Jump to content


MKAO WA KULA.............. kwa wabongo wote world wide


80 replies to this topic

#21 soulsta

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 20 posts

Posted 22 July 2004 - 06:22 AM

Yo!..Props to TEE for the Bongo insights...
its motivating to people recognizing the difference betweet THE REAL HIPHOP and the BULLSHIT poppin' all over the Bongo radios&Websites
nowadays...The Problem wit bongo right now...they think they've made it
But the truth is...Most of these kids are SLAVES OF MEDIA OWNERS...
MEDIA HAVE KILLED HIPHOP!!!....dj's got Blood in their hands too..

Sijui kama wezangu mnajua kuhusu...hii habari
Siku Hizi Bongo kuna MUUNGANO WA MADEEJAYs[radio] from different radio stations....Ambao wanaCONTROL THE RIGHTs TO AIRPLAYs of All
artists Songs....
FOR any artist to get airplay on THEIR RADIOs...You have to PAY this
MUUNGANO WA MADEEJAY....ONE MILLION Tsh. Up Front...the 100,000
Every few week to keep ya song ON THEIR RADIOs...

ON TOP of that...these BONGOFLAVA kids..are soo Brainwashed by these
FAKE PROMOTERs[who knows nothing about talent]
Now these kidz really think they are Doing HIPHOP...
So everytime they see REAL HIPHOP trying to COME BACK
they start HATING...cos they FEAR to loose the Attention they got from
THEIR SLAVE MASTERS[radio,promoters,tvs.etc]

So they'll do whatever they can to DISCREDIT any TRU HIPHOP HEAD
...their Best line of them all is..."THE GAME HAVE CHANGED SO MUCH NOWADAYS"....they even do it on this Website...
They Dont wanna ELEVATE THEIR MINDs...
They GLORIFY ...the fact that BONGO ARTIST who are in abroad FAIL TO GET AIRPLAY..."They claim that..They CANT RELATE wit them..

So my BIG Question is...HOW COME THEY RELATED WITH "SEAN PAUL"
a jamaican DanceHall...who speaks Patios ALLDAY!!!
PLAY BOB MARLEY AT BILLICANAS and see HOW MANY LIPS RELATE...

WE RELATE to KOFFI OLOMIDE MUSIC...But not MBONGO???
just cos i chose to be INTELLECTUAL doesnt make me an OUTKAST to
BONGO EARs....LETS GET REAL...since when Going to school is BAD??

so if i became a COMPUTER SCIENCE ENGINEER...does that make me
LESS TANZANIAN????....BUT IM A TRUE HIPHOP ENGINEER...
So are yu gonna REFUSE to RELATE wit me OR let me TEACH ya kidz
about HOW to handle the FUTURE...[think b4 u HATE]...
I HOPE ITS NOT REAL LATE 4 U to RELATE...[thats when yu really hate]

IM SICK AND TIRED OF THESE LAME EXCUSES...from these BONGO emcees and Producers...With that ATTITUDE they'll never reach the NEXT
LEVEL...TRUST me...
watch what AMBASSADOS from GHANA are doing...Yu think they dont
have their OWN LANGUEGE....Yu think they dont have Poor people in their
country....But these Guys are REACHING for that NEXT LEVEL
They are doing shows with people like DEAD PREZ,FLOETRY...alot of Philly Bands...BUT They just stay strickly real Hiphop...
LONG STORY SHORT...BONGO NEEDS A SERIUOS REVOLUTION!!!
So M.o.B.e Dont think its gonna be EAZY....THEY HATE THE TRUTH!!!
Y'ALL STAY REAL....SOULSTA!!
HOLLABLACK!!

#22 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 22 July 2004 - 11:03 AM

Yo! I do agree with SOULSTA, U got point dawg, I know ain't easy but someone got do it, if they wanna be monkeys lets be gorillas, thats it. But Ya' all should know that, everything done in dark at the end will come to light. Let them have different kind of MUUNGANO fuck it we still goin do it, lets not lose hope with this stupid fake hip hop cats, whom they think holding mic and spit garbage is hip hop. They real need Knowldge otherwise they will die broke-knowledge, with they fuckin bubble gum type of so called hip hop. MOVEMENT is forward not backward, lets do this we will take them one on one and lets them know what is going on. May be we need a lot of Reall hip hop concerts often, obvious air play needed, but every real hip hop cats should play his part.

