Moyo umekua mwepesi, sababu ya vitu vingi tumevitupilia mbali. Wakati wowote ule unapohitaji vitu fulani, bidii ni kitu cha lazima. Kenya ni inchi ya watu wengi wenye kabila mbali mbali. Na wenye mali na hali mbali mbali. Mimi hoja kuu nikukua mkali mithili ya pili pili. Ukipita mahala flani unawawacha watu waki lia nikama wakati vitungu vinatayarishwa. Sitaki kuonekana nikama nimepoteza wanaosoma mawazo haya lakini kuaelimisha kwa kiwango flani. Ndiyo badaye nisikiye flani wa flani alibarikiwa kwa kusoma yale maandishi niliyoandika. Lugha ni mgumu mno lakini ni bora kushida kutosoma am kuandika mawazo niliyonayo. Nataka niwemarufu kwenye msafara, jina liweze kungara msafada, litambulike kati ya majina marufu duniani. Wakati Professor Jay, Juma Nature na Solo Thang wanapoitwa, jina langu liweze kutajwa wakati huo. Mimi si mwana bongo lakini ni kujaribu tu kutunza tamaduni hilo njema. Kusema ninaweza kusema mpaka keshona hayo yote yawe yenye vina na maana lakini lile nililopenda haliwezi kwenda. Walinena kuwa siwezi andika swahili lakini nipo na hata sijashtuka akamwe. Nitalichambua lugha ubaki umeshangaa. Ah! Umezubaa, nabado niko nimchanganyiko ya vitu vingi duniani. Mtu wa kabila langu haweze kuandika lugha jinsi hii, hapana. Ni mapendeleo niliyonayo moyoni. Hebu tazama jamani, fani blia mimi itakua nikama utani, basi hamna mahali niendapo, niko mahala humu, ndani ya fani yani nimedunga hema, nime tia nanga na niko tayari na njora kujilinda, kujikinga kwa wale wanaofikiri mimi ni wa makamo na sifai mahali humu. Watu wa makao wafanya fani yangara, na Professor Jay aliwasimulia. Jamani kuweni makini ni bora kusikia kushinda kutosikia na kupotea, hamja sikia elimu ni nguvu basi tia fora, tia manani kwa kila utendacho, kwa vile maisha tunayoishi si yetu sisi bali ni kwa wakati huo huo kisha itatoweka. Mahala upo na ulifikia mshukuru Mola. Jamani ni uandishi wa lugha
lugha yenye thamana
Started by Emigee, May 19 2008 01:40 PM
1 reply to this topic
#1
Posted 19 May 2008 - 01:40 PM
there is a diffrence between dreaming and visualizing, which one are you doing?
http://emigeeish.blogspot.com
http://emigeeish.blogspot.com
#2
Posted 30 May 2008 - 05:45 PM
kila mboni inapoyasoma mawazo ya emigee toka kenyan hiphop na forum zote
moyo unatabasam natambua fika hiphop ipo hai na wanaotazamia itazikwa pengine wajiokote.hiphop nika yule nyoka wa shaba musa aliyemuinua/ tatizo ujinga umefanya shingo za wapambe ngumu kujiokoa/bado nitakiri pesa sio sabuni ya roho/ila chanzo cha anasa na mauti yanayotushika koo/radio ndio channel za kuipoteza jamii/ukweli wameutenga mbali sikuhizi kucopycat ndio usanii/wangapi media imewavika ufalme wa hiphop/mapresenter wakijigamba vile hii culture wanaipa hope/eti the only station playing hiphop na in real sence ni among the stations kiling hiphop/mitazamo iliyokomaa yenye lengo la kuelimisha/haipewi nafasi nadhani wanahisi watahaibishwa/wanaodhani itakufa watambue wao ndio wataiona mauti/hii culture wataiacha hai yaani ipo na haitoki

1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users