MIMI ndio mimi hakuna kama mimi kwenye maswala ya mistari jihadhari
niko kama bahari unaleta za kifahari pasipo kujua uko kwenye safari
unapagawishwa na vimwari nishaka sanawari na ninapotoa haya maneno huwa niko chakari maneno yangu ni matamu kama sukari
NYINYI ni bora nichukue mdaa wangu kuachana kwa marefu na mapana
nyinyi vijana narudia muonekano wenu ni wa kisichana kama nakutukana haya muonekano wa ngeu ni plasta na muonekano wa degree ni rasta
WEWE najua ni mkali kama mwewe lakini bwanamdoga una kiwewe
najua wewe ni mkali na ni mtamu kama asali chukua mdaa wa kusali
nakua na vina mpaka utakosa mdaa wa kupumua na kwenye site nasumbua mnabaki mkiumuka kama vitumbua bitch nyamaza ndo
kwanza nimeanza nakipakaza sio kwenye kipaza mtashudia nikiangaza
nawasaza kama chakula ikibidi nawachukua msukule kulekule kama alivyoeleza mwalimu makule mlemle kama mabula wa wehubula
SOTE turushe kete tujue nani demu leo atalambwa mate kama ni mtoto basi apewe siagi na mkate sshsh twendeni asete asete :evil: :idea:
MIMI NYINYI<WEWE,SOTE
Started by mkurdi-mweusi, Aug 09 2004 06:24 AM
2 replies to this topic
#1
Posted 09 August 2004 - 06:24 AM
#2
Posted 09 August 2004 - 10:57 AM
kimwali bado hukati tamaa..labda tubadilishe dozi kutoka kwenye miraa kwenda kwenye chan'gaa//
kivina we kinda bado unatambaa...unamwaga kinyesi na kuongeza kinyaa//
eti unalialia hawapigi track zako dogo wacha kuumaindi usupastaa//
njoo nikupapase makalio kama shida yako ni chapaaa//
unapretend kama hardcore kumbe ni njaa...stick kwenye mwanasesere wacha kutuhadaa//
unaanzisha thread mpya sababu kuwafesi maemcee fesi to fesi unanyaaa//
usilete msalala..africanhiphop dot com si jalala..unachochea bifu wakati sakala//

#3
Posted 10 August 2004 - 07:50 AM
Knifebutcher said:

kama simba mbarara nakuburuta hadi kwenye barabara we ndo kinara
unaeka kimara pembeni ya bahama nikute kimahama wanavyonitazama
na wengine wana hama sikati tamaa na nina endelea kutamba na keyboard kama milima ya usambara hebu fikiria wewe una rasta mimi na kipara kama balozi diria samahani kwa kupima bwanamdoga bali ni hizi ryme zinakwenda juu mpaka nazikadiria hebu fikiria nilivyowaingilia na topic ya kutopiga track huwo ulikuwa ni mchanga wa macho ile hali niko ni ya michapo na hali wewe upo ni ya mipasho naona unatoka jasho
na bado nitaendelea kuanzisha na mkicheza mtanipisha nafananishwa na kanisa maneno yangu ni kama misa tokea kwenye kisa cha nabii isa mtabaki mkihimiza huku nikiwasikiliza nikiapiza mtajeuka taliza na
mtashindwa tumbuiza nashinikiza wanao kusindikiza
nenda jando kwanza chali umedoda kama maziwa mgando na umezungukwa na utando natupa message kwenye mtandao
huwezi kinga hata kama una ngao napita nao hata wasio na mafao
angalao nyie makalagabao jaribuni kupiga bao msiwe kama wao :evil: :?
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users