TAMBIKO.......... check out beat preview on http://www.soundclick.com/nyambz(beat1) maoni yako yanakaribishwa.


HARAMBEEE, TUSONGEEE LETS PUL IT TOGETHER.

#23 foshizo

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 18 posts

Posted 25 July 2004 - 09:49 PM

yo kwanza nataka kuwa wazi Wewe M.O.B.E maneno mengi nime angalia hii page leo, nime ona toka mwaka jana unasema una kuja na
na track lakini hakuna lolote usilete propaganda, be siriouse, usiongee
wakati unafanya project na una uhakika wa kuifanikisha.

Nime ona mna mawazo mazuli sana ya kusimamisha really hip-hop ya
bongo. na kuondoa upuuzi uliopo bongo, watoto wanapotea na bongo
flavour.
lakini siwalaumu kwa kuwa wapo kazini na lazima uuze kitu kinacho nunulika uta kuwa kichaa ukiwa unauza kitu ambacho watu hawa
nunui ni kama ukauze maziwa pabu au muhogo wa kuchoma off-time katika mechi ya mpila. kwa hiyo sio kwamba watoto sio vichwa ila kuna mizizi ya kutolewa kama kuna mtu kaongea kuhusu redio Djz na clouds kwa ujumla hao ndio wameshika Air time inayo uza. mwimbo ukipigwa clouds ndio watu wengi wata upenda kwa kuwa utapigwa kila mara ata kama ume imba ana ana do. si unajua wabongo kwa kasumba na kufuata mkumbo.
sasa kama tunataka mapinduzi ina bidi watokee watu waji tolee wasimame wawe vichwa wasijali kuuza na wasiogope nyimbo zao kutopigwa na clouds wauelimishe umma. kama mfaano AFANDE SELA NA
NA MR 2.


#24 soulsta

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 20 posts

Posted 26 July 2004 - 05:06 AM

Wee FOSHIZO...Stop acting like a Bitch onna PERIOD!!
kama huna Knowledge ya kuchangia jus SHUT DA FUK UP!...this is not a place for Half Ass Minded wannabees...
Yu dont make any sense...NOBODY SAID NOTHING ABOUT SELLs..
and if that is the case...MADINI yana soko kuliko bidhaa kibao..MBONA
SIONI HAO WATOTO wakienda MIRERANI...
Yu the type to support UMALAYA...jus cos WATOTO WATAPATA PESA!!!
This is HIPHOP...And yu dont seem to Understsnd WHAT IT IS...
SHUT UP....LISTEN..AND LEARN!!!

#25 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 26 July 2004 - 10:24 AM

Hapa masela sio kama tunabaniana au vipi lazima tufesi hali halisi.Mimi ni mpenzi mkubwa wa hiphop na nakubaliana na nyie kwamba hiphop bongo inakufa.Lakini sio kwamba vijana wanaoimba bongo flava hawalielewi hilo wanalielewa.Ukianglia wengi wao walianza kipindi kile ambapo kulikuwepo na real hiphop bongo lakini faida za kiuchumi hazikuwepo.Hata hao ambao wanajifanya wako real kwnye game ni balaguza tu lakni wote wanatamani waende kwenye commercial kutokana na ugumu wa maisha.Kwa hiyo tusiwalalumu sana vijana sababu wanatafuta pesa ya kula.Ukiangalia bongo kama utaimba rea hiphop watakaonunua kazi yako ni watu wachache sana lakini ukienda kwenye hii clone bongo flava watakaonunua kazi yako ni wengi sababu kwa jinsi hii bongo flava ilivyo inagusa kila angle ya jamii kuanzia watoto,vijana mpaka wazee.Kwa hiyo si kosa lavijana waliuopop kwenye industry sasa hivi balli ni katika jitihada za kujikwamua kimaisha.

#26 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 26 July 2004 - 12:11 PM

FIRST COMES FIRST, Foshizo unaonekana kama ni wale type of cats wanaopenda kurukia mambo bila ya kuelewa mwanzo wa jambo, pili uwezi kufahamu hip hop classic ya bongo, sababu by that time u weren't there, sababu kipindi hicho puff daddy hajaanza hip hop yake. Kwa hiyo sikulaumu, unapenda saana mambo ya malumbano ambayo uelewi mwanzo wake. Usifikiri kuandika mistari ya utumbo katika forum na kijiita majina yenu eti FOSHIZO ndiyo hip hop, inaonyesha jinsi gani ya kwamba unatakiwa kupata mafunzo ya fani. Na kuhusu swala la sales naungana mkono na soulsta, kwa nini wewe usijiuze nafikiri mamwinyi wengi wangekimbilia kwako sababu ni kijana mwenye bikra. Si nia yangu matusi lakini naona ya kwamba kemeo kwa wote warukiao mambo.

