Jump to content


MKAO WA KULA.............. kwa wabongo wote world wide


80 replies to this topic

#1 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 13 July 2004 - 09:02 AM

Wote mutakumbuka the mastermind of the fam (phat boy records) M.O.B.E, the Producer cum Dj cum lyricist cum Entreprenuer (c.e.o) yuko lab kwa sasa anatayarisha msosi wa maana kwa wabongo wote. Anakuja na single inayoitwa "TAMBIKO" kivingine na anajaribu kurudisha hali ya hip hop ya bongo ya zamani, na punch line pamoja na mistari ya kinabii. Tega sikio na fumbua macho, kwani mambo yamekuwa mambo, na tegemea collaboration na mamcs wa kitambo kile, unakumbuka?????? ambao kwa sasa wanaishi nje ya nchi. Single inapikwa katika miji miwili Pretoria na Johannesburg na maproducer watatu tofauti, akiwemo the mastermind himself M.O.B.E.

u CAN Listen the beat preview on phatboy_record@hotmail.com

Amani na Upendo

#2 Gus

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 22 posts

Posted 13 July 2004 - 12:06 PM

Nyce beat,,nasubiri mawe,,
H.E.R.O

#3 Juma4

    African Hip Hop Admin

  • Administrators
  • 1,015 posts
  • LocationAmsterdam

Posted 13 July 2004 - 01:06 PM

Hey MOBE kuna jamaa anakutafuta, sijui umeangalia forum hivi karibuni, kama sio jaribu kumtafuta kwenye search kwa kujaza jina lako kwenye search box alikuwa anamtafuta Mubarak Simba.

#4 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 13 July 2004 - 02:41 PM

Ahsante Gus kwa props, yo! J4 ni nani anayenitafuta? naomba jus refer him to this forum so that we can talk. Mawe yanakuja Gus usikonde. Kaa tayari kwa mkao wa kula.

Amani na upendo

#5 Juma4

    African Hip Hop Admin

  • Administrators
  • 1,015 posts
  • LocationAmsterdam

Posted 13 July 2004 - 02:49 PM

Check him out in this topic:

http://www.africanhi...ghlight=mubarak

#6 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 13 July 2004 - 02:51 PM

aHSANTE SAAAANA J4 nimepata e-mail ya mshikaji aliyekuwa ananitafuta, na nimeshamuandikia, nasubiri majibu yake.

Amani na upendo.

Don't forget kutega sikio na kufunua upeo wa macho yako kwa project inayokuja, but obvious u will be the first person to receive the copy.


"TAMBIKO" IN MEMORY OF ZOMBA, NIGGER ONE AND ALL REAL HIP HOP VICHWA WORLD WIDE

#7 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 14 July 2004 - 01:31 PM

Any feedbacks apart from GUS are welcome. J4 unaisikiaje hiyo beat? mbona ujatoa comments zozote. vichwa mupo au mumeamua kuzimika tu. Tusongeni pamoja turudishe hali ya hip hop yetu ya zamani.


Amani na upendo

#8 Juma4

    African Hip Hop Admin

  • Administrators
  • 1,015 posts
  • LocationAmsterdam

Posted 14 July 2004 - 01:38 PM

Poa, sikuwa na muda bado wa kusikiliza track... hapa kazini hatuwezi kusikiliza audio kwa sana lakini home pale Africanhiphop studio ntaicheki.

#9 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 14 July 2004 - 06:15 PM

Poa bwana J4, nitashukuru kupata mchango wako, kuhusiana na track hiyo.

Amani na upendo

#10 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 15 July 2004 - 09:58 AM

Nyie masela wayeyushaji kinoma.Tumewapa contact zetu mpaka leo cd hazijaonekana au ndio mmeambukizwa vitabia vya wanaigeria wa hapo hillbrow.Unajua itahitajika kazi ya ziada ili muweze kukubalika bongo.Kupenya market ya bongo inabidi uwepo mazingira ya bongo ili uweze kuanalyse industry inakwendaje.

#11 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 15 July 2004 - 11:33 AM

Nice one Knifebutcher, Ahsante saaaana kwa mchango wako. Uelewe jambo moja, kuwa mazingira ya bongo si maana ya kuwa na upeo wa kuanalyse industry, unaweza kuwa Bongo na usiwe na IQ ya kuanalyse. Dunia kwa sasa ni kama kijiji kimoja, especial after Internet revolution. Na kila mc anao mchango wake katika fani, na story to tell, kama mamc wa bongo wana story za bongo, nasi tunastory to tell to all our peeps back home what we have been through outside of our beloved country (TANZANIA). Its all about KNOWING who u are na kuwa real katika mashairi yako. Na kuhusu cd unazosema kwani wewe ni nani? na contacts zako ni zipi mbona the rest of the people got their cds?

Amani na upendo

Ahsante saana kwa mchango wako, we real appreciate.

Je umesikia beat, na maoni yako ni yapi? visit http://www.soundclick.com/nyambz(beat1)

Subiri mawe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1

#12 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 16 July 2004 - 10:00 AM

Mzee nilikupa contact zangu kupitia DHB.adderss ilikuwa ya pietermaritzburg South Africa.Kuna wakati nilikutumia pm ukasema kwamba umeshatuma lakini ngoma sikuiona tena.

#13 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 16 July 2004 - 02:22 PM

Mr. Knifebutcher, labda tatizo lilikuwa la postal address ulioitoa na sisi labda tuka changanya. Unaijua e-mail address yangu kwa hiyo nitumie tena address yako, we will take it from there.

