Nipe vidonge ili tuwe donge la barafu,
wabongo mmebonga mstari hainukii mikarafuu,
mbona wabongo ubongo wenyu umemea ukungu?
akili zimelala kwa ndoto za matusi
kila mnacho payuka si utunzi,
usifikiri kutupa matusi utatuma msisumuko,
fikra mnazo lakini mmaogopa kufikiria,
ukitanabahi hutaweza kunistahimili,
mimi ice man nimefika kwa umahiri,
kuwakosoa nyote mnao nitia kero.
kujidai ninyi mmekita mizizi kwa nyanja hii,
vinywa vyenyu vya salata,
vitageuka kuwa sumu na kuwauwa nyinyi,
heri niwapate ili niwatie vitanzi,
mama zenyu pia wanaona hamfai,
kwa sababu hamna utu,
Mimi nitakita mizizi hapa,
sitang'atuka mpaka tuanze kutupa mistari yenye utu.
tuelewe kuongea choo si kumaanisha wewe ni msanii,
kumbukeni ninasubiri kejeli zenyu,
lakini kumbukeni mchimba kisima hakuingia mwenyewe.
KERO KWENYE FANI
Started by ICE MAN, May 13 2008 04:48 PM
4 replies to this topic
#1
Posted 13 May 2008 - 04:48 PM
#2
Posted 14 May 2008 - 10:17 AM
ni utunzi si upuzi wa juzi
nafunza kila siku ni fursa
bila kipasa wala siwazi
natema,nakuleta mtetemeko
husidharau uepuke madhara
unadara moto kwa ncha ya ulimi
nakudara ubongo kwa ncha ya mistari
unabaki kuwaza, fikra zikipapasa....
anasa kwenye giza la jehanamu
ukitaka tafsiri kula shaka kama...
maisha kule D uliza Johhny
nani?,
tishia shetani kwa kaa la sigara?!
minara utapanda bado hautong'ara
ICE MAN haungekuwa WISEMAN....
hata kwa kuongozwa na nyota hadi bethlehem.....

Fuck wit' me n' I'ma break u' skull, expose u' brains to reality/
jus' to make u' think outside that box u' call a head/
* I don't only think ahead, but ma' thoughts surpass those of a single head * |Couzifer|
jus' to make u' think outside that box u' call a head/
* I don't only think ahead, but ma' thoughts surpass those of a single head * |Couzifer|
#3
Posted 14 May 2008 - 01:29 PM
hapo umemaliza au ndo kwanza unaanza kwa maana
ninavyoona ni kama fani wajifunza na kama we si mnyoo basi utakuwa funza
sikia ninavyopaza mistari ninavyopanga si kama unavyochanga we mjanja wa kimanga
najua unajua yakua mimi najua mistari yangu ni shoka iwe mvua au jua
hutoweza kupangua vina ninavyovitoa
kwa kifupi unaboa wako ujuzi si poa nakukongoa
kama hesabu mi nakokotoa kwenye hii gemu nakutoa na pia
ujumbe wako waboa umefubaa
hili duru nakutoa
mbele zaidi natambaa
mbele ya mrume hutong'aa we gang'aa
vyako vina ni dagaa mi ni mamba
nikichachamaa ni noma kwako mtoto wa mama
soma kabla vina hujatuma kwa juma- 4.

#4
Posted 15 May 2008 - 04:55 PM
si usemi tu nakunena ni utemi huu/
kama kuni mimi nakutema tu/
kisha kama gomba nikuchane tu/
hii ni keystyle vidole zinatembea ka yellowpages juu/
nakusaka tu,nikupate nukuhande tu/
nikusanye kama pombe mbaya juu...
nakuharibu akili yako kama Alzheimer's tu/
ubaki kuzubaa akili ichuchumae tu/
butwaa/, unagaagaa na upwa tu......
maji hujaguza tayari ushazama!!!/
kama kuni mimi nakutema tu/
kisha kama gomba nikuchane tu/
hii ni keystyle vidole zinatembea ka yellowpages juu/
nakusaka tu,nikupate nukuhande tu/
nikusanye kama pombe mbaya juu...
nakuharibu akili yako kama Alzheimer's tu/
ubaki kuzubaa akili ichuchumae tu/
butwaa/, unagaagaa na upwa tu......
maji hujaguza tayari ushazama!!!/
Fuck wit' me n' I'ma break u' skull, expose u' brains to reality/
jus' to make u' think outside that box u' call a head/
* I don't only think ahead, but ma' thoughts surpass those of a single head * |Couzifer|
jus' to make u' think outside that box u' call a head/
* I don't only think ahead, but ma' thoughts surpass those of a single head * |Couzifer|
#5
Posted 25 June 2008 - 07:17 AM
ice man huelewi undani
wa hii fani/
ndo maana unaleta utani/
najaribu kuangalia yako mizani/lakini
katu mi siioni/
unatunga hadithi ama unaghani/?
kama unajifunza sema ili tukupeleka darasani/
ziko nyingi fani/
kama huwezi badili kabla hujapigwa faini/
unaijua yetu faini??/
ni kukuoa na kukuweka ndani/
nenda kawaambie na wako washikaji maskani/

1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users