Jump to content


mkurdi,mweusi nawafukia na kifusi


5 replies to this topic

#1 mkurdi-mweusi

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 34 posts
  • Locationarusha

Posted 24 July 2004 - 07:23 AM

walianza mababu kufanya ustaarabu wakaja watu wa ajabu na visa visivyo na sababu singo moja hewani tabu ukifanya albamu si utakuwa kama 50cent ndani ya klabu.
watengwa tupo ndani ya kushabu na rhyme zinavunjwavunjwa kama kababu na zinawaka hewani kama balbu hebu amua ngamua kwa kuwa umeshagundua kufa ni kupoteza pumzi kwenye pua nalipua kitu kisha na drop zangu suwer karibu suwer uone machizi wanavyoungua :evil: [/b]

#2 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 24 July 2004 - 08:56 AM

Yeah! Mkurdi,mweusi hola at me dawg, my e-mail address is phatboy_record@hotmail.com, naomba contact zako.

Naomba namba yako.



Salaam toka South Africa

#3 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 26 July 2004 - 03:06 PM

mkurdi,mweusi said:

walianza mababu kufanya ustaarabu wakaja watu wa ajabu na visa visivyo na sababu singo moja hewani tabu ukifanya albamu si utakuwa kama 50cent ndani ya klabu.
watengwa tupo ndani ya kushabu na rhyme zinavunjwavunjwa kama kababu na zinawaka hewani kama balbu hebu amua ngamua kwa kuwa umeshagundua kufa ni kupoteza pumzi kwenye pua nalipua kitu kisha na drop zangu suwer karibu suwer uone machizi wanavyoungua :evil: [/b]

kijana unataka bifu sio :D :D :D :D

mkurdi mweusi naona unaleta za kunyanyapaa//
butcha a.k.a nabii sifreestaili sababu ya njaa//
sanaa ndio mimi na mimi ndio sanaa//
nakuacha mitaa ya kati unabun'gaa bung'aa//
sio unaongea mbovu yaani zisizofaa//
wacha kuleta usheli sheli...acapella inatambaa sambamba na ngeli//
famba nyingi..unadunda na stimu za mineli//
naona dogo unajaribu kudandia meli//
mkongwe wa fani nakucheki kwa jinsi unavyofeli//
nashusha dipaji nafungua plani za mauji//
anza kusevu mapema kabla hujafa maji//

#4 quertzal

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 49 posts
  • Locationkimara maskani

Posted 12 February 2005 - 11:28 AM

mkurdi nimeinunua hii battle,kwani juzi tuu nimetoka selo,nimekuja na silaa za maangamizi hata ukiweka kura ya veto,hapa wewe mtoto,ushike gun thubuuutuu yako ni soda ya vimto,karibu kimara maskani tukufunde vichakani,sisi wazee wa nyikani,mjini nikafanye nini nishazoe nyama filigisi maini,matunda kibao mtini,naishi kiasili huku nikiwapa hai vidosho wote mjini,mkurdi inabidi ujufukize udi na huachane na michezo ya maksudi ikiwezekana badilisha na jina uitwe muddy!!!!!!

#5 Mtaa

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 32 posts
  • LocationArusha

Posted 21 August 2006 - 05:23 PM

we ni kuma katinde nyusi
anga zangu mi nakutafuna kama msosi
we mtoto wa kidosi mchumba
mi ni zaidi ya kimbunga chunga
nisije nikakukumba dada yako nilishamuomba
iliyobaki kumtomba angalia nisikuanze kabla yake
mi ndio mfalme wa mtaa jaribu uone balaa.

#6 uhuru

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 27 posts
  • LocationArusha ,Tanzania

Posted 04 September 2006 - 07:45 AM

MKURDI MWEUSI WEWE NI CHOKO
NAKUCHAPA VIBOKO
UNAANDIKA UTOKO
UCPME ZANGU VOKO
UKIZISKIA UTALIA
POTEA USIJE UKAKALIA
niaje j4.





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users