nipe dakika
#21
Posted 17 November 2008 - 06:26 AM
Emigee nashukuru bro kwa upendo
huu moto kuzimika ni ndoto
lazma kuteketeza ujinga na pupa za hawa madogo
#22
Posted 17 November 2008 - 06:27 AM
Emigee nashukuru bro kwa upendo
huu moto kuzimika ni ndoto
lazma kuteketeza ujinga na pupa za hawa madogo
#23
Posted 25 November 2008 - 08:19 AM
Ikiwa wanaendelea kupotosha watoto wa kike kwa ahadi za ofisii
pendo la ukabila ndio ngao yao kwa kututonesha sisii
Enzi za kenyatta hadi sasa uhuru bado hatujapataa
Dakika kwa dakika zikizidi songea wana-wa-siasa bado hawaja-jongea
Anga zetu za kenya ni moja ingawa tafsiri yao ni kujenga chama cha kabila moja
Katiba kukataa kuigeuza waki-ifanya ka maandishi ya kibibilia
Ikiwa hawataki kuibadilisha de system bora kuwa ka Nkunda kurebel de system
Kabla ya miezi kadhaa wananunua motokaa na mtaani hakuna pesa ya kununua makaa
Angazia nia na gadhabu kabla Mizizi Africa kuwafunza adhabu wakoloni hawaa
"Upendo ni Kofia wanavaa na kuivua,Chuki ndio mkia wanaficha kwa kuikalia,"Mizani
#24
Posted 26 November 2008 - 09:29 AM
mizani said:
Emigee nashukuru bro kwa upendo
huu moto kuzimika ni ndoto
lazma kuteketeza ujinga na pupa za hawa madogo
wazi jo!! i feel your words and for real i cant hide it..
http://emigeeish.blogspot.com
#25
Posted 26 November 2008 - 10:34 AM
hamna tofauti yeyote kama yale mengine/
kama ni jua, imewaka nikama kawaida/
shida ndiyo hayo yametukumba moja baada ya nyingine/
sijui niuzike kichwa kwenye mchaga/
ama ni weze kupata kujificha kwa kanga/
uzito huu umenilemea mimi mno/
fitina umeenea kote kote, nikama maji ya mafuriko/
tarajiyo nikuliona siku mpya, siku njema/
siku bila magereza, kwa vile hakuna uhalifu/
siku bila askari, na bila polisi haramia/
siku bila daktari, kwavile hamna wagonjwa/
siku bila dini tofauti. kwavile dini iliopo ni kupendana/
ninafahamu vyema siku kama hii ni ndoto/
shida ni kuwa sisi hatupati wakati wakulala/
ndiyo tuweze kupata ndoto ya kunene/
Rais Obama na wana-amerika wamepata ukombozi/
juu ya ndoto walioota wao/
mbona tusiweze tu kupendana? kuonyeshana upendo?
tuweze kuishi kwa amani? tuwache fitina ya makabila?
kwa hakika tuke mbali sana kupata uhuru wa hakika/
uhuru tulionalo ni ya bendera tu kupepea angani/
bado tuko jangwani, na hatuwezi ota mimea ya mafanikio/
kwa wakati mwingine mimi hujihisi nikama najihurumia kuwa Mkenya/
kwa vile hii maisha bila uvumilivu hakwepo/
bado tuko gizani. B.U.G hata kwenye mwangaza bado tuko gizani...
http://emigeeish.blogspot.com
#26
Posted 26 November 2008 - 10:40 AM
robary said:
nice words bro Karibu sana AHH
http://emigeeish.blogspot.com
#27
Posted 02 December 2008 - 08:34 AM
Emigee said:
robary said:
Emigee said:
tuweze kuishi kwa amani? tuwache fitina ya makabila?
kwa hakika tuke mbali sana kupata uhuru wa hakika/
uhuru tulionalo ni ya bendera tu kupepea angani/
bado tuko jangwani, na hatuwezi ota mimea ya mafanikio/
kwa wakati mwingine mimi hujihisi nikama najihurumia kuwa Mkenya/
kwa vile hii maisha bila uvumilivu hakwepo/
bado tuko gizani. B.U.G hata kwenye mwangaza bado tuko gizani..
maana kijue kidonda ndo ukitibu ama sio emigee
upendo machizi
#28
Posted 04 December 2008 - 06:12 AM
nitajipa matumaini ya kupost kwani sitakuaibisha
peace mchizani!!
#29
Posted 04 December 2008 - 06:15 AM
upendo na umoja ama vipi!!
