Enyi wandugu wenzangu wanahiphop mlio mstari wa mbele ningependa kuchukua fursa hii kutoa hii madaa kwenye hii african hiphop.
tufanyaje ili tuweze kutoa huu mziki wa bongoflava ambao hauna,ujumbe wowote katika hii jamii yetu hasa ya kitanzania wengi wao wana ongelea starehe mfano mzuri ni huyu mtoto wa eastcoast anayejita AY kwa kweli kwa mtazamo wangu sioni kama huyu chali ana maana yeyote katika mziki huu.sikatai mziki wake unafleva lakini hauna maana yeyeyote.hii track yake anayeita nipe nikupe ni upuzi usio na nyuma wala mbele,mezb umepoteza ramani umetoka kwenye r&b umenda kwenye takeu hiyo yote ni tamaa ya hela.hela hailazimishwagi bwana mdogo tulia tuu itakuja tuu yenyewew.ngwea kwa kweli sioni kama wewe pia unamaana yeyeyote wote pamoja na johnmjema.kwa kweli wanatuaribia mziki wetu,enyi wanajeshi wenzangu wa mstari wa mbele nitashukuru kama mtatoa mchango wenu kwenye hii maada ili tujue nini kinachopotosha hawa vijana wanaovamia fani bila kutafakari kwa kina nini waimbe.
pili dj's kwa namna ingine wanachangia sana kupoteza mziki wa hiphop,mfano mzuri ninao venture mimi ni mshikaji wake sana cha kushangaza anayo track zangu lakini anabana ,abubakari sadiki pia wewe unachangia kwa sana kuangusha mziki wa hiphop.uongozi mzima wa cloudsFM unachangia pia mnaendekeza commercial sana bila sababu na huyo mtangazaji wenu vivy anazo track zangu pia anabana naona amesahau kuwa nyumbani ni nyumbani tu namanisha (ATOWN) na wewe B12 jua hilo na ulitilie manani, :evil: :!:
tufanyaje tuishushe bongo flava
Started by mkurdi-mweusi, Aug 06 2004 07:01 AM
2 replies to this topic
#1
Posted 06 August 2004 - 07:01 AM
#2
Posted 06 August 2004 - 07:16 AM
TRUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Bitches are like tornadoes scream when they come,and take everything when they leave
#3
Posted 06 August 2004 - 07:19 AM
nelly Influences man wack emceez, chicken headz and they don know waz up? -:(
Bitches are like tornadoes scream when they come,and take everything when they leave
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