Je umesikiliza beat ktk http://www.soundclick.com/nyambz(beat1)? naomba maoni yako.

Amani na upendo.



Mvua ya mawe............

#14 soulsta

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 20 posts

Posted 18 July 2004 - 05:21 AM

Yo! MOBE...mambo vipi jibaba..
eebwna nimecheki ya soundclip site...the beats are maad nice
With betas like those ..we can Plant the seeds of CLASSIC BONGO HIPHOP..back like it used to be...cos that BongoFlava Bullshit is getting too
Corny Nowadays...Nothing is real anymore...wack beats Galore..
But there still is REAL HIPHOP HEADz waiting for the TRUTH to immerge
Again...like KRS said...ONLY A FEW CAN UNDERSTAND THIS SCIENCE...
Holla back..KBC.

#15 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 18 July 2004 - 07:52 AM

yO! Soulsta thanx for the props dawg, thats what man got to do. Any way are u KU MEMBER? coz i am trying to get hold of old skool cat to collabo with, stil lots of beats in my lab, at the moment. Still talking to old skool cat Tuffjam(remember HARD BLASTERS) to drop SOME lines in there. If ur the one hola at me dawg phatboy_record@hotmail.com

Amani na upendo.


in memory of ZOMBA, NIGER ONE and all hip hop fallen solders.

#16 soulsta

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 20 posts

Posted 20 July 2004 - 05:30 AM

Yo!..M.o.be hata huyyo TUFFJAM...mimi ndio Mshikaji kichizzi..
he got crazy beatz too...But its about time HE SPITS again...after how many years FIFTEEN??...Sasa ngoja nikucheki kwenye e-mail Yako..
HollaBlack..
SOULSTA..

#17 Tee

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 2 posts

Posted 20 July 2004 - 07:44 AM

Yo! peeps, ndio nimejiunga mazee...
Am happy watu mnarudi kwakweli, huku vijana wanatoka kwenye mstari..vijana wanajiuza kwa kweli, real hiphop inapotea jamani okoeni vijana wenu wa bongo! inaniuma kweli kweli brothaz, u gotta get it down here fast guys...


HIPHOP HEADS HIGH!

#18 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 20 July 2004 - 09:14 AM

Yo! ni kweli ya kwamba, kila lifanywalo gizani, utokea mwangani. I think its about time vichwa kufanya kweli, Fani iko msalabani U know what is going to happen? Itavishwa sanda na kuzikwa kabisa. Tufanyeni mamboz.

SOULSTA NA TEE SHIKA KIPAZA KAMA MTUTU
TUPIGE VITA MAMC BUTU.

TAMBIKO check out the beat preview on http://www.soundclick.com/nyambz(beat1) maoni yote yanakaribishwa.

#19 Tee

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 2 posts

Posted 20 July 2004 - 02:51 PM

Last Saturday kulikuwa na Fiesta hapa dar!
All em wack mcees walikutana na Booooo nyingi from audience! ws suprised kumbe watu bado wanaifeel real hiphop, all is needd is vichwa virudi uwanjani, watu wanasubiri hawana cha kusikiliza inabidi wabaki na upuuzi wa rap ambazo hazieleweki!

All the crews ambazo ziliikamua Hiphop walishangiliwa sana hasa hasa Pfunk, Juma nature na crew yake inaitwa "WANAUME" na dogo mmoja anakuja juu sana anaitwa Ngwair, kuna watu kama Mchizi Mox na jamaa fulani wanaitwa Mandojo na Domokaya, hawa nao wako kwenye hiphop soul! lakini wengine walikuwa na kelele tu...

Get the project down here guys, Soulsta, m.o.b.e we need hihop huku jamani, i have heard Mr II anaorganize hiphop summit, i will make sure namtafuta nimsaidie kuwachuja wasanii wanajiuza kwa ajili ya hela! huwezi kuimba utumbo mradi unapigwa club basi ndio utoe album ujiingize kwenye watu wanaoimba hiphop...time to filter all the wack mcees!

One!

#20 m.o.b.e

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 20 July 2004 - 05:32 PM

yO! Tee ahsante sana for letting know what is going on in Bongo's Industry. Vichwa vya kweli vipo vingi tu, ila jambo moja linalosumbua ni promoters ambao wanakamata watoto wasiojua nini maana ya usanii na kutumiwa kwa manufaa ya watu. Nakumbuka kitambo kile kama unataka groups like KU, WEUSI WAGUMU ASILIA n.k kuperform u have to dig ur pockets as well as u should break down u will be sponsoring and all that, but now days, some one might wake up with don't know how type of thing and want to promote concert. Kwa hiyo unakuta vijana wengi they jus jumpin in the band wagon without knowing what do they put themselves on is UTUMWA WA KIAKILI. Tusilaumu saana vichwa vya leo, kama Mr. II atakuwa na mpango wa kufanya hivyo much props dawg do it for the sake of Hip Hop as well as our lost youth, who think to be a raper is to be hip hop, jus two different thing.

Huu ndiyo mchango wangu wa leo.

Tusongeni vichwa.

MKAO WA KULA-
TRACK: TAMBIKO
ARTIST: M.O.B.E feat. Various artists (surprise)
PURPOSES: UFUFUZI WA BONGO CLASSIC HIP HOP

VISIT http://www.soundclick.com/nyambz(beat1) maoni yako yanakaribishwa kuhusiana na hiyo beat.

Amani na upendo

R.I.P ZOMBA, NIGGER ONE AND ALL FALLEN HIP HOP SOLDIER WORLDWIDE





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users