#30
Posted 04 December 2008 - 07:06 AM
Ipo Siku watakuja kutupigia Nduru
Nasi bila Nafsi hatutowafwata wafwasi
Kwani tuliwasave for the Post Election Demonstration
Sasa wamo uongozini wana-sambaratisha hii Nation
Siasa wameifanya Potovu, Ubinafsi na kuzaa Matunda ya Sumu
Hakuna anayetaka kuipalilia na mbolea ya Ukweli
Unga unapanda Bei sawa na Mshahara wa Siku
Wakipunguza malipo ya maongezi ya Simu kwa Siku
Mtaani msako Anytime hawa Mafisi wakijisikia Hawana Mnofu
Usiku saa Tano wamokitandani wamejifunika Gubigubi hawa Vipofu
Saa hizo Wahuni wako Ridho dirishani kupiga Tochi kupora Simu au Pochi
Kila litandapo Giza Usingizi si wa Pono ukilala sana uko mataani
Kumi na moja Asubuhi nduru Mizani amevamiwa Kona ya Zamani
Sasa wametubomolea Vibanda vya biashara hata bila ya Kutuarifu
Wakidai ya kwamba biashara yetu inachangia Tax Hafifu
So wee Eemce hii ndio life ya Likoni tunaipitia tu Kidhaifu
Wana-siasa Ripoti ya Waki hawaitaki wanajua ile Manshon ya Karen hawaipati
Waki-kimbilia nyumbani wakiwadanganya eti kabila yao Haitakiwi ofisini
Ok, Freestyle kali niliiandika kabla ya kupost BlackOut ikatokea
Ka baadhi ya Wabunge waliingia kwa ukali wakarambishwa Asali Wakapotea
Na Ukiniona Street nimevaa Suti usikute nina Noti Mfukoni
Ila dharau ndio sitaki ukinifananisha na mchizi wa KApuKA
Sasa PapaChuka SepeTuka ukweli ukuongoze kama MalcoM,LutheR na ChE
#31
Posted 04 December 2008 - 09:08 AM
Saa ka unapoteza Sekunde Ndugu acha Fasta kabla kuungana Dakika
So ufahamu kuwa Mlafi hatambuliwi kwa Viganja au kwa Mdomo
Na ujue kuwa Chungwa itabaki Chungwa na Dafu itageuka Nazi
Na Mjinga ndiye Avundikae Dafu eti aje afumue Nazi
Na kunionyesha mapaja ujue mi ninakuona ka fala wa waziwazi
Ingawaje kwako unaona ni ka umeniacha kwa stage ya Bumbuazi
Mi nakuona umepoteza dira kwa kuiga mambo ya watumwa washezi
Madukani Sanamu ni za Brown eti ndio inavutia Machoni
Kesho madada na makaka madukani kununua hiyo Fashoni
Wananishangaza wakivaa matishati ya CHE na hawaielewi Revolutioni
Hawajui Wangari Maathai alipigania Vita Uhuru park kutotumiwa na Moi
Kibriefly Moi alitaka kuifanya Ofisi ya Kanu ila Wangari alipinga Kidete
Hadi sasa mnafurahia kuvukishwa na Maboti na kutizama mimmea
Big ups mama Wangari Maathai kwani we ni shujaa ka mamangu mzazi
#32
Posted 05 December 2008 - 11:21 AM
robary said:
Saa ka unapoteza Sekunde Ndugu acha Fasta kabla kuungana Dakika
uandishi bora zaidii, haya maneno nzito kweli kweli :wink:
http://emigeeish.blogspot.com
#33
Posted 08 December 2008 - 08:15 AM
uchungu unao niangaisha wakiutafsiri kama mnofu
dunia inamatope ila siruhusiwi kuteleza au kwenda off
beat kwa moyo ni faraja kwenye kick na snare nisiwe mchovu
mapenzi husaliti kasivyo adam hangetoka heaven
naandika nikikumbuka mapenzi ya ninaowaenzi moyoni
ingawa baadhi washanitenga labda sinathamani ka era za peni
ngao yangu ni imani zangu
ingawa kwao nipo chini ka wayo
suruali haina mifuko hivyo hainikosi miayo
mikuyu waliikata ndio nikanyage mabega YAO ZAKAYO
kuishi nikiomba nilikana ila tu kwa aliyenijua kabla sijajua nyonyo
ulimwengu wangu upo ndani ya moyo,hisia na misimamo yangu
daima wanakosea nakuishia kunipima na dunia isiyo yangu
#34
Posted 08 December 2008 - 08:36 AM
rafiki akijibatiza judas naupati pilato mikono aioshe sababu
wote wamefumbwa macho ki bathlemew dunia ina tabu
maombolezo faraja wisdom ya solomon
allover sudden upo solo man
ka devo after kuwa onjesha utam eve na adam
paroz wanadai mnazi na shada ndo blanda
mnameditation tufauti ka vile kuna ndizi najuu maganda
heshima ujaikosa japo hawakupenda ka maafa ya rwanda
mzuka unanipapanda nikicheki ninaowapenda wakikosea kunielewa
i cant backdown nikivuka ngambo ya pili watanielewa
jicho uzimani atakaa price golgotha
messiah waliomtundika na bado tukamsamehe botha
