Jump to content


wazo la msingi kwa j4


4 replies to this topic

#1 Guest_the ambax_*

  • Guests

Posted 08 June 2004 - 05:22 PM

e bana j4 nimegundua kuwa kuna lots of talents kwenye hii forum ambazo hazitaki kwenda studio au zimeshindwa kwa sababu mbalilmbali...

sasa mimi nafikiri itakuwa vyema ukiandaa sehemu ambayo masela wote wa hii site wakakutana na kutoa free styles huku beat ikiwa on na ikiwezekena kufanya local record just for fun.

some thing which can be of business interest as well .....sehemu yoyote ile lakini vinywaji tunajinunulia.au we unaonaje ...i know u can do it cause nakufahamu vizuri tangu unaaza shughuli zako arusha...au masella mnaonae?

one luv 8)

#2 alcapaino

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 76 posts
  • LocationRevolving around a Quantized nuclei

Posted 14 June 2004 - 03:52 PM

Ebana Ambax w'sup Dawg.....kudadadake hilo ni bonge la Idea haina maana vichwa kibao tuna-spit lyrics kwenye txt formats tu....inabidi tupange tuje verbally....toa strategy Babake.......
Wape Hi Masela wote Mi bado nipo Ngara na-hustle na Wanyarwanda

alcapaino.Mg
'the Metaphorian'

#3 Juma4

    African Hip Hop Admin

  • Administrators
  • 1,015 posts
  • LocationAmsterdam

Posted 14 June 2004 - 10:02 PM

Vipi mzee Ambax, inaweza kuwa idea bomba ila naomba ufafanue zaidi iwe application ya aina gani?

Ni kitu ambacho umewahi kuona kwa web nyingine au itakuwa 'one of a kind'? Maana sijakumbuka kuona website ambapo watu wanasikiana na kurekodi kwa wakati moja au ulikuwa na idea tofauti?

Anyway ni wazo zuri kuwaunganisha ma emcee waliokusanya huku ili warekodi kwa pamoja & nadhani web inaweza kufaa.

#4 ambacs

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 4 posts
  • Locationdsm

Posted 16 June 2004 - 09:36 PM

alcapaino...
ooh yeah i got u boy,pole na wild lyfe but i hope u enjoy changin environment one tym huwa na feel sana kulearn lyf styles za community mbalimbali.masela wanukumiss sana as few dayz back tulifanya tafrija ya kishkaji na wakin ase,chisy,davy,bht,inno hope u know what was it all about.am tellin u son it was hotest shit we had ever done b4...!!

back to j4,
i was talkin about the live stuff ,real hiphop show and not internet biz son, we can make it kwenye one of local bars in dar...yaani unakuja na vifaaa na madj kadhaa halafu beat zinawekwa on huku madj wakiput some of their skillz and at the same tym ma emcee wanakuwa wanatoa verse mbalimbali non-stop hope u know what i mean...its really goin to be tight ...
kama utaweza kutoa id kwa mamcee taratibu na kisha kuwa kusanya somewhere its really goin to b tight brother...lets do it

Posted Image


am the only ambax in this world...

#5 ambacs

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 4 posts
  • Locationdsm

Posted 16 June 2004 - 09:57 PM

Posted Image [/img]
am the only ambax in this world...





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users