MKAO WA KULA.............. kwa wabongo wote world wide
#41
Posted 24 August 2004 - 06:36 PM
Kama ni mkao wa kula kwa sasa ninanawisha maji tayari kutenga soulfood ya Classic hip hop ya bongo.
Single TAMABIKO iko katika Mixing process still doing in South Africa. Na tayari kutengewa katika fani na kila mmoja wenu apate uonjo.
In a two weeks time TAMBIKO the single will be out for judgement, maoni na hoja zenu zinakaribishwa.
Check out beat preview on http://www.soundclick.com/nyambz(beat1)
#42
Posted 28 September 2004 - 08:32 PM
Tambiko - the single in memory of all fallen soldiers
#43
Posted 29 September 2004 - 02:15 PM
sijaribu kurudisha ubishani mwanzo,ila naona kuna miss-understanding kati ya vichwa...hasa hawa wanaosema kuwa MCZ bongo(ambao sio vichwa) sio kweli, but they trina make a living...DATS BULLSHIT !!! kama alivyosema m.o.b.e waeke MIC chini,wainue masululu wasonge MERERANI....DEM JIGGY DAYZ R OVER!!!!!!
kutaka watu wakupende sio lazima uandike madangi..!! na real hiphop dont ve to be hardcore! its the creativity that matters. MCz hawako kina, hayo hayo madangi wanayoandika, hizo topic wakipewa watu ambao vichwa wangetoka na mambo ya kutisha..!! na jamii ingekubali vilevile!!
Mi nadhani lawama kubwa wapewe washabiki wa hizo Bullshit...! people in Bongo bado hawajui wots real wots not...in the underground-.. hiphop ain no stranger in BOngo but the mass still needs a lota schooling on this deep subject.
Ndio maana watu wanataka kufanya mapinduzi...how we gon do that..?!
kwanza tutaelimisha jamii..mpaka jamii iweze kuchambua viwango vya ma MC kama inavyochambua sera za viongozi wa siasa zetu. in that way the 'll be able to tell .....WHUZ REAL N WHUZ FAKE!!
REVOLUTION COMING....WHICH SIDE YOU ON???!!!!
1
#44
Posted 29 September 2004 - 04:26 PM
MAPINDUZI NI AKILI YAKO ILIYO KICHWANI
SI SUFI ZILIZOTENGENEZWA VIWANDANI
ILI KUTUTEKA AKILI NA KULIA KIVULINI
MWANA ADAM ZINDUKA, UPANDE WA PILI PINDUKA
UNALAMBWA KISOGO, TAKASA MACHO FUTA TONGO
UKUBWA SI UMRI, BALI NI UNAKILI WA UBONGO
KUCHAMBUA UKWELI NA UONGO
VITU VYA THAMANI NI ZAWADI TOKA KWA MANANI
VIMEJIFICHA ARDHINI KUEPUSHA MAMBO FULANI
SASA TUNAVIFUKUA ONA TUKO VITANI, SADAM NA MMAREKANI,
NDUGU NA JIRANI.
TUNALIMA JUANI, WANAFAIDIKA KIVULINI.
HII AKILI? HATUJUI KIPI HAKI HIPI BATILI
UREMBO UMEKUWA DILI, HESHIMA KITENDAWILI
MADADA WANAUZA MIILI, NYUCHI SI SEHEMU ZA SIRI
FUNGA GIDANI, DILI SI DILI, TINGA KANIKI CHINI KANDAMBILI
TUONE KAMA UTAGEUKA TUMBILI,
HUU NI MWANZO USIO NA MWISHO, UKWELI USIO NA VITISHO, HILI NI APISHO NAKULA KIAPO SINTOVUNJA MIIKO AMA KULETA UTANI KATIKA FANI, ILI KURIDHISHA WATU FULANI.
TAMBIKO - THE SINGLE KUMBUKUMBU YA FALLEN SOLDIERS R.I.P
#45
Posted 29 September 2004 - 05:04 PM
im still waiting for that TRAK...shout Out to HEKIMA..
Y'all stay Real...
TAMBIKO-Tribute to the SoulJahz inna SPIRIT...[how that Sound?]
SouLSta!!
#46
Posted 30 September 2004 - 05:45 AM
WE WANNA PUT TZ ON HIP HOP MAP
PEACE
#47
Posted 30 September 2004 - 11:29 AM
#48
Posted 30 September 2004 - 07:17 PM
Tambiko - the single coming out soon.
#49
Posted 04 October 2004 - 12:53 PM
Knifebutcher hola at me dawg. Yo soulsta where u at son.