Na kuhusu mimi kuwa na story ya kuhusu kurelease, album yetu iko in stores as we speak ni ya group na video iko tayari ni bado kurushwa katika TV Stations za bongo. Na hii project ninayoongelea ni solo project.

I don't know what are u talking about me having same story since last year.

Lakini si kosa lako ni lack of knowledge.


HIP HOP SI VIDANI SHINGONI, AU KUSIKIKA SANA RADIONI
KAMA NI MAUZO NI BORA KACHIMBE MADINI MARERANI
AU UZA NDOGO MITAANI
KAMA AUNA KNOWLEDGE, LALA KIFUDIFUDI KITANDANI
UFUNDWE MWALI, NA USIKIE MAUMIVU UENDAPO MSALANI.

NENDA UANI KACHEZE MDAKO, NA DADA ZAKO
JESHI LA UKOMBOZI LINAGONGA MSUMARI WA MWISHO KATIKA JENEZA LAKO.
MTABANA, HIPO SIKU MTAACHIA, MEDIA TUTAVAMIA
MATEKA TUTARUKIA, KAMBA YA KATANI TUTAFUNGIA
TUTAVISHA SANDA, MARASHI TUTAMWAGIA

HUU NI KWELI USIO NA VITISHO
KILIO KISICHO NA HITIMISHO
HILI NI APISHO,
NAKULA KIAPO, SITALETA UTANI KTK FANI
HILI KURIDHISHA WATU FULANI.


M.O.B.E HAS SPOKEN.

visit http://www.soundclick.com/nyambz(beat1) kwa sound preview. MAONI YANAKARIBISHWA.

#27 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 26 July 2004 - 03:23 PM

i'm from listenin to ya beats dawg mazee umeua balaa..Hizo biti hapo ukipata kichwa kilichotulia kwnye metaphorz na rymin mazee mbona watu wote watatoa respect.Big up kichizi.

#28 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 26 July 2004 - 06:08 PM

KNIFEBUTCHER, much respect dawg, thanks for ur opinion. U seem good in analysing the realness from fakeness.

Much love dawg, appreciate that.


TAMBIKO - The single in memory of ZOMBA, NIGGER ONE and all the hip hop fallen soldiers.

visit http://www.soundclick.com/nyambz(beat1) and let me know what do u think of the beat.

Amani na upendo

#29 foshizo

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 18 posts

Posted 26 July 2004 - 09:51 PM


yo, thanx for your respond, lakini sikuwa na maana nataka beef ila yalikuwa mawazo yangu lakini you young pussy mmekuja vibaya
and you dont know ho you mess wit,. anny way wewe soulsta slow
your temper unakuwa kama mwanamke, I been in this game for
years since Young millionaire use to roc the mic. sasa ukisema kuhusu
muda unachekesha. kwanza wewe unajua hip-hop ni nini au unazani
kuimba matusi ndio hip-hop, kama mtu una akili huwezi kuongea kama
maraya, mimi nime sema kwamba watoto wana enda commecial kwa
kuwa ndio inalipa bongo. na watoto wapo kazini wanatafuta pesa huwezi
kuwalaumu embu niambie wewe kitu gani umefanya kutetea hip-hop
au unaongea tu.. alafu wewe M.O.B.E you sound like mpambe na wala sio
Mc kuna vichwa vya hip-hop mimi nime rise kama SAIGON, SOSY B.
MR TU, DIKA ShAP. NA wengine wengi kwa hiyo ukiongea kuhusu
luck of knowlage unachekesha.


