Jump to content


mkurdi,mweusi;hichi kichwa


1 reply to this topic

#1 mkurdi-mweusi

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 34 posts
  • Locationarusha

Posted 03 August 2004 - 08:01 AM

sikiliza nahau sema nina ugonjwa wa kusahau natema kama baubau
kalakabao napita nao hao ikibidi napita nao
hichi kichwa noma kama gonjwa ngoma
mbona unajitoma nitakupima kama kisima kisicho na kina
ni kama mba inavyowasha kwenye nywele nateleza kama mbelewele
ee we unahitaji uombewe na usomewe na shekh kam ni pesa ningekuwa sheckel,sawa na seremala anavyokunywa maziwa mala ana kwa ana
wewe kijana muonekano wako sawa na msichana sio nakutukana
bali nakuchana kwa marefu na mapana kama ni jina nitkuita ana
kukinuka sharti uwajibike namkumbuka kibike watengwa tunawajibika
na pilika :evil:

#2 Guest__*

  • Guests

Posted 27 August 2005 - 12:30 AM

celebrex - http://www.bestrxpills.com





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users