Hapa nilipo nasikiliza track ya Sos B & Black Houndz... feat. Hashim... tunaongelea mwaka 1996 kabla neno la Bongoflava halijatamkwa.
Balozi Dola Soul na mimi dj Jumanne tumefunguwa archive zilizojaa kaset na minidisk za enzi hizo... 1992 mpaka 2000.
Track nyingi zimepatikana lakini bado tunatafuta recording nyingine kama vile... Cheza Mbali na Kasheshe (GWM) original mix (sio ya albam iliyotoka mwaka 1999 hivi)
Pia live recording za Yo Rap Bonanza; nani anakumbuka 'Machek bob kenge'?? Ukiwa na tape compilation za enzi zile... tuwasiliane!
Tukishamaliza ku convert (digitize) mtaweza kupata collection zetu kwenye special show za African hip hop radio.
TZ hip hop 1990s
Started by Juma4, Sep 12 2008 01:18 PM
1 reply to this topic
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users