#30 soulsta

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 20 posts

Posted 27 July 2004 - 05:06 AM

WEE FOSHIZO FALA KWELI!!!
Yaani Huna hata Aibu kuwaFAGILIA watu ambao SIO MAMCEE KABISA..
Young MILLIONARE....DIKA SHARP!!!
LUSUNGU used to copy songs and throw his name in..HE FOOLED YU
DIKA SHARP couldnt even make up a sentence...More of a dancer than a Rapper....WHEN HE SEEs ME HE RUNs AWAY!!
The Only emcees yu mentioned..
SAIGON and MR.2 a.k.a SUGU...i've known them since their FIRST EFFORT...AND i RESPECK Their WORKs..THEY RESPEK ME TIll THIS POINT[cos they are HipHop]
they are not Doing it to get MONEY...NOOO!!!
i know these two People...
ULIFIKIRI UKITAJA MAJINA WA WATU ndio TUTAKUONA KICHWA???
WEE MBWIGA KWELI!!
I knew Young Millionare WAAY b4 his SKIPPIN School DAYs
WAAY B4 his first job...HE would even TRY to Battle wit me..
So STOOP ACTING LIKE YU KNOW...
NA KAMA BEEF HUWEZI....Yu DOONT KNOW ME!!!

M.O.B.E keep them BEAT coming...THEM TWO yu play..SOO FIRE
i gatta spit on Those...I dont think they READY!
Shout out to PHATFAMILY crew...

#31 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 27 July 2004 - 07:35 AM

Fo- what? bitch please u don't know me, don't try to shine on ma' shine. U talkin bout DIKA SHARP, Mcheza show aliyeugua kichaa? u crazy punk ass. Nafikiri kama hauna la kusema shut ur stinky mouth. Kila topic unarukia instead of tryin to come up with constructive ideas like the rest of em cats in site, u jus jumpin in things like KIGOLI mwenye nyege.

I think its about time to ignore this punk ass, anajaribu kutafuta umarufu kupitia mgongo wa watu.

Yo! soulsta and the rest of heads lets keep on doing it and push the wheel to the max and forget all this bullshit going on.

SOULSTA them beats are done and ready for production, still I got some more I will send to u.

WAZO LA LEO: TUFANYE NINI TUIRUDISHE FANI KAMA ENZI ZA ZAMANI.

visit http://www.soundclick.com/nyambz(beat1) Maoni yanakaribishwa.

TAMBIKO - Single in memory of ZOMBA,NIGGER ONE and all hip hop fallen soldiers, may their soul rest in peace.

STRUGGLE CONTINUES - HARAMBEE LETS PULL IT TOGETHER

#32 foshizo

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 18 posts

Posted 27 July 2004 - 09:45 PM

Nyie watoto wawili nime sha wajua wasemge hamna hip-hop yeyote
you just trying to act. your followerz hakuna kichwa hapo.
kwanza kama nyie kweli ni watu wa hip-hop hamjui ili ingiaje bongo au
mna taka kusema ili kuwepo. let me take you bucking the dayz. Mc'z wote
vichwa ambao ndio walio weka hip-hop on map bongo walikuwa wanagiza
hakuna mtu aliyekuwa na mistari yake mwenyewe. mfano K.B.C, NIGGA 1, wote walikuwa wana giza from songs done . kama mna kumbuka kwenye party ilifanyika town K.B.C aligiza mwimbo wa O.P.P sasa mtasema K.B.C siyo kichwa nyi kuma tu amna history ya hip-hop. mna taka kuleta politics hamjui kitu wewe unasema young millionair he was not
Mc una kumbuka alikuwa 2nd Mc wakati K.B.C alikuwa wa kumi kwenye
mashindano lang'at a na dickasharp alikuwa wakwanza kwa mwimbo alio
andiaka mwenyewe una usu uchaguzi. ni Mc peke yake aliyo imba kiswahili lang'ata siku ile. annyway nyie ni wanna be Mc'z amna lolote



#33 soulsta

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 20 posts

Posted 28 July 2004 - 04:36 AM

SHUT UP..FO-SHIT HEAD -HO!!!!
USITAKE KUDANGAMYA WATU...
YU MUST BE THE DUMBESS MOTHERFUCKER ON THIS SITE!!
THINKING dika sharp WAS AN EMCEE...THEN YU DONT KNOW HIPHOP

THE TRUTH IS....
YOUNG MILLIONARE WAS JUS A DEEJAY...
and he NEVER PARTICIPATED ON ANY RAP COMPITITIONS in LANG'ATA

DIKA SHARP ALIPEWA USHINDI COS THE PROMOTER OF DA SHOW USED
TO FUK DIKA'S SISTER..[look what u made me dO]
...GO ASK "KIM AND THE BOYZ"

KBC remixed O.P.P.....HE JUST USED THE HOOK..
"yu down wit KBC?"
THE SAME WAY JAY-Z used A TRIBE CALLED QUEST CHORUS
"can i kick it?....yes yu Can!!
LISTEN TO THE TWO VERSEs BETWEEN THE CHORUS...
KBC was sOO ahead OF DA GAME...
JUST COS SOMEONE IS SCEAMING CCM DOES NOT MAKE HIM HIPHOP

IF YU ARE REALLY KICHWA...HOW DO YU BELIEVE THOSE JUDGES WHO
KNEW NOTHING ABOUT HIPHOP???

