Mambo vipi mzee Ebony,
Mimi ni mmoja wa rafiki zako wa siku nyingi, nimekuwa nikitafuta anwani yako na ya Hashim Dossi kwa mda mrefu. Nipo nje ya Bongo, naomba tuwasiliane , anwani yangu ni kijukuu@ yahoo.co.uk. Ni muhimu.
Asante.
NAWATAKIA MEMA MA MC WA KWELI BONGO.
Ibony moalim
Started by Guest_JUMA_*, May 30 2004 04:52 AM
No replies to this topic
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users












