ayo checki wazeeya...
miu freestyle sare, lakini nikikutana na wezi na mapaki wana sema sare..
juu miwawacha wackichomeka kama mwaki..bila haki..kama unandom na nare siwezi baki..
washa moto..wazi!..nina-taki..ningekuwa blunt basi.. spark me..nina keys mob(ki) kushinda ki-baki...
bila haki.. mi ndo mwenyewe..yenyewe.. wacha nichore picha ndio uelewe..
inabiddi nilenge ungoso ni spit na swahele..rellyi get *selly* ka simu ya mob-ile-...
so unajuwa nina ma line mob kama network ya kile...(Kileleshwa)
vile na get work.. unaweza thani mi nimcolombo..sonco..mwafrika na do mpaka na kunywa cristal nikidance ndombolo..solo..
phuk it..I'll go on later
MIU FREESTYLE SARE!!!
Started by D-LINKWENT, Oct 18 2008 07:11 PM
No replies to this topic
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users












