Nafeel kumwaga ryme vina bora nina
Na sizugi kuvunga tyme na songi la kina
Niite cyclope wa non shobo
Mkali wa mistari ka shambulizi la ndorobo
Nikinata na beat mithili ya bubba spark
kwangu mimi hii mic ni kama teacher na chaki
Nina domo la kipimo kuvunja ngumu rekodi
Ni bao kingi kimo kwa ndani bila ya hodi
ANOTHER LEVEL
Started by NONSHOBO, Apr 23 2008 11:01 PM
2 replies to this topic
#1
Posted 23 April 2008 - 11:01 PM
NON shobo true soldiers mtu mbili ile kamili
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
#2
Posted 14 May 2008 - 11:34 AM
TRU DAT!!!!
wakati umefika kwa wabongo ku-push to the next -level international level
nafikiri kuna swala la lugha ambalo kama nigeria ndo wanalotushinda.......
MCz wa kibongo wanaweza fanya rap ktk kiswahili at the same tym katika kiingereza
na kukiwa na VIDEO za uhakika na promo za kutosha tutaRULE Africa 4 sure
nigeria sa hizi wanakuja kasi .....video za uhakika ila naona wanaiga mno -kimarekani mno
..........nafikiri we can keep it Afrika zaidi lakini still katika misingi ileile ya HIP HOP au sio...
productions -producerz need to be more creative,invetive na kwenda na muda.......
mikono kama ile .....elim mtaani dot com ya D.knob iliyottengenezwa na miika mwamba vionjo flafani vya kiafrika
inakua mzuka zaidi tru african aaih!...........we unaonaje!?

ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
#3
Posted 22 May 2008 - 10:35 AM
Speakin of productions vinamana I have been doing some project myself
And here is some of em flavors if any one out there wanna get som then just holla @ moi
u can check out some of my productions at by clicking this link http://www.esnips.co.../BEATSPROJECTS/
And here is some of em flavors if any one out there wanna get som then just holla @ moi
u can check out some of my productions at by clicking this link http://www.esnips.co.../BEATSPROJECTS/
NON shobo true soldiers mtu mbili ile kamili
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users