko muulike ambax hapa kasalender mwenyewe itakuwa matako mi nayafira tu kama unahamu ya kufirwa njoo kwenye swahili battle kumamamako

#20 soulrebel

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 6 posts

Posted 20 September 2002 - 02:11 PM

Wazee tukubaliane kwamba Dar kama ilivyo Tanganyika nzima imegawanyika kimatabaka, matabaka ya walionacho na wasionacho! kwahiyo hapa tunapata picha kamili ya kwamba ni wazi maineo ya pembezoni mwa wilaya zote 3 za dar wanaishi watu wa hali ya chini, na hii hali kila kukicha inazidi kuongezeka kutokana na "utandawizi", maeneo hayo temeke ni moja wapo. Na kutokana na mfumo huu wa kibepari unaothamini ubinafsi zaidi, hawa wananchi,wazawa (lakini tunalala hoi) hawana thamani tena kama hapo nyuma. Gepu lililopo kati ya wana oysterbay, masaki, mikocheni na temeke ama manzese ni kubwa.

Sasa kwa mtazamo mwingine kuhusu fiesta ama sehemu zingine zenye kuonewa kimaisha, (hata fiesta ingefanyika manzese kwa mfano) wanaelezea hisia zao kwa wale wanowaona kama "wenye nacho", ile sh elfu 3000 ya kuingilia ndani lakini wao hawana in a way ni kama wanaonyesha au kuuliza "kwanini wewe unahela ya kuingilia mimi sina?, tabaka hili sasa lina "revolt" kwani sauti zao za kukandamizwa na kuonewa kiuchumi na kisiasa hata kijamii kutokana na mifumo inayoleta miundombinu onevu, hazifiki bungeni hata kwenye vyombo vya habari kwa sana, na hakuna anyewasikiliza wanaonekana maskini kwa sababu ya ujinga wao????!!!!sasa kufanya fujo na kupora inakuwa njia ya jupeleka ujumbe, hebu angalia watu wote wale waliobaki nje walivyokuwa na hamu ya kuingia lakini wasiweze, kwa kifupi ni kwamba Fiesta lingefanyika sehemu kama oysterbay au coco fujo zingekua nadra, kwani kule ni kwa wakubwa, kuna security mpaka kwa paka zao (gusa uone cha moto).

(sio kwamba naunga mkono fujo, kama violence itatumika kuketa "meaningfully ends" ntaitumia tuu!!)



ma mcee wa bongo endelezeni Faya'!





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users