THOSE JUDGES USED TO TREAT RAP LIKE A DANCE COMPITITION..

GO BACK AND DOUBLE CHECK YOUR FAKE STORIES!!...

#34 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 28 July 2004 - 10:01 AM

I think its about time now to get rid of so called VICHWA. fOSHIZO Kama kuna mtu yeyote katika forum hii atakuwa anasoma upuuzi wako, nafikiri unajihadhirisha bure. First of all if u talk shit on NIGGER ONE (R.IP.), KBC or any members of KU crew or any Mc who been holding it down back then, u must be fuckin dumm. Those were the days bitch!!! why don't u understand? Hii topic ni ya Vichwa with dicks, not bitches like u. Ndiyo maana hauna point yeyote, unataka kupata jina kwa kupitia mgongo wa watu. Ni sawa na Nelly kuleta beef na KRS


Vichwa tusongeni lets bring back em good days.

visit http://www.soundclick.com/nyambz(beat1) maoni yako yanakaribishwa.

TAMBIKO - Single coming out soon

#35 foshizo

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 18 posts

Posted 28 July 2004 - 11:32 AM

[b]Nyie watoto wasenge kweli, we you called yourself SOULSTA fara kwanza you dont have anny clue about those dayz. young millionair
I use to study with him @kinondoni sec school,pamoja K.B.C backing
the dayz. unasema hajawai kushiriki mashindano ya hip-hop Fuck your
mama;z pussy. alishindana mwaka 99' na alikuwa wa pili wa kwanza
alikuwa con francis na watatu alikuwa Edo Flsh XE upo kuma. I never
write uongo you dick rider.
nyinyi sio watu wa hip-hop ni wanawake tu hakuna vichwa sasa mimi nina
taka kufanya mabadiliko bongo nilizani watu fulani wa maana mngeweza
kuunga mkono tukafanya project kumbe kuma tu mna subiliwa kutombwa
nina camp ya vichwa vya maana na wapo studio wanafanya production nje na ndani ya bongo, that iz movement kuna vichwa vya maana kama
hekima, saigon, wapo studio na saiggon kasha release two track he iz
keeping really. kwa hiyo acheni marumbano hatujengi ila tuna bomoa.thats my worlds. Iam out ONE!

#36 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 28 July 2004 - 11:45 AM

oyaa nyie hapo juu tulieni mbona mnakuwa mnaleta fujo how com.Anayependa bifu anifuate kwnye battle rymes nimnyonge :D :D :D

#37 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 29 July 2004 - 08:56 AM

Unfortunately, u ain't got no clue who u fuckin wit. At the end of the day truth will prevail. U gonna hide ur stink ass after some days.

Forward is the movement.


TAMBIKO - THE SINGLE COMIN OUT SOO
in memory of ZOMBA, NIGGER One and all fallen soldiers world wide (REST IN PEACE HOMMIES)

Visit http://www.soundclick.com/nyambz(beat1) maoni yanakaribishwa

#38 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 30 July 2004 - 03:06 PM

Still need any constructive critics on the beat.

Maoni yanakaribishwa visit:www.soundclick.com/nyambz(beat1)


Amani na upendo

#39 foshizo

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 18 posts

Posted 17 August 2004 - 09:50 PM

m.o.be yo man we tired with your single man, wewe kila siku issue ile ile
man what do you represent, nigga what wrong wit u?
move on try to some thing else productive sio kila siku story hiyo hiyo Fuck u? stink as' nigga Dick rider

#40 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 18 August 2004 - 06:48 AM

yo! foshizo, am too inteligent to front ya', u always start arguement so u can shine on ma' shine. I don't do internet mcs, if we could one on one the world would c.

TAMBIKO - The single coming out.

check out the preview on http://www.soundclick.com/nyambz(beat1)


Harambee lets pul it together





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users