sometime nikama naota wazazi nawapenda
ila mbona kunielewa ni hoja buda
mi si malaika nikikosea nisamehe naomba kwauhakika
#35
Posted 21 March 2009 - 08:01 AM
hichi kijito nisipokitumia mbele kukosa sina budi
nayanwa kusimama huenda snitch ananilengesha kwa makundi
macho yao mapevu runingani niwe kipindi
na rip off mic vocal zina msuli
na spit blaze wanavoteketea wanujua hapa huyu buda ndo anarule
niko fit zee hata zoezi yangu kwao fainali
african ka hii site ninavotapika haya matope yanawapa light
fuck orange RBG ndo label
wanalose courage natema stima bila cable
hapa vina super usijidai star
usijidangaye utaruka jua ata makali hupozwa
jenga uoga chini ya kava ujasusi
ila dakika ukiroba nakuexpose ulivosoft ka mikono ya msusi
#36
Posted 30 March 2009 - 12:30 PM
hamna tofauti yeyote kama yale mengine/
kama ni jua, imewaka nikama kawaida/
shida ndiyo hayo yametukumba moja baada ya nyingine/
sijui niuzike kichwa kwenye mchaga/
ama ni weze kupata kujificha kwa kanga/
uzito huu umenilemea mimi mno/
fitina umeenea kote kote, nikama maji ya mafuriko/
tarajiyo nikuliona siku mpya, siku njema/
siku bila magereza, kwa vile hakuna uhalifu/
siku bila askari, na bila polisi haramia/
siku bila daktari, kwavile hamna wagonjwa/
siku bila dini tofauti. kwavile dini iliopo ni kupendana/
ninafahamu vyema siku kama hii ni ndoto/
shida ni kuwa sisi hatupati wakati wakulala/
usiku mchana tuko macho, sielewi kwanini/
hata kwa mwangaza bado tuko kwa giza totoro/
twangamia siku baada ya siku na hamna anaye shughulika/
ndiyo tuweze kupata ndoto ya kunene
http://emigeeish.blogspot.com
#37
Posted 31 March 2009 - 05:36 AM
hurting own visions and sight gone
weighing fading hopes head finds consolation on the palm
immortal's you know throw insults in the background
for now he knows love n lust are different worlds
infront of asad beautiful empty garden
Eve gt mad for his manhood couldnt abstain
maze nimalizieni ka hamta mind
#38
Posted 31 March 2009 - 10:47 AM
quote="mizani"]tripped and fell on unexpected zone
hurting own visions and sight gone
weighing fading hopes, as head finds consolation on the palm
immortal's you never know, throw insults in the background
for now he knows, love n lust are different worlds
alone infront of a sad beautiful empty garden
Eve gt mad for his manhood couldnt abstain
maze nimalizieni ka hamta mind[/quote]
#39
Posted 29 April 2009 - 05:24 AM
mwalimu muuguzi rafiki, nimefika nimetua
ni hatua, toka, step ya kwanza tulikotoka
mshikamano unaongezeka, dakika zinavyosonga
nimefyatu inathanika, ndio, semi wanazotapika
kukutumia washajaribu, kumbe love inaongea
na kudumu ni taratibu, haraka, baraka hupotea
Wakilipua mamilioni, bila shilingi hatuachani
ata, tusipotoboa sokoni, bado ni shibe moyoni
cha kututenganisha sioni, ata media isipokuthamini
mi dear nishakuamini, japo ndugu, kina cain
ishafurika enough, na haiwezi, kupwa hii bahari
deeply in love, soul mind, na body umeteka
taratibu kikakamavu, safari bega kwa bega
mpaka mwisho hiphop, penzi langu kwako, haliezi lega.
#40
Posted 15 July 2009 - 06:19 AM
vuruga mbuga za wachovu msela ninavyotaka
changu nasaka nanasa ova mpumbavu na anasa
lipua lipua fikra zao mbovu niite ochestra
o.k star hizi si takeu style
kujisahau hainifikii ka m.o.i na duza
chunguza bado wanapupa za gazeti tatizo zinawauguza
niko imara wananaonipima wanaparara
vijiguu vya sungura kwenye kwato za mbogo?
waongo wajanja kwa sura mabato kwa ubongo
hii skil asali ajabu chovyachovya haiimalizi
si riziki za irizi ajabu hawaridhiki kuniona hivi
mbizi kwa wivu wanajichubua nyoyo
hizi nyayo ka mkono kuota nyonyo
wananiombea mauti nanikizuka baruti
hawajiwezi media kwao walezi
sifanani na marlaw wajinga sibembelezi
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