TAMBIKO - The single in memory of fallen soldiers.
R.I.P ZOMBA NA NIGGER ONE (ADILI)
#50
Posted 04 October 2004 - 01:01 PM
Kuhusu swala la real hip hop kufa bongo nadhani historia imeisha elezwa katika mjadala lakini ningependa kuchangia mtazamo wangu kulingana na mawazo ya humu ndani.
Kwanza ngojea nipinge kuwa wasanii wa bongo wanaingia kwenye fani kwaajili ya ajira... kwani naweza kukutajia majina kadhaa ya wasanii wanaong'ara sasa hivi Bongo na ukiwafuatilia utajua walianzia mbali sana hata kabla ya Bongo flava kuwa inaendeshwa na cd selectors (so called DJs).
tukiangalia upande wa historia tutaona kuwa old school wabongo walijifunza enzi zile Rap bado rap sio money making machine tofauti na wasanii wasasa wanajifunza kutoka kwenye commercial hip hop.
kwa kutumia mtazamo wangu wa hapo juu, labda naweza kutoa mchango wangu wa nini kifanyike ili hadhi ya hip hop ya bong irudi. Bongo hip hop kama muziki wowote unapitia katika hatua mbalimbali za mabadiliko kila unavyozidi kukubalika katika jamii mfano; SKA-REGGA-DANCEHALL.
Haya mabadiliko yanayotokea yanaweza kuubadilisha muziki au kutoa miziki mingine, hivyo basi kulumbana kuhusu Bongo fleva haijengi sana maendeleo ya hip hop. Bali tunachoweza kushukuru ni kwamba milango ya kukubalika kwa huu muziki iko wazi hivyo nijuhudi za wasanii,wapenzi na wadau kusaidia huu muziki kuwa katika hadhi yake.
swali nitufanyaje kusaidia Rap isiishie kuwa mchiriku?
kwanza tuanzie kwenye kubadilishana knowledge na information, mfano humu ndani badala ya kutukanana nani anajua kuliko mwingine...ingesaidia zaidi kurekebishana mawazo kwani hata wale wasio changia humu ndani wataanza kufahamu historia ya Rap ya Bongo kwani ni hadithi na historia muhimu katika jamii ya bongo hip hop.
kwa upande wa wasanii... tunahitaji kuona vichwa kama Hashim AKA Dogo wakianza kutoa more CDs kwani kukaa pembeni na kusema hakuna upinzani au sinamuda hip hop katuni ... haisaidi maendeleo ya hip hop
na pia Udau wa real hip hop.... kwa mfano tunasikia bongo kuna Tanzania idol,postar etc... wote huo ni upuuzi usio reflect ubongo hivyo watu wanaopenda hip hop wanaweza kutoka kwenye mashimo na kuanza kuandaa vitu vya maana.
Naona nalichonga sana ngojea niishie hapo tuone kama tunaweza kupeana mawazo zaidi
#51
Posted 04 October 2004 - 01:26 PM
Mambo yameiva, u can listen to the track - Tambiko on http://www.soundclick.com/muba.
usikie mawe.
Amani na upendo
R.I.P Issa (big poppa)
#52
Posted 16 October 2004 - 06:21 PM
much luv
#53
Posted 18 October 2004 - 07:14 PM
much luv
#54
Posted 21 October 2004 - 05:41 PM
am feelin the track, real hiphop mazee, na hao machizi wa lugha za ajabu sio utani wana hasira ijakuwa sielewi-nuff respect!!
sema mi naona ingekuwa freshi zaidi kama kungekuwa na kionjo katikati kama kilichokua mwishoni....otherwise ...
1 luv
#55
Posted 22 October 2004 - 08:06 AM
http://www.soundclick.com/muba an listen to the track called tambiko.
opinions are welcom.
much luv
#56
Posted 27 October 2004 - 03:41 PM
SOULSTA NA TEE SHIKA KIPAZA KAMA MTUTU
TUPIGE VITA MAMC BUTU.
TAMBIKO check out the track on http://www.soundclick.com/muba
maoni yote yanakaribishwa
#57
Posted 30 October 2004 - 08:19 PM
#58
Posted 09 November 2004 - 07:08 AM
#59
Posted 12 November 2004 - 05:52 PM
hekima! you are da ril' tru'master,need to hear your staff man!
Alcapano vip? mbona kimya?
pkay aka bwege fulani hivi
#60
Posted 13 November 2004 - 09:58 AM
plz visit http://www.soundclick.com/muba sikiliza track inayoitwa tambiko.
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













